Governor be strong because GOD will protect you and we KENYANS of goodwill, will stand with you. Nothing should stop you.
@hesbornotwori83655 ай бұрын
They closed bars in kirinyaga,did the president talk about it?when it comes to mugukaa its a different scenario.both of them have addiction
@trigachonse27555 ай бұрын
Muguka sio pombe wewe .Wacha iyo dhana. Ivi ni vitu tofauti
@annmutisya84285 ай бұрын
why is a must they sell muguka in Mombasa, I support you let them take in Riftvally
@sammymburu37915 ай бұрын
Kwani serikali inataka kutulazimisha tule muguka.. we are behind you governor
@waiganjokelvin22835 ай бұрын
Mtakula cha nguvu! Na mlipe Kra juu ya hiyo story.
@Princehishaam5 ай бұрын
😮😮wueh the Audacity. Sawa basi mtajua hamjui wait and see @@waiganjokelvin2283
@timggdvs79815 ай бұрын
The MOST sober governor in Kenya🎉🎉🎉❤
@SaidOmari-sx4ix5 ай бұрын
Shisha company kwa taarifa yako
@genovevashitsama96055 ай бұрын
Nashanga tuu sana na Watu wa Embu kwani ni lazima Mugoka uuzwe msa.kama ni kitu kizuuri mbona wasiuze kwao na County zengine,vile wamedharau wapwani ndio maana??sasa wamesoma hawataki sumu kwa watoto wao wacheni wasome vile wenyu wanasoma.
@rashidmbimbi30915 ай бұрын
Kweli kabisa. Kwan ni lazima gani wauze momba. Si wauze kwao
@raphaeloloo96415 ай бұрын
dawa ni tukiona mabeseni vichochoroni barabarani mwaga
@Jesse-yi7yz5 ай бұрын
Hakuna mtu hupewa kwa nguvu, unanunua mwenyewe 🖕
@winfrednyambura4375 ай бұрын
Jia rahisi ni kukataza watoto wenu kununua baba
@DavidMuya205 ай бұрын
Is this what is called state capture kina Gachagua were talking about in 2022?
@mwanakomboomari11455 ай бұрын
Wapwani hatuna umoja nadio tutabaki watumwa milele ya wakabila pombe kwa wanamwaga lkn huku mgokaa mwautaka.haya mungu yuwaona
@mahmoodmohammed16795 ай бұрын
Umoja ndo hatuna....angalia hawa wabara wanavyohangaisha watu Kwa vile biashara zao za mgokaa zimepigwa marufuku...atuna umoja huo Sisi...
@musabakari85995 ай бұрын
Wanafiki wengi sana.
@jamesmichubu46655 ай бұрын
I wonder why he's resisting muguka and himself his the addict of mirra anashikisha sana 😂😂lkn muguka coz hashikishi n mbaya
@joycendegwa94945 ай бұрын
mlikula na yeye ama ni domo kaya tu? The bottom line is let Merus sell muguka in Meru and not in Mombasa.
@genovevashitsama96055 ай бұрын
Intimidation kwa Governor vile alipinga Mugoka is veeery unfair
@EliasDuka5 ай бұрын
Kwani nyinyi washenzi sio lazima tule mogokaa Mombasa si Kenya
@nesbitmiriti43665 ай бұрын
Ambia serikali😂shenzi.
@muindimulwa21025 ай бұрын
Weee msenge Kuna waliokutangulia kusema pwani SI Kenya wako wapiiiii
@Pablo199865 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 walipewa pesa ikaisha@@muindimulwa2102
@MuniraShughuli-kc7vj5 ай бұрын
Hakuna kurudi nyuma tusimameni pamoja wallah kama noma noma ww Ruto Mungu yuwakutosha mbona watto wako hawatumi bc, 😏
@AlexMutethia-fg7vn5 ай бұрын
Ambia wako wasikule
@MuniraShughuli-kc7vj5 ай бұрын
@@AlexMutethia-fg7vn wafkir ss wapwani mutatulisha nyasi😏
@nanatiti20065 ай бұрын
When a government is run by cartels.
@abdalla-deddy5 ай бұрын
Mbona watu lazimishe kula mogoka hatutaki
@abdulhajiahmed87355 ай бұрын
Kazi iendelee kabisa mambo mazuri Governor you must taste power of Government, Harambee Unity Love and Peace , Tumwombee dua Mtoto wa kinara wa KANU wa MOMBASA
@FASSALEHALIB5 ай бұрын
ALLAH AKUONA
@alextercisio5 ай бұрын
Don't meet anybody no miguka kuleni uko embu na meru hizo takataka
@TIZZOBOYOFFICIAL5 ай бұрын
Watu tukule jaba
@silaschumba65615 ай бұрын
Kwani ni lazima mugukaa iende Mombasa? Si wakule wenyewe
@AlexMutethia-fg7vn5 ай бұрын
Kwani mmelasimmishwa kukula
@waiganjokelvin22835 ай бұрын
Lazima ikuje mtakula cha nguvu!!
