No video

Kocha Mgunda aongea kwa mara ya kwanza akiwa Simba

  Рет қаралды 76,112

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@farhaadkassim4168
@farhaadkassim4168 Жыл бұрын
Tunaku takia kazi njema baba .. mungu aku simamie . Mzee heshima nyingi kwako
@emmanuelchaplingi9050
@emmanuelchaplingi9050 Жыл бұрын
Amina
@allykhamisally9077
@allykhamisally9077 Жыл бұрын
Kazi njema coach JUMA MZUNDA piga kazi waache waseme utopolo na kazi iendelee.❤❤❤❤❤❤❤
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 Жыл бұрын
Wanaoiaminiii team kubwa Simba ... Itafanya mapinduziii ......haijalishiii tunapitia mangapiiiii........tuokubaliii simba like hapa bilaa kuchoka
@Najizilmuhsinina
@Najizilmuhsinina Жыл бұрын
Sioni haja ya simba kuhangaika kutafuta kocha mwingine nahisi wamuache mgunda angalau muda wa mwaka mmoja
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
Tumrudishe tu Abdallah kibaden
@Mkaristote8
@Mkaristote8 Жыл бұрын
Makolo fc mumeishiwa
@lkudata90
@lkudata90 Жыл бұрын
Wachezaji ni lazima wajue kuwa kufanya yote hayo ni kwaajili kuleta ushindi kwenye timu yetu na kuendelea kusalia kwenye level yetu ya Simba au kwenda hata zaidi. Kwahiyo hili Jambo nadhani wachezaji walitumie kama motisha kwao kwaajili ya mafanikio yao binafsi, mafanikio ya Simba lakini pia furaha kwa mashabiki maana hakuna kitu kingine tunapata mashabiki kutoka simba zaidi ya furaha pale inapofanya vizuri. Mungu ibariki Simba Mungu ibariki Tanzania 🔥🔥🔥🔥
@janetybubegwa5272
@janetybubegwa5272 Жыл бұрын
Mungu akutunze na kukuwezesha...najivunia kocha MTANZANIA.... KUWA IMARA USIIZOELEE KAZI/EPUKA UPENDELEO...FANYA KILE UNACHIAMINI...ITHIBITISHIE AFRICA HAUPO HAPO KWA BAHATI MBAYA
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
SimbA SC oyeee 👍
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
Wakicheza makolo na coastal union itakuwa ni mpango wa kupanga matokeo.Mgunda ana wake wenza sasa
@evaristos3414
@evaristos3414 Жыл бұрын
Tupige kwanza mluzi, muda wa kutafuna karanga ukifika tutatafuna pia. 🔥🔥🦁🦁
@sabatoelia312
@sabatoelia312 Жыл бұрын
Kwa hilo tumbo ninawasiwasi Kocha wanguu 🤭😔😔😔
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Жыл бұрын
Nina matumaini sana na Kocha J Mgunda..
@mwafrikaissa491
@mwafrikaissa491 Жыл бұрын
Nakubali chama langu 🔥🔥🔥
@georgedeo3726
@georgedeo3726 Жыл бұрын
Juma mgunda nmzur lakn aspoangalia atashndwa sababu ya matora kwann matora asiondoke
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 Жыл бұрын
Hata 1993 aliyetufikisha fainali ya kombe hili linaloitwa leo hii la shirikisho barani Afrika ni mzawa Abdallah Kibadeni na siyo hao wazungu mliowazoea.
@emmadora7848
@emmadora7848 Жыл бұрын
Kwanza Matola wa nini kama kuna vigezo hakidhi?
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Жыл бұрын
Mgunda noma Kula karanga piga mluzi.utoporo wanakula karanga na wanapiga mluzi .hhhhh simba nguv moja
@mohdseif1659
@mohdseif1659 Жыл бұрын
ℕℂℍ𝕀 ℕ𝔾𝕌𝕄𝕌 𝕊𝔸ℕ𝔸 ℍII Juma Mgunda kaenda kama Kocha kabadilika anakuwa mshabiki sijui kama kabeba kigoma na vuvuzela huko....
@edinamgulila8827
@edinamgulila8827 Жыл бұрын
Mna uhakika msiish na maneno ya media
@chieframso3600
@chieframso3600 Жыл бұрын
Ama kweli umasikini sio mzuri yani leo Simba unaamini mgunda atawavusha kimataifa dah
@josephatanazi2190
@josephatanazi2190 Жыл бұрын
Ulitakaje Sasa wewe fala au ulitaka baba ndo awe kocha? Acha shobo utaolewa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
Matora hatumtaki nakina moo na dem wake kama wameshindwa waache team
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 Жыл бұрын
MZEE WA KUFUNGUKA #KARIBU__SANA__MSIMBAZI
@stevenhassan269
@stevenhassan269 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu couch
@abuuharuna2214
@abuuharuna2214 Жыл бұрын
Unamaneno mazur ubora wa kocha unatokana na wachezaji walivyokupokea
@luhambacomedy8309
@luhambacomedy8309 Жыл бұрын
Karibu
@albabaly8297
@albabaly8297 Жыл бұрын
Exactly
