No video

Kocha Mexime Simba Wanatimu Nzuri, Afunguka Kuondoka Chama na Miquissone

  Рет қаралды 27,516

BM TV TANZANIA

BM TV TANZANIA

Күн бұрын

SUBSCRIBE HAPO JUU
tembelea WEBSITE YETU
bmtvtanzania.com/
INSTAGRAM
/ bmtvtanzania
FACEBOOK
/ bmtvtanzania
TWITTER
/ bmtvtanzania1

Пікірлер: 14
@vanminja7556
@vanminja7556 2 жыл бұрын
Mwandishiii hamna kitu daaah ni aibu kubwa
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 2 жыл бұрын
Mate kibao fala huyo. Mwandishi gani mjinga huyo
@vanminja7556
@vanminja7556 2 жыл бұрын
Badilisheni mwandishi au ajifunze zaid
@johnjackson4363
@johnjackson4363 2 жыл бұрын
Mwandishi hajajipanga maswali hayana kichwa Wala mkia
@lawlencekalenga4212
@lawlencekalenga4212 2 жыл бұрын
Huyu jamaa mpira ni sifuri kabisa mwanahabar
@tonyaron1194
@tonyaron1194 2 жыл бұрын
Mhandishi kiazi
@richardsweduka4537
@richardsweduka4537 2 жыл бұрын
Huyu jamaa duh
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 жыл бұрын
Kocha anamajibu ya kunya huyu watangazaji wengi hawapendi kumhoji
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 жыл бұрын
@Lucas si kwamba ana majibu ya kunya..huyu kocha anasema kweli..na watu wengi huwa hatupendi ukweli tunataka kusikia ushabiki,au kupakwa mafuta na kupewa sifa usipostahili..mfano angalia swali alipoulizwa kuondoka kwa Chama na Louis Simba..angejibu kama anavyotaka Mwandishi tayari ingekuwa ni Heading ya kuuza habari..lakini kajibu vema mfano hakuna winga mwenye sifa mpaka sasa kama Lunyamila lakini Yanga ipo..au enzi za Mogella Golden boy enzi hizo lakini Simba ipo..amecheza mpira kwa mafanikio ndio maana ana uhakika wa kusema mpira haulinganishwi..Pele hawezi fanana na Messi..au Garincha hawezi fanana na Gaucho..majibu ya Mexime ni ya kweli tupu na wengi hawayapendi
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 жыл бұрын
@Lucas pia tambua watangazaji wengi wa sasa wanauliza maswali ya mtego ili ujibu kile wanachokitaka wao..sasa wanapojibiwa ukweli inaonekana wanajibiwa hovyo..sasa tazama mtangazaji anasema Mtibwa si timu kubwa kwa vigezo vipi alivyotumia??anaulizwa 99 wakati Mtibwa inachukua Ubingwa mfululizo alikuwa na umri gani anasema alikuwa chekechekea sasa kwa nini asitumie kigezo cha umri wa Mtibwa kwenye ligi na mafanikio yake kuiweka kwenye kundi la timu Kubwa?? Ukweli utabaki palepale..Mexime kacheza kwa mafanikio Mtibwa na Taifa..pia Kafundisha Kagera kwa mafanikio sana..anachoongea ni facts
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Lucas, huyu ni Kocha anaeelewa anachokifanya. MKWELI kupita kiasi. Waandishi wanamaswali ya Umbea na Uchonganishi, hivo basi kwa MEXCIME humpeleki huko. Sio kwamba waandishi hawapendi kumhoji ila WANAMUOGOPA sana anapochomoa WAYA za Betri
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 жыл бұрын
@@minskbelarus7255 👌 Super..umeona eeeeh?? saaaafi sana👍.. Kocha hana unafiki huyo ni mkweli kupita maelezo
@kulwaboniphace3689
@kulwaboniphace3689 2 жыл бұрын
Mwandishi n pipa kabisa
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 жыл бұрын
@Kulwaaaaa...🤣🤣🤣🤣
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 45 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,4 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
WAHAMIAJI HARAMU WENGINE WAKAMATWA TZ WAKIELEKEA BONDENI
3:48
BM TV TANZANIA
Рет қаралды 75
CCM RUKWA YATOA TAMKO ZITO
2:02
HABARI POPOTE
Рет қаралды 276
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 45 МЛН