RAIS DKT.SAMIA AKIWA KANISANI AIMBIWA WIMBO MAALUM WA KAZI IENDELEE NA WANA KWAYA JIMBONI MWANZA

  Рет қаралды 46,600

MAWENGI TV

MAWENGI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@felixkisaka3289
@felixkisaka3289 Ай бұрын
Asante Mungu kwa Nchi yetu Tanzania na Watu wake pamoja na Maendeleo Yetu Kitaifa na Kimataifa 🇹🇿🌍🌎🌏 🇺🇬🇰🇪👍🏼👍🏼KAZI IENDELEE
@franciscataiti5301
@franciscataiti5301 23 күн бұрын
Final blessing I have just received is sufficient.. Forward ever backward never
@melkiadesmogella6402
@melkiadesmogella6402 17 күн бұрын
Hongereni sana
@IREENNTIJE
@IREENNTIJE Ай бұрын
Kazi iendelee hongeren sana wanakwaya ni kawaida waflume kuburudishwa 😊
@meriuscleophace8145
@meriuscleophace8145 Ай бұрын
Kazi iko sawa mbarikiwe sana
@JescaKiria
@JescaKiria 20 күн бұрын
Napenda sn cotholc
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 16 күн бұрын
inatupasa kuwa makini sana, huku malalamiko.....huku kusifia ...aisee hadi tunashindwa kueleweka
@NeemaPeter-e9z
@NeemaPeter-e9z Ай бұрын
Umevipiga Vita vilivyo vizur, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda. Pumzika kwa Amani Mtumishi wa Mungu.
@SilvanusMbata-zu6cg
@SilvanusMbata-zu6cg Ай бұрын
Nirais wamfano kwadunia nzima kawazidi wengi sana nawengine waige mfano kwa mh. Samia haijawahi kutokea kuwa namarais wamfano kama hawa yaani awamu ya 5 na6 wanaupendo waajabu mkubwa sana hongera mh.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
MSIGEUZE NYUMBA ZA MUNGU KUWA MAJUKWAA YA SIASA.
@kimeramapunda7016
@kimeramapunda7016 2 ай бұрын
Mama wanzania tunakupenda Sana,mama ni kama bikira Maria mama wa Yesu
@fadhilisawe434
@fadhilisawe434 2 ай бұрын
Mmeacha kumwambia Mungu mmeanza kuwasifu binadamu aya
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 2 ай бұрын
Mungu washa maliza ilo,, tulio Kwa kanisan apo ni mwisho misa imeisha tear
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Ай бұрын
Focusnon God. Not rais. Hathamini hivyo vitu. Lengo lake mumchague!! Changamkeni!!!!
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Ай бұрын
Acha kusifu binaadamu. FOCUS ON GOD!!! VIPI NYIE???? HILO SIO JUKWAA LA SIASA!!!!😊
@Meryfilipo
@Meryfilipo Ай бұрын
Cha ushamba kijana huoni kama misa imehitimishwa kabla ya wanakwaya kuimba???
@festokemibala5832
@festokemibala5832 25 күн бұрын
Hili ni Kanisa au jukwaa la siasa? Haya yanayotokea yanahitaji kupongezwaa kwa wimbo wa baraka au ni kumpa maneno ya kumkumbusha kutenda haki kwa viumbe wa Mungu? Wakisema makanisa tumenunuliwa tutakanusha kweli?
@epimackjohn461
@epimackjohn461 Ай бұрын
Ilitegemewa nyimbo na matukio yote hapo yangesimulia historia ya UONGOZI bora wa JULIUS K NYERERE ili walioko waige mfano .
@EliaDaqaro-z9h
@EliaDaqaro-z9h Ай бұрын
1:11 1:12
@Jal210
@Jal210 2 ай бұрын
Yaani una
@SalambaPeter
@SalambaPeter Ай бұрын
Kanisa leru kathoriki hapo ndipo linaponichanganya wakati wa nyerere hakukuwa mambo haya ya kuwatukuza hawa majizi lkn leo watu wanauawa ,wanatekwa ,ufisadi wa kutisha vinatamalaki , halafu tunawapongeza au nas ni machawa madhabahu
@DamasNakei-bb7le
@DamasNakei-bb7le 3 күн бұрын
Imeandikwa usimnene vibaya au kumlaani mkuu wa watu wako, Kutoka22:28, Mhu10:20, 2Pet2:10. Siyo kwamba hakujua mapungufu yao, jukumu letu ni kuwaombea. Siyo kuwatukana viongozi. Mungu mwenyewe alitoa kibali kuweko pale, kwani ana uwezo wa kufanya vinginevyo.
@EsterKaduma
@EsterKaduma Ай бұрын
😅
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 2 ай бұрын
Roman katoliki wako mbali sn
@GracePatrick-zc2eb
@GracePatrick-zc2eb 6 күн бұрын
We nd upo mbali
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1,3 МЛН
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 459 М.
AMETEREMKA by Emil Shayo:-The MAVOS ((Official video)
5:48
NYUMBANI MEDIA Pro.
Рет қаралды 36 М.
Mt. Kizito Makuburi - Nalisema (Official Music Video)
5:40
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 716 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.