Hongera sana KMK, Holy Trinity Studios na Divine Studios 🔥🔥
@BrianMuhindo-i9y3 ай бұрын
This is so great. I love Swahili music
@Francis.Safari3 ай бұрын
Safi sana. Watunzi na waimbaji wameutendea haki wimbo. Hongereni.
@wilfredchacha11233 ай бұрын
Very educative, wimbo taratibu na tamu kweli
@miitojesuitsaor96863 ай бұрын
Je, ungependa nawe kuwa Padre ama Bruda katika shirika la Yesu? Bofya hapo na Jaza fomu yako kwenye mtandao: easternafricajesuits.org/become-a-jesuit/
@miitojesuitsaor96863 ай бұрын
Huu wimbo utakufanya uijue Elimu Roho ya Mt. Inyasi wa Loyola (Ignatian Spirituality) na utume stahiki wa sshirika la wajesuiti kwenye mafungo na mazoezi ya kiroho. Je, ungependa wajezuiti wakuongoze kwenye mazoezi ya kroho? Siku 30, nane au tatu? wasiliana nasi +254734707040
@miitojesuitsaor96863 ай бұрын
Unyamavu ama ukimya ndiyo nguzo ya mazoezi haya ya kiroho. Dondosha comment kwa KMK kwa sauti zao nyororo za kumsifu, kumhimidi na kumtukuza Mungu
@catholicvibemusic31513 ай бұрын
@@miitojesuitsaor9686 hakika unatafakarisha na tungo tamu