Mashaka mashaka atafungaaa sana huyuu...maneno ya semaji yanaishi...mechi mbili goli mbili..safi sana simba...Nguvu Moja💪💪💪
@anithawidambe75432 ай бұрын
Hongereni sana wachezaji wa Simba. AHOUA LEO UMEJITAHIDI SANA KUTOA PASI KWA WENZAKO SAFI SANA MMEONA MNAVYOPASIANA PASI NDY MNAKUWA NA MAGOLI MENGI. LEO MMEFURAHISHA WANASMBA. HONGERENI SANA
@asifreds87872 ай бұрын
congratulations brother….
@rehemadaudi3522 ай бұрын
Asante
@JosephLamau-yq1lx2 ай бұрын
Hongera wachezaji Hongera Mashabiki Hongera Viongozi hongera semaji la cafu hongera Hongera Rais wa Club MO Simba nguvu mojaaaaaa ❤❤🎉🎉🎉
@FeyMakhanda2 ай бұрын
Mungu nilindiee simba yanguu na viongozi wote na mashabiki wenzang tulovumilia mpakaa sas tunajipata simba nguvu mojaaaa❤❤❤❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
@MalikiKiza2 ай бұрын
mziki
@MalikiKiza2 ай бұрын
tarabu
@MalikiKiza2 ай бұрын
xxxxx
@Mokiwamuya2 ай бұрын
Asanteeeeeee🏷️✊🏻✊🏻✊🏻✌🏻✌🏻
@paschalduwe8172 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@Jumbe-j8i2 ай бұрын
Simba nguvu mojaaaaaaaaaaaaaa
@menaurukivuyo67962 ай бұрын
UBAYA UBWELAAA-❤❤❤ love you Simba
@mgagalaabdallah64792 ай бұрын
Namrekebisha semaj jean chars ahoua mpaka sasa kahusika kwenye mabao manne ipo hiv Game ya kwanza alitoa assist chemalon akafungwa kwa kichwa leo tena katoa assist mbili ya kwanza kafunga header edwn balua ya pili katoa assist kwa Valentino na pia na yy karud kamban so thobias mwambie semaj ahoua mpaka sasa assist 3 na co 2
@molovejunior81622 ай бұрын
Mungu awalinde wachezaji wetu waepukane na majeraha ili tuwafaidi wachezaji wetu kutokana na vipaji vilivypo kwny timu yetu.🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@youngronny68752 ай бұрын
Abdulrazak hamza wat a performance 👏 🙌
@jamesraphael95812 ай бұрын
Simba hii mungu atulinde tutafurah sana❤❤❤
@hamisimtyegee73192 ай бұрын
Congratulation to big team @simbasc
@nilmadaudi93582 ай бұрын
Hongereni wapambanaji wetu simba nguvu moja ❤
@MalikiKavindi2 ай бұрын
Asanteni sana wachezaji wetu woooote,
@Sabass-l1j2 ай бұрын
Good performance my blood Team ❤❤❤ one step a head waaaaaaaaaah
@IssaOthman-kl5jb2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Simba oeeee
@nathanmmasi38902 ай бұрын
Baba unajuwa kuongeya awa kuwezi akiyamama wewe unatisa semaji la kafu Simba nguvu mojaaaaaa❤❤❤❤❤ Simba mpira waleo warhombaya .
@RamadhaniGwaje2 ай бұрын
Hongera sana Simba yetu kwa ushind. Mambo 2 yakurekebisha. Mabeki wapunguze makosa ya kizembe na kasi iongezeke.
@ronyx6132 ай бұрын
SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA💥🔥
@SwalehJuma-e5i2 ай бұрын
Simba nguv mojaaas❤❤❤
@fadhiliedward89822 ай бұрын
Debora Mavambo🔥🔥🔥
@PeterSakalani2 ай бұрын
Mazuri yanakuja simba nguvu mojaaaaaaaa 🦁🦁🦁🦁🦁
@salimmalaka2562 ай бұрын
KIBARAKA MMOJA WA MATOPOLO TUMESHA MTIYA ADABU BADO WENGINE ❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sosomacharles99202 ай бұрын
Mnajikusanya wenyewe sanda harafu mmoja wenu anajifanya ni Yanga.
@salimmalaka2562 ай бұрын
❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@TomasiklistophaMwinuka2 ай бұрын
Hongera sana wachezaji benchi laufund kocha Fadlu pongezi kwake
@CoachYusuphMagige2 ай бұрын
Simba nguvu moja.. timu yetu inakuja, Simba mpya inajengeka
@petronillajoseph1692 ай бұрын
Kongole ziwaendee wachezaji,coch,beach la ufundi na msemaji was caf,🎉Mungu ailinde Simba yangu.ubaya ubwela
@jessicamasepo83202 ай бұрын
Amina.
