Wakwanza nadhani wekeni likes hapo ninenepe,,, Daima mbeleeeee nyuma mwikookoooo
@aminahussein486614 күн бұрын
Pigen zoez lakutoshaa chama lang tushajua tunamaadui wengi sanaaaaaaaa 👍gamondi baba loveeee u
@5googleuuu72715 күн бұрын
Kila hatua dua tu tu timu yetu pendwa mungu awajalie afya njema daima wachezaji na viongozi pamoja na benchi la UFUNDI. Hakika tutarudi tukiwa imara zaidi👏👏👏👏👏
@fatmaomar833515 күн бұрын
Kila la kheri inshaallah yanga bingwa daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚
@DavidYamungu-rl5os15 күн бұрын
Mwananch wa Kwanza kukoment ni Mimi Naomben Like za Ubingwa Hapa 🙏👊👊👊👊👊
@DoreenMlay-e8g14 күн бұрын
jeshi la wananchi naamini mmejifunza kutokana na makosa mliona tumefungwa nchi nxima ikashangilia mtaani tunazomewa timu gani kubwa inafungwa na tabora nawaombea mungu awape afya njema mpambanie nembo yetu ameen
@sebastiansalamba31314 күн бұрын
We mwenyezi Mungu ibariki klabu ya yanga uwaepushe wachezaji wetu na majeraha na husuda za marefa wanaotoa kadi ovyo Kwa wachezaji wetu, amen
@HassaniUlenge-j5j14 күн бұрын
Wananchi ni wakati wa kuwa pamoja kuisapoti timu yetu kwa hali na Mali kupoteza game mbili kusitufanye tupagaranyike, nguvu moja daima mbele nyuma mwiko.❤
@HawaAlznezbar15 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉naipend team yang yanga Africa 🌍 daima mbele nyuma mwiko 💚 💛
@mwajumampokileomckapela754115 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko 💚🖤🖤
@claratango926214 күн бұрын
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
@Papycon22_15 күн бұрын
Bado tuna imani na yanga yetu 🔰✊
@lucymsheshi587114 күн бұрын
Na nikawaida yetu🎉🎉
@sophiandumbaro170915 күн бұрын
Yanga bingwaaa🎉🎉🎉
@OlivaMHANDO14 күн бұрын
Mwenyezi aendeleee kuwalinda na kuwasimamia katika mandalizi yenu, awaepushe na majeraha, akawakinge na damu ya mwanae YESu Christ ameeeeeeeeen
@RamazaniAraajMweneBenga15 күн бұрын
Naomba like zangu
@JohnNdendya15 күн бұрын
Nakubaliiiiiiijijii
@AshourAli-d3e15 күн бұрын
Kil l kheri wanajesh wet Allah awazidishie afy njem muzid kuipambania team yet n kuurudish ubingwa katk imaya yet
@abubakalimavumbi584615 күн бұрын
Wananchii sio loho mbaya na Mimi mtani like tu
@FemidaYahaya14 күн бұрын
Farid Mussa Malik Alhamdulillah. .Allah azidi kuimarisha Afya yako
@MagdalineMambo14 күн бұрын
Mwenyezi mungu aendelee kuwapigania wanangu mpate ushindi. Hiiyo ilikuwa ni shetani mchafu,amepita na kutokomea mbali. Yanga mbingwa
Gamod sasa inabid ajitasimin asije akasema hatumpend wakat tunampenda sana japo kufungwa ni sehemu ya mchezo tunaitaji matokeo💚💛💚💛💚💛💚💛
@lucymsheshi587114 күн бұрын
Ajitathimini kwa lipi Tulieni msiingie kwenye kelele za makolo. Magoli 6sita hamkusema kauli hizi tulieni Ukiwa unaelewa soka huwezi laumu tu ki kenge. Mabeki hawakuwepo ulitegemea nn
@allyramadhan624114 күн бұрын
Mimi naamini hatujapoteza metch hata moja ,,,tatizo wanalo wachezaji tizama natasi zinazotengezwa na jins zimapotea
@allyramadhan624114 күн бұрын
Kama abubakar anapiga Tu nje
@FemidaYahaya14 күн бұрын
Ww ndo ujitathimini ushaingia kwenye mfumo wa panya Road
@peterjairours719414 күн бұрын
Mhhhh yaan unacheza mechi bila beki zako tegemezi harafu usifungwe we nani usifungwe bwana, man city kapigwa mech nne mtwalia husikii hizo porojo
@hamiduOmar-o8r14 күн бұрын
Nimefarijika sn kumuona masters Gamondi cye hatufukizi coach kizembe km waoo nguvu 1 daima mbelectunaimani na timu yetu
@BullahSambiga14 күн бұрын
Yanga yangu nitazikwa nayo 💚💚💛💛
@YohanaWillison14 күн бұрын
Mara ooh gamond kaondoka acheni uzushi
@filemonkwaja618115 күн бұрын
Yanga bingwa
@maxmiliankadawiibalaja219814 күн бұрын
Sipati Picha Wachambuzi Watasema Nini Kuendelea Kumuona Master Gamondi bado yupo Sana Jangwani 💚💛 Wao Waliwaamisha Machawa Anaondoka
@SaudaShaban-jc8pp14 күн бұрын
😂😂 hawaamin macho yaoo
@jumamangombe649310 күн бұрын
Hapo vipi saizi? Unajiskiaje?@@SaudaShaban-jc8pp
@NeemaMwangobola14 күн бұрын
Mungu yu pamoja na rais wetu wa yanga....mungu yu pamoja na gamond wetu...mungu yu pamoja na tajili wetu wa yanga...kelele zenu kwetu...ndio mrango wa kutokea Kwa mungu wetu...wandish
@jerryjaphet217615 күн бұрын
Nimefurahi Kumuona Farid Mussa huyo mwamba sana asee not for SALE.
