Elimu kuhusu Foundation program itolewe watu wengi hawajui hii condition ya kujiunga Chuo kikuu
@mwasoprince3459 Жыл бұрын
Umefafanua vzr sana
@EnjoyLeonard6 ай бұрын
Je kwa cbg naweza kusoma audiology and speech au geology
@joelkalase21272 жыл бұрын
Mimi naomba uwe unatoa maelezo ata ya jns ya kujiunga na diploma uko vzl maana kuna kijana anasoma diploma saiv na watu Wa from4 wakat from6 kampata hivi Physics E,chemistry D,physics D alafu kakosa chuo na alitaka kusoma pharmacy na mzazi wake anaweza msomesha popote duniani
@nawalsaid553 жыл бұрын
Mm nna D yq chem D ya biology and E Ya physics jee naweza kusoma career ya optometry
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Kwa Tz Haiwezekani
@EnjoyLeonard6 ай бұрын
Je ukiwa na point 5
@saidimpako51862 ай бұрын
HOJA APO KWANIN SISI KWETU IMEKUA HIVYO NA KWA WENZETU NI TOFAUTI NA HUKO KWA WENZETU MBONA ELIMU YAO IPO BORA KULIKO KWETU
@barakajohn41602 жыл бұрын
Je,kwa mwanafunzi aliyefaulu katika somo la kiswahili na history anaweza kusoma kozi gani
@ErickYusto Жыл бұрын
🙏
@OdethaLinus6 ай бұрын
Nimemeliza kidato Cha sita Nina chemistry c,physics c na biology d he naweza kusoma nursing na chuo gan?
@MarkoSalome4 ай бұрын
Jamani mimi nimefanya mtihani mara mbili kwa mara ya kwanza nlipata D,S,S na kwa mara ya pili nlipataC,S,F lakini somo nlilopata D kwa mara ya kwanza ndo hilo hilo mara ya pili nkapata C je hapo chuo napata kweli?
@BarickJoseph-ed8ss Жыл бұрын
Vp ukiw na F math Alf D geo Alf economic B
@josephmkini61182 жыл бұрын
mtaaram ninaomba pia kuuliza je mtu aliesoma CBG anaweza soma medicine?
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Hapana CBG kwa sasa hawezi soma Kozi za Afya.
@victorcephas3618 Жыл бұрын
Nimesoma HKL niepata nimepata D Kiswahili na E Kiingereza je naweza kusoma bachelor yeyote kwenye kada ya Elimu? Huku nikisoma foundation course at the same time.
@RamadhaniHamisi-sj6jr Жыл бұрын
Unajua kutoa elimu
@saadeabdallah25282 жыл бұрын
Kwanini Tanzania itukwamishe
@abeljoshua3106 Жыл бұрын
Chuo kipi tz kinatoa Diploma ya chemical engineering
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Hamna ila diploma ya lab science anaweza soma bach ya chemical engineering
@kelvinemmanuel13852 жыл бұрын
Mm nina C ya physics na C ya biology na chemistry pia nina C je naweza soma PCB
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Unaweza kabisa
@barakajohn41602 жыл бұрын
Je endapo mwanafunzi ana"F" katika somo la general studies hawezi kujiunga na chuo kikuu
@martinemaganga52532 жыл бұрын
GS siyo lazima ili mradi awe na D mbili ktk masomo yake
@barakajohn41602 жыл бұрын
Asante sana
@adkajisi4536 Жыл бұрын
@@martinemaganga5253 hata ukiwa na E&C Kikubwa point4