KOMANDO MADAFU AWEKA WAZI KILA KITU BAADA YA KUTOKA IKULU

  Рет қаралды 40,840

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 123
@jmm1840
@jmm1840 Ай бұрын
This guy is very clever. He has a big secret that professionally knowing him will give you extra intelligence
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 Ай бұрын
Siyo kweli
@dreamersonlinetv6496
@dreamersonlinetv6496 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/hKeWd42tn9F2m9ksi=h64eaA-lV7nFRXJD
@shemarichard1459
@shemarichard1459 Ай бұрын
❤Kljjlj 😊😊​@@brownsebastianmwibi5647
@dr_englyandojunior6610
@dr_englyandojunior6610 Ай бұрын
Wanahabari mnazingua ,iv kuna shida ukitumia kiswahili fasih bila kuchanganya lugha .. muangalie mnaongea na na nani ndio ufikilie aina ya lugha unayopswa kutumia
@dreamersonlinetv6496
@dreamersonlinetv6496 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/hKeWd42tn9F2m9ksi=h64eaA-lV7nFRXJD ingia hapa
@Nablee_Offial
@Nablee_Offial Ай бұрын
Kwann win anakuw mwanamke wa kwanza kwa wanaume wengi
@geofreygeorge9502
@geofreygeorge9502 Ай бұрын
Uyu kweli kipensi komando
@kisinza6077
@kisinza6077 Ай бұрын
Siyo Lazima umri bwana mnazingua sana
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Ай бұрын
Komando wa kigambon i❤
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Ай бұрын
Mtangazaji kichefu chefu weye mwenyewe umeanza kutiwa unaumri wa miaka sita na humjui aliyekutia hadi leo ushamsahau maana ulukuwa mdofo unatiwa ile mbaya. Wacha kuuliza mambo ya kishenzi shemzi. Huna mvuti dada Kakojoe ukalale.
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Ай бұрын
Maswali ya kikoro@diva soon huna kazi wasafi uende crown sasa
@musajackson3289
@musajackson3289 Ай бұрын
Mwamba mpole sanaa
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 Ай бұрын
Huyu Malaya ikifanya kipindi na Mimi makofi yatamhusu! ana maswali ya kupuuz sana
@dreamersonlinetv6496
@dreamersonlinetv6496 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/hKeWd42tn9F2m9ksi=h64eaA-lV7nFRXJD
@Wise1983
@Wise1983 Ай бұрын
Mbona watu huwa wana taabu kusema miaka yao.Kwani ndo iweje.Hata kwa wanawake si kuzaliwa kukua kawaida tu?Kwani si hata masaa huenda kila dakika.kuzaliwa mapema au baadae ni jinsi mtu alivywo pangiwa Kuja Duniani.Old is Grace
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g Ай бұрын
Yaani huyu dada hafai kuwa mtangazaji kabisa
@johnsonlewa9045
@johnsonlewa9045 Ай бұрын
Kabisa
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
NIYEYE
@user-yj4iw6pg8u
@user-yj4iw6pg8u Ай бұрын
We mwandishi fara sana yaani unawaza ngono tu unashindwa kuwaza maswali ya muhimu na hiyo ni tatizo ya wanawake wasiyofikishwa.............
@nyumbanituthegendaheka7222
@nyumbanituthegendaheka7222 Ай бұрын
Utakuta ajasomea hata uandishi...amepata kazi kwa mwili wake...maswali ya kofia umenunua sh ngap ujinga tu
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 Ай бұрын
Huyu jamaa Tusubirie Siku akiitwa na Skywalker SNS kuijiwa tutajua kilakitu huku Media Zingine wanao stress za Mapenzi huko .. Huyu Diva Anao Mastress Ya Mapenzi na kupunguziwa Mshahara Na Diamond...😡
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Kabisa nakubaliana na wewe miongoni mwa watangazaji wangu bora ni 1. Skywalker 2. Millard Ayo Hawa jama wanahoji bila ku fake fake lugha Yani wanahoji kiuhalisia kabisa.
@user-tw9wu2gz4g
@user-tw9wu2gz4g Ай бұрын
Kabisa kasomea uandishi huyu khaaaaa.