@emmadora7848
@emmadora7848 Жыл бұрын
Kamari mliyoicheza msimu huu sijui kwa kweli
@alikokayange1089
@alikokayange1089 Жыл бұрын
All the best coach and player of Simba ssc tz!.
@prospermakundi2787
@prospermakundi2787 Жыл бұрын
Kila la heri gadiola mnene
@mohdseif1659
@mohdseif1659 Жыл бұрын
Hana vyeti huyo
@jerichomwandenje3657
@jerichomwandenje3657 Жыл бұрын
Mgunda piga kazi babaa
@hamisimuhibu641
@hamisimuhibu641 Жыл бұрын
All the best coach pep guardiola
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Hamalizi wiki mbili
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Duh, hii kali, MAKOLO wameazima mpk KOCHA...!...MKODISHO F.C
@boniphancebunzali5668
@boniphancebunzali5668 Жыл бұрын
All the best champ
@essaucharles6336
@essaucharles6336 Жыл бұрын
Kaz ni kazi tu
@deus8629
@deus8629 Жыл бұрын
TFF 😂😂😂✌🏽
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Watu wanapenda kutia chumvi mambo ya simba utadhani tumeuwa mtu
@mierin8456
@mierin8456 Жыл бұрын
Kuna watu maisha yao au nafsi zao hazishibiiii bila kuitolea povu Simba utafikiri...nanhii ...wanapenda kupandikiza chuki kila kukicha kiasi hata washabiki mandazi naoo wameambukizwa siku hizi wanazomea wanashindwa kuipa timu moyo wapambane . .hizi chuki binafsi ...nawashauri zikome hazijengi mpira Tanzania ...mpira ni burueani, biashara na ajira ..lete mchango chanya nanujivunie kwanhilo
@omariabubakari
@omariabubakari Жыл бұрын
Kama wachezaji bench la ufundi wanasoma comment zetu sawa ila kama hawasomi wala hawahusiki zazo bs hata haka kativii pu...mbu katoeni
@OmargMwamlongo
@OmargMwamlongo 4 ай бұрын
Ok mkubwa pga kz tubakukubali
@mierin8456
@mierin8456 Жыл бұрын
Nawashangaa wadau ambao hupenda kuangalia mambo kwa mtazamo hasi, kabla hata hawajajiongeza kuwauliza wahusika wa jambo lenyewe. Watu wanatoka mapovu utafukiri wao ndio waajiri wa mtaalamu wetu Mgunda! Ukiwa na roho hasi juu ya jambo ni shiiiiiiiiidaah, ebu wajifunze kubakiza maneno . Aibu hii
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Utopolo 🐸 FC ni wasumbufu sana!!!
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Жыл бұрын
Mm ni yanga ila uyu mwamba namkubaligi sana he is a good coach💪
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
Acha unafiki yanga hatuna wapenzi wa aina hiyo wewe ni kolo tu.
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 🤣🤣
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 Жыл бұрын
Fedha hii imesababisha kuiacha timu ya cost yatima
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 Жыл бұрын
Na ole wao watafute wazungu tena wewe ndiye kocha wa simba
@damianmhagama4398
@damianmhagama4398 Жыл бұрын
Kila la heri
@mathewungani9724
@mathewungani9724 Жыл бұрын
Mgunda boy
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 Жыл бұрын
Piga kazi mgunda
@nelsongabriel6324
@nelsongabriel6324 Жыл бұрын
❤️❤️❤️🦁🦁🦁🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@jamesjames2368
@jamesjames2368 Жыл бұрын
Utopolo povu linawatoka 🙉
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Tushawazoea MAKOLO hamjielewi, mnaazima mpk KOCHA halafu Bado unashangilia...!
@augustinomichael228
@augustinomichael228 Жыл бұрын
Nguv Moja 💪
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 Жыл бұрын
Mwambaaaa MGUNDAAAA
@selemanjulius2877
@selemanjulius2877 Жыл бұрын
Hahaha
@babaubaya7569
@babaubaya7569 Жыл бұрын
KN
@muuevara8069
@muuevara8069 Жыл бұрын
SIKILIZA WIMBO WA MANDONGA ALIO MCHANA MWAKINYO BAADA YA KUPIGWA 👇 kzbin.info/www/bejne/nGXCemSKqaeZr8U
@Karromiatz
@Karromiatz Жыл бұрын
Mchawi akamatwa kanisan 🙈 awataja wenzake 👉kzbin.info/www/bejne/o3POep6Gp6eSmZo
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 Жыл бұрын
Mgunda panga mtu Kwa uwezo usiige matola. DOA lake ni Hilo la kuwabeba wazawa hata kama wanauwezo WA kawaida
@grouptv2
@grouptv2 Жыл бұрын
Tunaitaji ushindi
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 84 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН