Рет қаралды 6,750
BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutupa nafasi ya kuwa na kongamano siku ya leo. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika KONGAMANO LA NENO, MAOMBI NA MAOMBEZI linalokujia leo siku ya Jumapili tarehe 08 Desemba 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Kongamano hili maalum lina maudhui ya "KUMILIKI STAHIKI ZAKO ZOTE KUTOKA KILA UPANDE" na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.