Samahn mim nina D ya physics, D ya chemistry, D ya biology,F ya mathe ,D ya Geo je naweza kusoma coz gan hapo mbeya mambo ya sayansi
@brian2tz5 ай бұрын
Oy
@SalimuMwala-lc3cx Жыл бұрын
Naweza nikajiunga hata kama sujachaguliwa na serikali na nikapewa mkopo?
@EdgerNason-u6z Жыл бұрын
Ni jinsi gani ya kujiung na chuo
@jimmyjanuary Жыл бұрын
Application zita tangazwa kwa muda upi
@witnessmallya511426 күн бұрын
Wana intake ngapi kwa mwaka?
@RayJackie Жыл бұрын
Naweza kujiunga ata ambaye cjapangiwa na serikali kwa ngazi ya diploma?
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Unaweza kabisa
@bodyaman6 ай бұрын
Jitahidi kutembelea hii linki ili upate uelewa mzuri wa vioaji vilivyzalishwa Mbeya. University kzbin.info/www/bejne/rXXXhZehqbuIracsi=Bis9vUpry1EokEWD