@michaelmulokozi1512
@michaelmulokozi1512 Ай бұрын
Sauti ya Diva mpk Komando kalegea😅😅😅
@amossamwel8795
@amossamwel8795 Ай бұрын
😂😂noma sana
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 Ай бұрын
Jamaa kashaenda mjin
@Hasnspop
@Hasnspop Ай бұрын
😂😂😂😂😂 jidanganyeni mtachea huyo ni komandoo
@enocklameck3808
@enocklameck3808 Ай бұрын
Katikati ya hiyo miaka
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 Ай бұрын
Kwa hiyo hakuna cha maana záidi ya kiki
@KiboshoNjenge
@KiboshoNjenge Ай бұрын
This time tuwe makini
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv Ай бұрын
Mtangazaji ni wakiwango cha chini sana yan maswali na lugha za kuchanganya changanya mara kiingereza mara ki Swahili
@touches4lifeonlinetv46
@touches4lifeonlinetv46 Ай бұрын
Swali zuri lilikua la miaka ambalo nalo halijafanikisha na hatujapata majibu😱
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Ай бұрын
Huwezi kuweka wazi umri wako anafahamu huyo weye mzungu lakini mshamba. Umri ni haki ya mtu si la,I'm kutaja wacha ushamba. Unajifanya lakini mambo muhimu hujui. Umri ni hilarious ya mtu tuutangaza huwezi kulazimisha uzungu wako wote kwa hilo umechemsha. Kula hiyo kama change tema.
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Ай бұрын
we indian unasuta ??!
@EmmanuelJoseph-eg3hs
@EmmanuelJoseph-eg3hs Ай бұрын
Daaa!!!! uyu kweli komando: nimechoka alipo ulizwa, uliwai kwenda kwa mganga akajibu apana msikitini au kanisani akajibu mm ni muumini wa angrikana.
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 Ай бұрын
Kimsingi uyo diva ana matatizo ya kimawasiliano
@edwinmakingi3631
@edwinmakingi3631 Ай бұрын
Nafikiri huyu mwandishi Ni mbobezi wa stori za mapenzi, si mwanzish wa habari professional!!?
@lelaomary
@lelaomary Ай бұрын
😂
@lizzybrownlizzy6094
@lizzybrownlizzy6094 Ай бұрын
Mtangazaji feilure
@sam_ngulinzira
@sam_ngulinzira Ай бұрын
Homeboy yuko vizuri ila mtangazaji hajafanya poa! Pia kuzungumza maswala ya chama wakati wasikilizaji na washabiki wanatoka vyama tofauti inaweza kuleta picha mbaya kuwa Wasafi ni ya CCM.
@OthanMedia_
@OthanMedia_ Ай бұрын
😂😂😂 Eti Komando Madafu,,,,
@prezyb1699
@prezyb1699 Ай бұрын
Hiv huyo mtangazaji kasoma kweli?
@marcominja8850
@marcominja8850 Ай бұрын
nadhani kuna tatizo la msingi kuhusu watangazaji,hawana uwezo wa kuhoji, hawana mtiririko mzuri wa kuhoji, hawajui hata ni nini anachohitaji kuhoji.