@idrisayahya35682 ай бұрын
Simba raha
@SitiHabu2 ай бұрын
Simba guvu moja ilove you simba❤❤❤❤❤❤
@ixheryusuph17482 ай бұрын
Mchezo mzuri sanaaaaa...... Inatutia moyo sio siri mungu Wajaalie wachezaji wetu wafanye vizur zaidi ya leo inshaallah🙏🤝
@FaqihiAthuman2 ай бұрын
Nainjoi sana nikimsikiliza semaji letu
@beatricemsophe98392 ай бұрын
Yan mm ndo napenda kusikiliza interview zake♥️♥️
@BoazAlone-nf5ee2 ай бұрын
💪💪💪👏👏👏👏 Simba nguvu mojaa
@JosephAdam-t1h2 ай бұрын
Simba nguvu mojaaaa
@WendeMposola2 ай бұрын
Simba nguvu moja asante MUNGU tumepata ushindi mzuri 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@SabrinaSultan-h4h2 ай бұрын
Simba nguvu moja ubaya ubwela ubwela this is Simba brother bwana hatunaga mbamba sis
@AzizZuhura2 ай бұрын
Simba nguvu moja❤❤❤❤❤
@joackimumalya71382 ай бұрын
Goli la ahoua linafanana na lile Salah anawafunga Chelsea
@MilajiRamadhan-kr1vj2 ай бұрын
Simba ya ubaya ubwela mauaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JoakimMihambo-h3z2 ай бұрын
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DavidNchimbi-yp3gz2 ай бұрын
Anae niafiki kuwA Debora mavambo no mwamba naomba like zenu
@MaryNyaki-j6n2 ай бұрын
Like upeleke wapi mshamba ww kwenda huko
@BellaTuyi-hd7tw2 ай бұрын
Dua nyingi kwa chama langu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ✍️ Mabetu &Co
@MANYAMABAHATI2 ай бұрын
Simba badae ni hatareee sanaaa
@AusebioMahenge2 ай бұрын
Nguv moja❤❤
@JustineSilukala-io3nd2 ай бұрын
Kocha aangalietu pasi zamwisho Bado sana finish pass Bado wachezaji watulie kule mbele wa mtolee mkwala pasi nzuli zamwisho
@SempuleKhalfan2 ай бұрын
Kila la kher simba sport club.
@mrpaulbinezekiel1102 ай бұрын
Wa kwanza nipo nasbr semaji la caf
@kastomwaipopo17632 ай бұрын
Kiukwel umeongea point semaji mabeki Wana makosa mengi wajilekebishe🦁💪
@rockygappi10182 ай бұрын
Mpira ni mchezo wa makosa...mwanzo ulilaumu forward..sasa umehamia kwa mabeki...mechi ijayo na wewe shabiki jilaumu kwa kuikosoa timu kila mara😂😂😂
@samonaukiro43912 ай бұрын
Shabiki maaandazi
@ElisanteElias2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ simba guvu moja
@StevenBare-z2s2 ай бұрын
Mungu watie wchezaji wa simb nguvu na moyo wa kujituma
@deejayfifty96262 ай бұрын
Tisha sana simba nguvu moja
@JamesJoseph-u2q2 ай бұрын
Mwaka huu wario hama simba wataipenda saaan hongera debola kwa juhudi anayo ionyesha
@DausonLee-mg4vf2 ай бұрын
Mungu ibariki simba
@revocatusmalimi45252 ай бұрын
Na bado,wanarefusha mdomo kuhusu Mkwala nilisema siku si nyingi watamuomba radhi kwa kumkosea adabu ya kumsemasema
@jaffjeff69122 ай бұрын
Bado sana pale hayuko sawa
@ismailabbas41972 ай бұрын
MUNGU ibariki SIMBA SC huu mwaka turudishe furaha yetu ya miaka minne iliyopita
@HawaUtegele2 ай бұрын
❤❤❤❤❤love simbaaa
@AminaMkumba-u3z2 ай бұрын
❤❤❤❤simba yangu ongera sana🎉🎉🎉🎉❤❤
@asajilemwamundela12202 ай бұрын
Hongera sana sana simba
@davidrulobhavako85512 ай бұрын