@HassanHassan-ix7cj15 күн бұрын
Next game tunaua kateam
@FatumaHassan-h5i15 күн бұрын
Yanga daima mbele nyuma mwiko
@amosmakabara302415 күн бұрын
Gamondi na benchi lake, viongozi, wachezaji na wananchi kwa ujumla kwa sasa hatutakiwi kupaniki maana hata kufungwa mechi mbili mfululizo paniki imechangia wachezaji wetu walitaka tufurahi kwa kufosi mwisho tukaumia zaidi
@HalimaKarm14 күн бұрын
Tunafugwa pamoja na tushinde pamoja maneno ya kutukatsha tamaa tuepukane nayo, kama kunamapungufu tuwaachie viongoz Kaz yao naamin niwaelewa inshallah
@mwasitz612314 күн бұрын
Mimi wa mwisho ku comment 😂😂😂 naomba like kama zote mana ndo ñishafunga lango huko
@Masengo-su3mf14 күн бұрын
Karudi bwana mdogo shehaani daima mbele nyuma mwiko mapa mbano Bado yapo tusikate tamaah apa kazi2
@NaushadKhamis15 күн бұрын
Kila la heri yanga ❤
@MajaliwaJuma-c5g14 күн бұрын
Yanga bingwa
@annethjohn918015 күн бұрын
Kila lakheri chama langu mie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@robertzamani561214 күн бұрын
Kocha awe anamcheza sure boy mbona pale katikati anapaweza pia na Mkude
@FemidaYahaya14 күн бұрын
Wananchiiiiiiiii
@cottyadam14 күн бұрын
Mungu ibariki yanga yangu
@owenfweta323915 күн бұрын
Nipe like Tafadhali ❤
@Cosmassr15 күн бұрын
1st to view first to comment❤❤
@elikanabahati-gx6ly15 күн бұрын
jaman leo ndo nimeanz kuzungumza n hapa kazn toka nipokee kichapo naomben wanajeshi wetu mlinde afya za mashabiki wenu kila lakhel tarehe 26 imani iwe nanyi
@NaimaNayla-m2l14 күн бұрын
Nawatakia kila lakhe timu yangu kuteleza sio kuanguka tunarudi Tena 💯💯💛💚🇿🇦🇹🇿
@SinguModoka14 күн бұрын
Makolo kwishili Daima mbele nyuma mwiko
@omaraonasir436115 күн бұрын
Wametoka magetoni hawa😂😂😂😂😂😂😂😂😂,wamekesha usiku hawa😂😂😂😂😂😂wako huru sasa hawa😂😂😂😂😂
@BrunoNamanga14 күн бұрын
Hayakuhusu
@DoreenMlay-e8g14 күн бұрын
ni muhimu ata ivo walibanwa sana ndo maana tukapoteza mwanaume ili awe timamu na afanye kazi yake kwa utimamu lazima ile ki2 aguse wewe au ulifikiri wao ni miti subiria mechi zinazofuata uone watu wanavotembezewa kichapo
@sosomacharles992014 күн бұрын
Jamani mpambane hizo mechi zinazokuja,maana mitaani kwa kweli hatuna raha kwa kweli.