@harizondeya7771
@harizondeya7771 Ай бұрын
Mahojiano kichefu chefu
@Commonwealth782
@Commonwealth782 Ай бұрын
Bora angefanya mahojiano na kipindi cha goodmorning, zembwera, hando, na kitenge, hapo ndo ingenoga
@rashidhamid5437
@rashidhamid5437 Ай бұрын
Muhojaji hana sifa ya kuhoji na ina magna gani kutia kizungu kati ya mshojiano.wakati anohojiwa hajajibu kingereza ni bora ahamishiwe kuhoji watu kwa kingereza asitese wauza madafu😊
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 Ай бұрын
Muuza madafu ana manager😅😅😅
@OthanMedia_
@OthanMedia_ Ай бұрын
Kumbe na wewe umesikia 😊🙌
@patrickmpangala3098
@patrickmpangala3098 Ай бұрын
Hii ndo comment nilikua naitafuta😂😂😂😂
@OthanMedia_
@OthanMedia_ Ай бұрын
@@patrickmpangala3098 😂😂😂
@NASJAYZEROTOBILLIONTZ-gl3sb
@NASJAYZEROTOBILLIONTZ-gl3sb Ай бұрын
hahaha watu wewee watu yoooyoooh
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg Ай бұрын
😢
@naqiahmad26
@naqiahmad26 Ай бұрын
ovyo kweli huyu mdada
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed Ай бұрын
Mbona anaongea kama pacha wa mondi
@user-jn9ym1pz5k
@user-jn9ym1pz5k Ай бұрын
Mwamba wasikuhojitena usikubali wamezidi pigakazi uzamadafu
@HamadiBwakame
@HamadiBwakame Ай бұрын
Mtangazaji tunajua unaweza kizungu lakini hiya mahojia no niyaya kiswahili kwanini mnatuchanganya yunoo niyingi ebullient kama mnahitaji kuongea lmambo azishen studio ya
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Ай бұрын
Hiyu jamaa anajua kuongea Sannah, alafu anaakili nyingi Sannah kiasi anaweza kujua kusudio la swali, hivyo anajua kukwepa maswali
@erickkagisa833
@erickkagisa833 Ай бұрын
Taja umr wako kijana,,,harafu huyu jamaa ni mbabaishaji tu ,,,
@NASJAYZEROTOBILLIONTZ-gl3sb
@NASJAYZEROTOBILLIONTZ-gl3sb Ай бұрын
kwani wewe ni nani?? mimi sikujui WEWE NI NANI?? mbona kwani mbabaishaji anakuaje na sio mbabaishaji anakuwaje ,imani yako inavyokutuma itakua uko sawa
@johnjoseph1106
@johnjoseph1106 Ай бұрын
Commando madafu😅
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Ай бұрын
Tanzania vitu vya hovyo ndo vinatrend saan, yaan mpk huyo mpuuzi tayari et keshapata Menejs🤔🤔😀😀😀😀
@lucasmkui3160
@lucasmkui3160 Ай бұрын
Mwandishi zingatia (ethics) maadiliya Habari tafadhari unapomfanyia interview mtu yeyote uwe makini.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
Umeulizwa mwakaaa, unajutetea. We ni kijeba tuu. Shida ndo zinakufanya uonekane mdogo.
@adiliandidas
@adiliandidas Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@angelnicholaus9248
@angelnicholaus9248 Ай бұрын
Una ulazima gani kung'ang'ania mtu akuambie umri wake kama hataki,waandishi wa habari jamani mmmh!!
@maxwell8007
@maxwell8007 Ай бұрын
mwandushi unazingua umri wa mtu ni Siri ya mtu sio lazima akwambie kila kitu hata Leo wakuulize wewe utojibu
@ManenoHussen
@ManenoHussen Ай бұрын
Mtangazaj una maswali
@MasanjangwesaJiganga
@MasanjangwesaJiganga Ай бұрын
Ila huyo jamaa aty 20years Old
@user-vi8rt9db2q
@user-vi8rt9db2q Ай бұрын
Hapa tumepigwa na kitu kizito huy ni kama 33........
@bmtv315
@bmtv315 Ай бұрын
Class member we2
@laddymghana
@laddymghana Ай бұрын
😂😂😂😂 Huyo ni komando kwan nyinyi hammwon huyo hataki maswali mengi 😂😂😂ngoja diva ayatimbe hapo na maswali yake😂😂😂
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 Ай бұрын
maswali ya kipumbavu
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 Ай бұрын
sana
@khamisimaallimtv8539
@khamisimaallimtv8539 Ай бұрын
Inabidi iandaliwe interview ambayo inawakusanya wote.
@gadiyemarciano1750
@gadiyemarciano1750 Ай бұрын
Maswali ya hovyo kichizi😅
@erickkagisa833
@erickkagisa833 Ай бұрын
Watangazaji bhana!! Kama vile hawajasoma! Huyu anasema yule aliyeshuka kwenye helcopter ni soldier ,,huyu anasema hapana sio soldier ni commando😅😅 ,,sasa najiuliza commando sio soldier?