Nguvu moja 👊🏿
@monicachacha4552 ай бұрын
semajiiiiiiiii❤❤❤❤❤
@yahya_myemen2 ай бұрын
Nguvu moja ❤❤❤❤
@wilbard-vv9nx2 ай бұрын
❤❤❤❤nguvu moja
@VicentSanga-j5e2 ай бұрын
Ubaya ubwela ❤
@MwanamkuuNassoro-q3q2 ай бұрын
Simba nguvu moja
@khamisjohn76392 ай бұрын
Hongera saana Mnyama....mwaka huu tutawatesa mno. Kikubwa mabeki wapunguze makosa maana wanayumba sometimes so tukikutana na timu nzuri itakuwa shida
@kenedytheonest27982 ай бұрын
tatizo la timu yetu ni back pass zinachosha sana na kufanya mpira wa simba kukosa ladha Fountain gate walistahili kupigwa goli hata 8 ila tumu yetu ina lidhika mapema timu ishalegea lakini bado tuna back pass nyingi kama vile tunawakimbia ikumbukwe simba imekosa nafasi ya 2 kwa utofauti wa magoli hivyo chance ikipatikana timu ifungwe hata 10
@Paulsumbuka2 ай бұрын
❤❤❤huyo nimusemaja batari sana
@FrankAthuman2 ай бұрын
Simba ya msim huu itakua tishio sana
@emanuelnyabuke28832 ай бұрын
Simba ubaya Ubwela, asante Kwa kutupa furaha
@KhalidAlly-je8ky2 ай бұрын
Alhamdulillah
@othmanhamad78872 ай бұрын
Abdulrazak Hamza beki msafi,hachoki mana hatumii nguvu na ni beki asiepata kadi hata ya njano,safi kabisa
@PaulMhoja2 ай бұрын
Ubaya ubwela aaaa ❤❤❤❤
@Merrymerry-l4n2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@RamadhanMohd-q8l2 ай бұрын
Simbaaa nguv moj
@johnenoka73932 ай бұрын
Vamos🦁🔥
@MahaSaeed-hf3gs2 ай бұрын
Anaweka waaaaaaaa semaji letu ❤❤❤❤❤❤❤ yako
@issaKassim-rj2ci2 ай бұрын
Hii nzur sana ata miyo yet naimani itafunguka kwa furaaa,simba nguv mojaaa
@BEINGRIDHI232 ай бұрын
THIS IS SIMBA YANI NI WAAAAH
@princemesha96112 ай бұрын
Ongezeni juhud wacgezaji punguzeni makosa madogomadogo Lakin pia ongezeni kasi❤❤❤❤nguvu moja
@mekisonlukas-f8v2 ай бұрын
simbaaaaaaaaaaaaaassssssss
@stevennguruwe62522 ай бұрын
❤❤❤❤❤SMBA UBAYA UBWELA
@GreysonThadeo-y3k2 ай бұрын
Debora mavambo what performance 💥💥💥💥💥💥💥
@Khatib-xp6fp2 ай бұрын
Simba hongereni ili bado kuna level inatakiw ifike wachezaji wanapoteza mpira ovyo touch ni kwa baadhi tu ushambuliaji pia bado beki hujisahau kidg all all mmefny vzur
@hassaningalo67602 ай бұрын
Unyama sana 🔥🔥🔥🔥
@benjo_brighter2 ай бұрын
Huyu Hamza ni kitasa kabisa 🙌🔥🙌
@sabrinaaron42122 ай бұрын
Kikosi tunacho na tunatamba nacho❤❤❤❤
@DavidNchimbi-yp3gz2 ай бұрын
Semaji unafurahisha sana
@ايتيتووينويو2 ай бұрын
Hatujamalizaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂 wuuuuuuuu
@aronjohn88182 ай бұрын
Wewe Semaji unazingua SIMBA DAY ni kubwa na ni tamasha no 1 Tanzania kuliko hiyo kizi mshenzi
@absm80842 ай бұрын
Debora on 🔛🔥🔛🔥🔛🔥🔛🔥🔛🔥🔛🔥 kuna mtu anaitwa Jean Charles Ahoua aaah soon tu kitaeleweka
@luluray21152 ай бұрын
❤❤🎉
@Bumutz-po2df2 ай бұрын
Simba ♥️♥️♥️♥️♥️
@MwadyFex2 ай бұрын
Simbaaaaa
@mdmediapro_tz3512 ай бұрын
Siwadai
@WestonMbadame2 ай бұрын
Hongeren sana wanalunyas
@alnurumlaponi91392 ай бұрын
Tuendelee kuwatoa wasiwasi wachezaji wetu wako vzr sana