Haji Manara hongera sana kwa mengi makubwa uliyoyafanya katika nchi hususan katika eneo la habari na soka! Umerudisha hamasa kubwa sana ya watu kuupenda na kufuatilia mpira wa miguu Simba, Yanga na Taifa ya Taifa hawapaswi kabisa kukubeza, infact, wanspaswa kukushukuru! Aidha umeifanya idara ya usemaji wa mpira kuheshimika na umewa- inspire vijana wengi ! Kimsingi wanapaswa kukuchukulia kama role model wao na siyo kujaribu kushindana na wewe maana hawawezi , after all ! Wewe ni a self - made man ! Unaweza kuwa na baadhi ya mapungufu kama binadamu mwingine yeyote lakini ni nani mkamilifu zaidi ya Mungu? Pamoja na changamoto ya ulemavu wa ngozi hukuwahi kukaa kinyonge ! Truth be told , umeweza Ku- achieve mambo makubwa ambayo hata baadhi ya watu wasiokuwa na ulemavu wowote hawawezi kukufikia! Mwisho ukae ukifahamu kwamba wasema kweli na waliofanikiwa huwa hawapendwi katika jamii zetu! Na unaweza kuona hata kupitia baadhi ya comments humu ndani zimejaa chuki na wivu ! Songa mbele mwamba ! Usisikilize walioshindws!
@JumaHaule-n1sАй бұрын
Kaka umeongea fact saana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@moodyzanzibar4336Ай бұрын
WACHA USHOGA WEWE
@MCNgakungaJunior20 күн бұрын
Fact 🎉🎉🎉🎉🎉
@miruhonginАй бұрын
Mungu bariki kabisa kaka manara kwa ekima yako
@petroprenge8716Ай бұрын
"Chako cha wote, chake ni chake" nimeipenda hii😅😅
@YasminaMkaliАй бұрын
Swadaktaaaaaa Haji Manara! Umesema vyema. ❤❤❤
@AmisamauridNgagadaАй бұрын
Shukrani brother Haji Sunday manara ❤
@moodyzanzibar4336Ай бұрын
SASA KAMA MASIKINI MBONA UNAJIDAI KUSHINDANA NA ULIMWENGU KUFANYA MAMBO YA RIA UONEKANE KWAMBA WEWE TAJIRI SANA WA DUNIA -TUMCHE MOLA WACHA RIA
@saidally5763Ай бұрын
Nakukubali sana haji binafsi nakukubali sana my
@JimokuMhelaАй бұрын
Manara, nakupenda unavyojiamini.
@MtanganyikaTanganyikaАй бұрын
Manara safi sana umekua Sasa mashoga kama mwijaku achana nayo kaka watakupotezea muda
@julianajeremiah4353Ай бұрын
Tatizo unajisifia sana ndio maana wanakukanda hata bidhaa ndogo ndio inaleta pesa najumba wa mwijaku km ni nyanya ya kopo basi ongera kwao😊
@SaidiYahya-t1cАй бұрын
Haji ni mmoja tu na hamsha ya soka nchi hiii imepungua
@husseinbachwa8372Ай бұрын
Nimekuelewa saana Manala
@saeedmassoud256Ай бұрын
Wat manala ?
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
Manara uko sahihi.Nakuunga mkono.
@husmalloveАй бұрын
Kila la kheir kak bugatti pig kaz songa mbele hayo mamb hata mtu amefanyiw na ndy njia ya wew kufik mbal zaid pind wakiach utadrop..🎉
@richardpembe606Ай бұрын
Anahangaika sana
@kulyaboyforex4Ай бұрын
Sisi wakulya tamduni zetu moja wapo ni hekima ya mke kuionyesha pale mume anapozungumza kimya kitawle,mke wa manara naona hana kieleere cha kuropoka. ingekuw apo ndala ndefu apo mara kavuta maic mara kasimama yani vulugu vulugu, sasa mkulya apo ukileta izo pigo unaskia jioni tuonane kabla ya kulala,ujue apo kifuatacho ni kichapo kwanini unaleta za kuleta.
