Yan urusi ni baba lao hacha nawao walambe mavi walijiona sana Leo tumbo joto
@masoudalriyamy62983 күн бұрын
Mauwaji yote haya yameasisiwa na nchi za noto hawa watu wabaya sana ndio maana mwalimu alikataa kuungana na sera zao za bepari
@deniccgabriel61533 күн бұрын
Ndio maana netanyau kawaza mala mbilimbili kuacha vita na izibolla
@JohnMhogo-hd3fs3 күн бұрын
Watakoma hao NATO kwani kila siku nikulia tu na Mrusi
@IshipalemyPasko3 күн бұрын
sasa mbona wamepaniki hivyo hawa mashoga ilihali ni dogo tu na midude mikubwa ipo tu imekaa inasubili tu agizo😂😂😂😂😂
@mauwajisaouthafricaballeth97513 күн бұрын
😂😂😂😂putin mwamba ajengewe sanamu nikizaa mtoto wangu namuita putin
@aulidriver31023 күн бұрын
😂😂😂😂
@MalabaKamatta3 күн бұрын
Eeee ikiwezkan kila nchi ili tujifunze toka kwake
@issalyanali41193 күн бұрын
Muite vradimir,,,,
@FrediBatoni3 күн бұрын
Mimi tayar nilisha mpa jina pia na maria zakarova Naye nitampa hacha med medev na demitri
@BahatiMohammediКүн бұрын
Nishasema mwanangu nitamuita vladmil
@BankerForeign-r8r3 күн бұрын
Putin must be respected.
@eidallyeidally50933 күн бұрын
mwaka huu kirusi kinawaonyesh jinsi inavyoshambulia selihai za dam za nato😂😂😂😂😂
@eliasndomba79373 күн бұрын
Muda ni mwl mzuri
@CelestinAlmas-lk3cw2 күн бұрын
Hatari
@mussakimaro55883 күн бұрын
Hilo kombora tu tena lakawaida kuna midude inapashwa tu imetulia wakijaribu tu kuipiga urusi ktkti ya mji ujue mwamba keshayaseti yataamka kwa pamoja mengine marekani ufaransa uingereza na Germany tunawasubiri tu mashoga hao
@eidallyeidally50933 күн бұрын
@@mussakimaro5588 nato walijua wanapigana na hamas
@LuluAquai3 күн бұрын
Everything onterget
@IshipalemyPasko3 күн бұрын
hakika.ni bola tu huyu putini wangeachana nae kabisa
@mussakimaro55883 күн бұрын
Wangekuja kutuonea tu sisi huyo mwamba kajipanga yani silaha za nyuklia zote zimekaa mkao na target keshaweka anasubiri tu mikundu iwawashe awaonyesje kazi
@cyprianmgogo76253 күн бұрын
Br.Adam Hussein,Tafadhali wasmbia NATO watumie akili ya kawaida tu,hata wanyama wakigombana mwenye nguvu kiduchu hukimbia ili kulinda uhai na maisha yaendelee.Mwamba ni Putin,hata kama watumia nuclear,wao ndio watakaoangamia zaidi.kumbe hata wazungu ni wajinga kiasi hiki. wanataka wakione Cha moto,mbona ipo wazi licha ya kombora linalowababaisha ,ni Mtoto tu na Putin ana washirika wakali.Mbona hata maandiko yanasema ukiona hutoshi nyosha mikono mapema ili yaishe.ENZI ZA UNYONYAJI WA KIBEPARI UMEFIKA KARIBU NA MWISHO.
@JosephatiKisinda3 күн бұрын
Atawauwa Urus kiboko
@MarckMasaki3 күн бұрын
Yajayo yanafuraishà Vodacom kazi ni kwako popote ulipo tupo piga hao
@othumanomari1589Күн бұрын
Hawajasema bado
@adamkapolo881714 сағат бұрын
Iran akiwezeshwa hayo makombora hawatomgusa tena maana wanamtafuta sana
@MarckMasaki3 күн бұрын
Ila hata wachawi wa Tanzania wana makombora ya hatari sana ni zaidi ya nuclear
Hilo kombola linashuka kama Thor thunder God alafu linagwanyika mara 36 hata wewe huo usingizi unatoa wapi
@eliaskuyi16873 күн бұрын
Na linapiga target tofauti tofauti kwa usahihi
@IshipalemyPasko3 күн бұрын
hahaahaahhahaa shenzi kabisa umejua kunifurahisha kaka 😂😂😂😂😂😂😂
@IshipalemyPasko3 күн бұрын
@@eliaskuyi1687hakika yajayo ni yanafurahisha
@habibukitwana15523 күн бұрын
@@eliaskuyi1687😅😅😅
@majidiabduli3 күн бұрын
😂😂😂
@juliusshirima11513 күн бұрын
Nato wajiondoe ukren
@SumuuKijoka3 күн бұрын
nato wakubali matokeo
@nizarrama2253 күн бұрын
wamepigwa miaka 3 sasa wanaona aibu dunia itawacheka wakati zama zimebadilika muda tu
@IshipalemyPasko3 күн бұрын
@@nizarrama225je bora aibu au bora kipigo😂😂😂😂
@nizarrama2253 күн бұрын
@@IshipalemyPasko wanajitekenya wanacheka wenyewe
@nizarrama2253 күн бұрын
@IshipalemyPasko wanajitekenya wanacheka wenyewe
@gonanzaro55803 күн бұрын
Ngoma nzitoo
@IshipalemyPasko3 күн бұрын
nzito kwa wana minato kaka ila kwa mrusi nyepesi sana na anawasubili tu wajae hakika watafurahi na shoo
@JohnKaliagi3 күн бұрын
Nato .itaamua kuingia katka vita ya ardhini.kama ukreni ilivyo jaribu,,mimi naamini putini lazima akamatwe baadae,putini amekua muuaji,na kupora ardhi ya ukren
@IceCube-o6s3 күн бұрын
Acha kutumia matako badala ya kutumia akili mjinga wewe...unajua unaongea Nini??? Mtu mwenye ata hajui historia ya URUSI ama sababu ya URUSI kuvamia Ukreni ni nini
@PAULNYANDILE3 күн бұрын
sasa jitu lenyewe unaitwa eti kaliagi 😂😂😂unaanzaje kuwa na akili,hata baba Yako alishawahi sema amekuzaa zwazwa Leo nimeamini
@PAULNYANDILE3 күн бұрын
@@IceCube-o6sachana nae huyo bro ni jinga hata baba yake alishawahi kusema amezaa galasa/zwazwa nakumbuka😂😂😂
@eidallyeidally50933 күн бұрын
@@JohnKaliagi umesahau kma ukrain ilikua soviet nikam shamba ulilopewa na baba yako huna mamlaka yakuliuza kwaadui
@RphaelMwambenja-g2g3 күн бұрын
Kama Putin kapora arizi ya ukirein ao NATO kinawawasha Nini ndio ujuwe Wana masilai nayo wameamuwa kuitoa kafara ukirein Wacha wakufe na raisi wao kichaaa 😂😂😂