Hongera sana wanajeshi wetu! Muda hakuna ratiba ngumu sana ila tunakimbizana nayo! Mungu awabariki
@selemanmcharazo16 сағат бұрын
Congratulations to our players and our coach for making rotation of the players the way to maintain classes of and Energy level we know that class of players are but giving opportunity will help the team when there's emergency to the key players like injury not to be in difficult time because others will give you good thing as we Saw Yao didn't play kibwana performed well all matches so is good.
@muddymuzungu435716 сағат бұрын
I second you brother! I was like Prof Narby period used to make a rotation of the players
@LucaiyaKyaka14 сағат бұрын
Mashaallah tunamshukuru M/Mungu kwamafanikio anayotupatia na kuwajaalia wachezaji kuwapa uwezo Alhamndulilah nakuomba Allah wazidishie uwezo zaidi Inshaallah
@mamboshepea88882 сағат бұрын
Na majeuhi wapone haraka InshaAllah
@fatmasuleiman388516 сағат бұрын
Allahamdulillah mwenyezimungu awarudishe salama In sha Allah.poleni sana hakuns kulala wala kupumzika kazi2 tu Asanteni💛💛🙏
@amaniomar175517 сағат бұрын
Endeleeni kupambana wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi 🎉🎉🎉 Narudia tema wananchi target ni 1M subscribers
Alhamdullilah 🙏🙏 congratulations our players we need like that don't laugh with any one be strong take good results any where in Sha Allah together we can🤲🤲🤲.
@AlmachNestory15 сағат бұрын
Kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
@abisinakingazi749712 сағат бұрын
Mungu awape afwa wachezaji wetu ishaallah
@SelemanMagambo17 сағат бұрын
YANGA BINGWA 💚💚💚👈
@EdwardSimon-t8o17 сағат бұрын
mungu ni mwema 💛💚💛💚💛💚
@mamboshepea88882 сағат бұрын
Kila wakati...
@lwagamwakalinga803810 сағат бұрын
Duh nimewaza mbali saana kuhusu serikali yetu na miundo mbinu yetu kwa kweli inatia moyo. Imagine timu kubwa kama Yanga ambayo kutokana na umbali wa Dar to Dodoma ili kutochosha wachezaji wangeona bora watumie ndege lkn wameona treni ya umeme ni bora pia kwao hayo ni maendeleo makubwa sana kwa Taifa letu
@johnvedastus307914 сағат бұрын
Endelezeni kasi hiyo na muongeze zaidi hakuna kurudi nyuma 🎉
@neemamtenga268712 сағат бұрын
Well done team and safe Journey
@SarapallangyoSarapallangyo16 сағат бұрын
Yanga 💚💚💚
@daniellekamoy430617 сағат бұрын
💚💚💚💚💚
@JosephChrisant16 сағат бұрын
Afande Bacca yuko na kuku wake 😂😂😂
@ArnoldRwegasira-hp9gt16 сағат бұрын
Safari njema
@brycesonmathias61128 сағат бұрын
Pacome should reduce the fuss and greed. he destroys attacks and scoring opportunities, Mzize aongeze mashuti na maamuzi ya haraka
@BbasuleBasule16 сағат бұрын
Alllamdulilah 3 Muhimu
@HabibaKhamisi-xo8tz13 сағат бұрын
HAPPY BOXING DAY 🎁🎁🎁 MABINGWA WEZANGU WA MUDA WOTE NA KHERY YA MWAKA MPYA 2025 KWETU SOTE ALLAH ATUFIKISHE KWA SALAMAAA AMEEN 🙏🙏🙏
@ErickKaigi15 сағат бұрын
Polen na safari njema
@radhiamussa162913 сағат бұрын
Maombi kila siku mpo kwenye dua zetu fitna nyingi mno msijisahau
@abdulkareemchande720415 сағат бұрын
Yanga bingwa
@kolosii435112 сағат бұрын
Hapo kocha na wachezaji ndio kwanza pre- season. Bado mambo hayajakaa sawa.