@japhetnzunda99Ай бұрын
Kaka nakubali sana mtu asikuyumnishe wala usiwe na halaka balaka zako zipo na yanga ndo tim imekuheshimisha sana tulia kaka maisha yapo na kipaji chako hachukui mtu
@far_hard1301Ай бұрын
Mwinjaku unamsema haji sana kwa lipi alolisema baya kaulizwa na mwandishi kasema brand yake sio kumuongelea mtu sasa ww unaona wapi kakosea mpaka unamsema hana nyumba
@TikiMsangiАй бұрын
Mwijaku anasema manara analipiwa kodi namwarabu
@_Wayiva_mukuta_jeanАй бұрын
Je suis congolais 🇨🇩 j’aime trop monsieur manara. ❤❤❤si un jour j’aurais la chance de me croiser avec lui je serais tellement heureux toute ma vie.
@SaidMohamed-j2vАй бұрын
I am Congolese 🇨🇩 I love Mr. Manara too much. ❤❤❤if one day I would have the chance to meet him I would be so happy all my life.
@SaidMohamed-j2vАй бұрын
Mimi ni Mkongo 🇨🇩 Nampenda sana bwana Manara. ❤❤❤ kama siku moja ningepata nafasi ya kukutana naye ningefurahi sana maisha yangu yote.
@_Wayiva_mukuta_jeanАй бұрын
@ merci 🙏 beaucoup pour la traduction mon frère 👨 j’ai trop aimé 🥰 ton geste 🤲.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥳🥳🥳
@Anonymous23216Ай бұрын
Tu es fou et malheureux
@HassanHassan-dk5dbАй бұрын
Haji Manara Bugatti ,,,,akili nyingi upo vizuri
@MariahHamsonАй бұрын
HAJI..... FOCUS Please.
@ankalmzito254Ай бұрын
mwijaku na mzungu wanaulizana nini sasa😂😂😂
@zachariamishai7258Ай бұрын
Ila wanawake mna mioyo migumu mno aseee 😂 mheshimiwe kwa kwel 😅🙌
@jacklineisack133Ай бұрын
😂😂
@SaidiYahya-t1cАй бұрын
Kwann Wana mioyo migumu umeona nn
@elingimiemakundi1229Ай бұрын
ACHENI ubaguzi
@AbuuRuqaiyyahАй бұрын
Huyu jamaa sifa zitamuua.hela Huna za kuwafikia mwijaku na babalevo wamekuzidi sana
@AzhadSaid-j1tАй бұрын
Hapa mwanmke yuko kimaslah manara unaliwa😊
@fasterwalker1464Ай бұрын
Washamaliza mwaka ww endelea kulia lia hvohvo 😂😂😂😂
@ahz6907Ай бұрын
@@fasterwalker1464 ruby alimalimaliza miaka mingap?
@MariamuJuma-t8zАй бұрын
@@fasterwalker1464inabidi aamuke Bado mapema lasiivo atakumbuka shukakumekucha
@fasterwalker1464Ай бұрын
@@ahz6907 Mnakaa kuhesab mahusiano ya watu Ok ruby nanani
@AlfakanasaАй бұрын
Mtu wa maan kabsa ila kamdomo ndgu ila uko sawa babu
@mathewdavid6073Ай бұрын
Hahaha upo sawa hapo kwenye mwanamke chake ni chake ila mwanaume kilakitu niwewe 😂
@masudimikidadi4741Ай бұрын
Huyo ndio Bugatti
@moodyzanzibar4336Ай бұрын
KAMA UNMJUA MUNGU NA KUMTHAMINI USINGEFANYA MAMBO YA MUUNKARI KWA MUNGU NA UMSHUKURU MUNGU NA HASIRA ZAKE WATU KAMA NYINYI MUNGU HUWA HAWACHELEWESHI
@BenardLucumayАй бұрын
Timu ya Taifa rather ! Ni siyo Taifa ya Taifa!