@MussaNamkoka-xz4mv
@MussaNamkoka-xz4mv Ай бұрын
Dhu mbona komando madafu
@josephatdunda1937
@josephatdunda1937 Ай бұрын
Huyu dada anazingua
@jozetza
@jozetza Ай бұрын
Mtangazaji ongeza ubunifu, watu wanakuchoka
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv Ай бұрын
Dada wewe unachanganya sana lugha hili nikosa la kiutangazaji elewa uko kwenye idhaa ya lugha gani
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Hii nchi vijana tunasafari ndefu sana kujikomboa, tuna tatua matatizo kwa njia ambayo sio sahihi na ya muda mfupi kitu ambacho ni gharama kwa taifa ,Kipindi kama hichi kina Adolf Hitler walikua wanafanya mapinduzi na kina nyerere walikua wanajijenga kisiasa, vyombo vya habari ndio vinapalilia na kumwagilia maji ya ujinga kwene taifa wakishikiriana na wana music wao na utawala mbovu.
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 Ай бұрын
Nchii hiii kwa kutuchezesha muvi mnajua cc mininga huyuuu jamaaa anatumikaaa huyu ndo yule komandooo wanatuzani cc maboya vyombo vya habariii ni shidaaa ndo mana konki master anawadis na anawajua mambo yenu endeelezeni muviiii zenu tushawajuaaa
@emmanuel_cs
@emmanuel_cs Ай бұрын
Huyu mchizi anaishi kwenye falsafa zake.. Eti katikati ya miaka 20 au 21, dadeq
@user-ui5xc6sb5m
@user-ui5xc6sb5m Ай бұрын
Muza madafua anaye meneja jaman ndoyeye komando madafu aliyeshuka na chopa
@user-qq3fg3kq5j
@user-qq3fg3kq5j Ай бұрын
Ametokea kwa makamu wa rais 😂😂😂
@bilakawaboynew978
@bilakawaboynew978 Ай бұрын
Kumbe wa nyumbani kigoma
@tevintevin6254
@tevintevin6254 Ай бұрын
Huyu jamaa mmhhhh
@user-vt3uq3xv3s
@user-vt3uq3xv3s Ай бұрын
21 duuu
@rajumrecords711
@rajumrecords711 Ай бұрын
Kipindi kimebuma . Utamuitaje Komando mchakarikaji kwenye kipindi cha Mapenzi😂
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Ай бұрын
hahahahahaha komandoo anaulizwa umebalee ukiwa na umri gani.. akasema kitaalamu mtu ana balee akiwa na umri wa miaka 12..
@PendoPeter-rr4jk
@PendoPeter-rr4jk Ай бұрын
Miaka huyu 37
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Ай бұрын
😁😁😁😁😁😁
@njiaya6833
@njiaya6833 Ай бұрын
yaani sijaona swali lolote lenye professional yeyote ya uandishi demu ni wa jamaa flani alipewa mchongo wa kazi au?
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r Ай бұрын
Du sasa hayo maswali ndio uliotiwa hapo mwambie akaulize ofis za mabasi
@EliaMarco
@EliaMarco Ай бұрын
Kwa waandishi kama awa tusaau maendeleo
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 Ай бұрын
kingeleza cha nini ssa wew mtangazaji. si uongee tu kiswahili mbuzi wewe
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Ай бұрын
Matusi ya Nini kuwa mstarabu
@proisolution7166
@proisolution7166 Ай бұрын
hata hivyo hii kitu ina umuhimu gani hii nchi watu wameona mambo nyeti ya nchi kama kunywa kahawa,na hii inasababishwa na viongozi wetu wakuu,hawa vijana wengi kwenye hizi media uelewa wao mdogo,so mmewapa nguvu wakaitwa watu maarufu,unaona kila issue ya nchi wanajifanya kuijuvua hizi ni dalili mbaya kwetu,kwa nafasi yoyote aliyo nayo huyo kijana sisi kwetu ktk kazi zetu za kila siku inatuhathiri nini mpaka mumulete kumuhoji.
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Ай бұрын
Kicheko chazadhalu
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Ай бұрын
Mhoji na mhojiwa wote hawajui interview
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Ай бұрын
Anayehoji hajui kuhoji kuna vitu huwezi kumuuliza mtu eti umebaledhe umri gani. Hayo masuala binafsi jee wewe akikuuliza umetiwa kwa mara ya kwanza ukiwa na umri gani utaeema. Si utaona aibu maana umetiwa unaumri wa miaka visa hujabalekh. Nyoko weee. Ma hiyo kijana anaakili kuliko weye.