@BarakaMboyi15 күн бұрын
Mtabaki kuguna wenye kisununu mungu hamfichii mnafiki hapo mafuta yamejitenga na maji mlichonga sanaaa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@salmamlokela198714 күн бұрын
Acha kufatilia mambo ya watu yakiwa yako yamekushinda
@HassanNdauka-x1z15 күн бұрын
Changanyeni miguu iyo sisi tunaasira
@zulfikakalumba197715 күн бұрын
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
@YangaNews15 күн бұрын
Hiki kikosi mbona moto
@AnnoyedCanoe-mr6ls14 күн бұрын
Napenda kuona chama la ngu likijtuma ivy
@monicanatai14414 күн бұрын
Nimemuona Farid, Mungu Mkubwaa
@HABIBHASSAN-wf5mr15 күн бұрын
HAPO MTAIJUA VIZURI YANGA NYUMA MWIKO
@IsackManjoba14 күн бұрын
Saiv akili zimerud wachez wamekuwa wa bar shenzi nyie 😊
@fatmaomar833514 күн бұрын
Yanga bingwa inshaallah
@MalinoKadwame-u1c14 күн бұрын
Sas tumeanza upya alhilal jichangange
@davidtvonline602015 күн бұрын
Wanaoamini we will come back Stronger Gonga Likes Hapa
@DoryGeorge14 күн бұрын
Kila la her💚💚💚💚💚💚💚
@matrida.lunyilija519615 күн бұрын
Gamond tunaye na tunatamba nae
@SelemanMagambo14 күн бұрын
YANGA BINGWA 💚💚💚👈
@AnnoyedCanoe-mr6ls14 күн бұрын
Nakubariana na wew ety
@DoryGeorge14 күн бұрын
Yanga bingwa🎉🎉🎉🎉🎉
@EmanuelMiyonjo15 күн бұрын
Wameyatimba😂
@ZuhuraNhumbi15 күн бұрын
Wameyatimba manini funguka
@YusuphMirambo15 күн бұрын
Yanga Raha sana at kama tulifungwa jamani🧡💛💚
@robertmwakajila916214 күн бұрын
Dar Young African 💚 🟩 📗 🟢 🍏 for real
@OmaryMajivuno14 күн бұрын
❤❤❤❤ good 👍👍👍
@SamsonFilbert15 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 daima mbele
@BasraMaisara-ke8kk14 күн бұрын
Amin inshallah
@nemamgona588614 күн бұрын
Yanga bingwa❤
@Iam_cleva14 күн бұрын
Nilichogundua wachezaje wa yanga wanahasira sana next match timu zijiandae zinazokutana na yanga
@husseinguliva1814 күн бұрын
ukiyasikiliza huku mtaani ndo kwanza yanakwambia Gamondi ameondoka 😂😂 Madunduka bana
@Thatgurl-l8n13 күн бұрын
Hatujachaguliwa na mtu❤
@ZainabuNiyomfura14 күн бұрын
Sisi ni yanga sisi niwananchi hatushtushwi na maneno ya vikundi vya watu tutabaki na team yetu daima mbele nyuma mwiko
@Ba6382814 күн бұрын
Tieni pamodzi ndi mtima umo vijana we stand to win
@AroldJosias14 күн бұрын
Yannga n yetu daima
@monicalucas373814 күн бұрын
Kila laheri timu yetu ,nimefurahi kumuona master Gamondi, jamani dumisheni umoja na upendano tuwe na furaha na timu yetu kama lawaida yetu, kupoteza mechi 2 mfululizo isiturudishe nyuma, tuendelee kuwaombea wachezaji wetu na benchi zima la ufundi.
@castorymhonjwaj246915 күн бұрын
Tunamaadui wengi ila tutashinda kwa umoja wetu tusikubari kupishana kwamatokeo tunawachawi wengi huku nje
@sabrinakassimu14 күн бұрын
gamond tunae na tuna tamba nae
@imanikubwa289615 күн бұрын
Sahauni yaliyopita,,wazeni mechi zote ambazo hamjacheza.
@IssaNdelwa-pz3zl15 күн бұрын
Nina Imani na yanga africa
@Erickomondtz0814 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@DoreenMlay-e8g14 күн бұрын
haha makolo wanasubiria eti gamond anaondoka watasubiri sana
@MtashobyaJosia-wt9jq14 күн бұрын
mtashobya josia nikiwa Kenya nawapata kwauzuri tizi riaze rasimi
@TetuMussa14 күн бұрын
Kila la kheri
@songombingo10815 күн бұрын
Kuna WachaMBUZI wakatuambia Uongozi una mpango wa kumtimua😂
@DoreenMlay-e8g14 күн бұрын
ivi nyie hua mnawasikilizaga hao wachambuzi bsadhi yao ni walemavu waKili punda hao
@josephgalandu12815 күн бұрын
kumbe madawa yenyewe ndo haya mbarikiwe
@FATUMABACARCADANGE15 күн бұрын
nyinyi mmeuza mech ya tabola dawayenu ipo jikoni
@shafiikibwesi307615 күн бұрын
❤❤❤
@ShamsiRajabu-z2f11 күн бұрын
Wananchi wamepoteza mechi 2 sawa ira tunamwamini kocha wetu.
@shaibusaady242014 күн бұрын
Allaah Akbar
@Ibrahimyusufy-km5nr15 күн бұрын
Atu waoni engine ndo yalee stareh nying
@africanbuddah714114 күн бұрын
Chama na aziz Ki wako wapi
@ShamsiRajabu-z2f11 күн бұрын
Wachezaji wajitaidi mazoezi na pia arikamwe na arisarimu wakae kamati wasirusu tena
@SalvatoryMtunga15 күн бұрын
Waliuhama uwanja wa uhuru, waliuhama uwanja wa jamhuri morogoro baada ya kupigwa na prison, wakahama azam ndani ya msimu moja, sasa wao makolo wanaona donge yanga kuuhama uwanja wa azam.
@matrida.lunyilija519615 күн бұрын
Yaan wameumia mno,inawezekana kuna kitu walifanya sio Bure maana wanatokwa povu Sana makolo sisi kuhama Azam
@JonasAthanas-m5n12 күн бұрын
Makolo wamechanganyikiwa maana Gamond yupo sana hao waandishi wa habari waongo nao wamekumbukwa subirini shida makolo