Kongamano la wabunge weusi wa Marekani lajadili jinsi kura za watu weusi zitakavyoleta mabadiliko

  Рет қаралды 550

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Zikiwa zimesalia siku 50 kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani, Kongamano la Baraza la wabunge wamarekani weusi limefanyika na kuangazia uchaguzi na jinsi kura za watu weusi zinavyoweza kuleta mabadaliko. Jukwaa hili hutumika kuzungumzia na kuendeleza haki za Wamarekani Weusi.
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
»Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili...
»Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
»Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
»Tufuatilie katika X: / voaswahili
»Tufuatilie katika KZbin: / @voaswahili

Пікірлер
Duniani Leo
29:56
VOA Swahili
Рет қаралды 3 М.
Suala la jinsia katika uchaguzi wa Marekani
3:45
VOA Swahili
Рет қаралды 1,6 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 58 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 126 МЛН
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 38 МЛН
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 2,5 М.
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 3,1 М.
MNYIKA ATILIA MKAZO ''SAMIA LAZIMA TUMUONDOE........''
29:22
JAMBO TV
Рет қаралды 1,3 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
Why is Ukraine the West's Fault? Featuring John Mearsheimer
1:14:16
The University of Chicago
Рет қаралды 29 МЛН
The REAL Problem with Mawlid No One Talks About! | Dr. Yasir Qadhi
22:30
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН