Рет қаралды 1,385
Karibu uangalie jinsi Kwaya ya Mt. Joseph ilivyowachangamsha na kuwateka hisia watu kwenye tamasha la Yesu ni Mwema kwa 'koktaili' ya nyimbo safi za kumsifu Mungu! Ni mkusanyiko wa vionjo tofauti vya nyimbo zilizolevya mioyo kwa sifa, shangwe na furaha. Usiache kubonyeza like, kuacha maoni na ku-subscribe ili kupata zaidi kutoka kwa Mt. Joseph Choir!