@angelnicholaus9248
@angelnicholaus9248 Ай бұрын
Anayehojiwa yuko vizuri na anajibu kufuatana na mtangazaji ambaye anaonekana hajui kazi yake.
@Nassor2377
@Nassor2377 Ай бұрын
Mnamlaumu mtangazaji huyu mtangazaji hana kosa huwezi kukurupuka tuu kumuuliza maswala kumjua huyo muuza madafu ni nina lazima umtowe katka reli kwanza ili umtege huyo muandishi anamtega ndio maana anamuuliza miaka yake na tayari kamshika katka miaka alikua na demu miaka 11 nyuma it means alianza hahusiano akiwa na miaka 10 ?... dada hodari ila jamaa nae ni mbobevu kiasi katulia utazani sio muuza madafu
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Ай бұрын
Mtangazaj huna ujualo unauliza balehe unataka mkia sasa
@mohdkhamis3857
@mohdkhamis3857 Ай бұрын
Ni vyma ufanye interview na Madebe na chanuo
@xxl5239
@xxl5239 Ай бұрын
UMEBALEGHE UKIWA NA UMRI GANI????? 😂😂😂😂 HUYU MWANDISHI HEHEHEHE MASUALI YOTE ALIYOULIZA HAYAENDANI KABISA NA HUYU JAMAA ALIVYOELEWEKA KATIKA JAMII
@KhalfanSaid-mo9jh
@KhalfanSaid-mo9jh Ай бұрын
Muandishi mjinga,uyo niraia mnamtafutia kiki.... askari hajileti hadharani kwenye skendo kamahizo......wewe dada nyodo....miaka 40 hapo... unaonekana atandoa huijui....nasiku ukichukuwa mume wamtu nawewe jiweke hadharani utolewe busha...Sifa zakijinga....
@petermuganda7322
@petermuganda7322 Ай бұрын
Mwamba
@captainmwata9857
@captainmwata9857 Ай бұрын
😂
@Commonwealth782
@Commonwealth782 Ай бұрын
Huyo mtangazaji ni mbongo au ni wa ulaya, viingereza vingi....hata hawezi kuendesha interview...zero kabisa
@simonpeter5300
@simonpeter5300 Ай бұрын
Mnaomkosoa mtangazaji mjitathmini!! Kipindi kinahusu mahusiano , nyie mnataka amuulize maswali yapi
@mpsanga2914
@mpsanga2914 Ай бұрын
Maswali ya kijinga kabisa mwandishi anauliza pia mwamba anauerewa mkubwa anajibu kwa kunyooka pia uyu jamaa ni mwamba
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Ай бұрын
Maswali ya kijinga mwandishi jinga
@ezronhussen5401
@ezronhussen5401 Ай бұрын
Dogo muongo wewe una watoto pia una zaid ya miaka 23
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 Ай бұрын
Ni kwl n mkubwa ila kama uliskia alsema swala la umr hayupo tayar kulizungumzia leo kwahyo hawez kwambia ukwel
@didassadik8075
@didassadik8075 Ай бұрын
Uncle mbona hivyo 😂😂😂😂😂😂 lkn
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 Ай бұрын
Maswali ya kijinga kabisa
@BalbinaKitambi
@BalbinaKitambi Ай бұрын
Jinga Hill liandishi
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 Ай бұрын
Huyu Malaya ikifanya kipindi na Mimi makofi yatamhusu! ana maswali ya kupuuz sana
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Ай бұрын
We dada diva unaharibu jamii
@jarufuyahaya3338
@jarufuyahaya3338 Ай бұрын
Huyo dogo maelezo yke yaonyesha ni usalama
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 61 МЛН
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 3 МЛН
staff uses the cart for other purposes 🦄 🛒❤️‍🔥
0:12
iPolina Queen of the Cringe 👑
Рет қаралды 11 МЛН
天使与小丑心灵感应#short #angel #clown
0:39
Super Beauty team
Рет қаралды 29 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
0:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 4,7 МЛН
кот на подоконнике #shorts #животные #котики #shortsvideo
0:37
Тайные Истории
Рет қаралды 4,6 МЛН