@BuiKishkOnlineTvАй бұрын
😀😀Chakechake sasa
@ivantompoo-c9kАй бұрын
Mke gn mzungu ach tukae karibu na mwinjaku akujibu ili ukome
@AhmedSaid-mk7qsАй бұрын
Wew manara huna la kusema sasa wakati wako wako umeisha rudi temeke ukafuge kuku
@mubajoti743Ай бұрын
Kweny dini ya uislam cha mume ni cha mume ila ni wajib wke kump mkewe ila cha mke ni cha wote
@fasterwalker1464Ай бұрын
Tunaongelea uafrika na uhalisia sio Udini
@ahz6907Ай бұрын
Uongo
@sharifushabani3906Ай бұрын
Haj unavimba sana acha makuu wewe unavyo mpondaga mo we unamzd nn mo
@saidbakar-qo6riАй бұрын
Kwa hiyo wewe tajiri akikudharau na kukudhalilisha utakubali kwa sababu ya pesa zake au hujui kama mo ni bonge la tapeli utajiri sio wa kwake Mali ni za baba yake mzee ghulam na yupo hai acha ushamba wa kujishusha kwa matajiri ujinga huo manara amekataa
@allymtunge5530Ай бұрын
Wakati unajisifu mkubwa. Usisau. Kuwashukuru mashabiki wa simba
@OsmaniSiameАй бұрын
Unaelewekaga sana bugati
@EricRuttaАй бұрын
Mnafiki,kigeugeu,mbinafsi( UMimi)!
@Tamatama-p1eАй бұрын
😅😅😅😅
@mosesmwandi9651Ай бұрын
Bwana mapua
@LuqmanKawela-qf8nyАй бұрын
😂
@Am-vo5cuАй бұрын
Huyu onja onja wa wanawake mnamupatia time ya media ya nini?
@albertjames6845Ай бұрын
Alikuonja au
@LuqmanKawela-qf8nyАй бұрын
😂
@LuqmanKawela-qf8nyАй бұрын
@@albertjames6845😂
@albertjames6845Ай бұрын
@@LuqmanKawela-qf8ny 😄
@SaidiYahya-t1cАй бұрын
Huyu ndio kaka mkubwa kajibu kikubwa
@dominickkisulo8017Ай бұрын
Pua kama ya rEvo BA😂
@ImaniBalankwayaАй бұрын
et hajj na mkewe msitiri mkeo wew antmbea uji ktokan na mafundisho ya dini yko
@herimbaruku-u3qАй бұрын
We're haha manana were timu Gani.
@rutakihama3523Ай бұрын
El Bugatti
@shukurufrancisАй бұрын
wangapi wameona katoa logo ya GSM kwenye chupa la maji
@MarjebyАй бұрын
Pua ya Haji Manara ni kivutio cha taifa
@paulPius-uk9rqАй бұрын
Wewe jamaa fala kweli yani
@LindaMbilinyi-n3nАй бұрын
😅😅😅😅😅😅
@dorothmsuya1686Ай бұрын
Weka na wewe ya kwako tukuone! Bichwa lile!!😢😢
@nicholauskilosa5336Ай бұрын
Msenge kabisaa
@shabaniajaha4327Ай бұрын
Tabia hiyo sio nzuri kumkosoa Muumbaji
@FatmaRashid-fv6peАй бұрын
Kama we’re ulivyokuwa unamsema mo alikuwa hapungukiwi wala humpinguzii maana alikudharau hakuwahi kukujibu 😂
@LuqmanKawela-qf8nyАй бұрын
😂 noma sn
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
😂😂😂😂
@myself4128Ай бұрын
Acha Matusi hajajiumba
@LuqmanKawela-qf8nyАй бұрын
😂
@SimbaJumanneАй бұрын
Bugattii
@SaidMlemetaАй бұрын
Mnafiki wew manara ndo tatzo lako kubwa
@tosh7671Ай бұрын
Achana na timu yetu kuingiza chokochoko na lisura lako kama unataka kufa
@mustaphasegeja1712Ай бұрын
Dah chukua maneno yake Ila usimchukie mtu
@richardpembe606Ай бұрын
Huyu jamaa kuna siku anakuja kuwa chizi
@BakariKingazi-f1mАй бұрын
Haya bhn
@yusuphbudodi6720Ай бұрын
Manara mke mke mkubwa mbona hutembei naye kwenye matukio yako ?
@ahz6907Ай бұрын
Ana mke mmoja tu huyo unayemuona hapo...wengine alishawaacha.
@MtanganyikaTanganyikaАй бұрын
Yule pale ni nani yule mama Ako Simke wake
@mathewjames4325Ай бұрын
Du akikufuata fuata tena du
@MkoiTvTzАй бұрын
HISTORIA NGUMU SANA MIAKA 25 TANGU AMEMZIKA MKEWE, LAKINI ANAPITIA MAGUMU SANA EEH MUNGU WEEEEEH kzbin.info/www/bejne/rJO1oWWOlNWCaqs