@eliuskai92125 ай бұрын
Na msilete huku mombasani washenzi sana nyie mna roho mbaya sana hamuogopi mngu
@waiganjokelvin22835 ай бұрын
@@eliuskai9212 muguka sio ya lab ni God given. Ogopeni Mungu na muwachane na cocaine
@joycendegwa94945 ай бұрын
@@AlexMutethia-fg7vn pelekeni miraa kwenu Meru mutuache na Mombasa yetu.
@johnonyango60695 ай бұрын
Amen Governor " you can not put money infront of a generation. God bless you and keep you governor
@hasahm19955 ай бұрын
Kaa ngumu bwana govana sisi wa mombasa we are behind you .....ni lazima mogokaa tule hatutaki
@paulkiokovision5 ай бұрын
Hii kitu iishe kabisa iliua cuzo Wangu ikamchoma Maini Andi akafa akidhani ni mchezo please Government please please maliza hii muguka 😭😭😭😭 mwenye ajui madharau yake doo ana support.
@madhuru25545 ай бұрын
Nyinyi watu murudi kwenu pwani si kenya wameru warudi kwao.
@abdulhajiahmed87355 ай бұрын
Governor Abduswamad, kaza buti sema ukweli kabisa ndio fruits ya haki dunia hii
@mohamedyeslam51945 ай бұрын
Aseme pia kuhusu drugs,coz wao ndio wenye kuuza
@samuelmbugua84145 ай бұрын
U have said the right thing.
@nimrodchokwe7115 ай бұрын
If KRA had a tax issue, then a letter should have been sent with details on how to proceed! This was purely harassment and very shameful for the Kenyan democratic process! Muguka was not served to anyone at KICC during the AFDB meeting, so why force it on coast people!
@joycendegwa94945 ай бұрын
Am wondering where they have been all that time. Does it mean they have just realised that there is a tax issue. Why now when he is against muguka?
@evansmuthomi19975 ай бұрын
Let the people of Mombasa decide,kama wanataka kula muguka wakule!!Otherwise Mombasa is overrun with hard drugs addicts muguka si issue...
@anthonymugo67545 ай бұрын
Nobody is forcing ur people to chew mugoka its their choice to buy or not buy..lipa ushuru acha bwebwe
@winfrednyambura4375 ай бұрын
Exactly
@joycendegwa94945 ай бұрын
Hashindwi na kulipa ushuru hata mahari aweza kukulipia pia
@christaloneministry11635 ай бұрын
Ukitaka kula muguka, go to the next county. As per Mombasa, NO TAKING THAT DRUG!❤❤❤
@davidwalalason76305 ай бұрын
It has now bècome a political fight
@josephkimathi68555 ай бұрын
Kwanza mpigane na madawa ya kulevye muachane na miraa na mugukaa.
@JefMutua5 ай бұрын
Uzeni kwenu hii vita itaisho hivi hamshindi the end of mugoka has came
@joycendegwa94945 ай бұрын
Hatutaki muguka wala miraa Pwani.
@wambui45905 ай бұрын
This why kenya cannot change, because good leaders are threatened. Usijiulize kwa nini leader amekaa hafanyi lolote.
@Blackmuslimtiger30255 ай бұрын
Kama mbaya ikue mbaya governor tuko na wewe,kama damu kumwagika imwagike Wabara au nyinyi wameru na hizo biashara zenu kwetu☝️chenye mnataka mtapata. .MBAYA IKUE MBAYA
@jmmtm5 ай бұрын
Mbona usiseme cocaine na heroine zinauzwa Mombasa na marafiki yako. Joho twajua biashara yake imeeda chini.
@robertndighila90965 ай бұрын
No day will mgoks will ba a substitute of coc and heroine,,,unless hujui arosto ya unga
@jmmtm5 ай бұрын
@@robertndighila9096 Mimi ni wa bara kule ndani Kabisa. Kwa TV na magazeti Dio najulia cocaine na heroine kuuzwa na Ma boss wa Mombasa. We can pack well and pay county fees as they like. Solution is put high price permit to those doing Muguka business slowly business will be closed .
Exactly tea and coffee have never been banned and they have stimulant, the biggest difference with mogoka is people don't abuse caffeine, people of Mombasa are abusing mogoka, how can someone Star chewing mogoka in the morning how?? So this are the things we are saying Mombasa county government should star by its own internal laws of the county and regulate mogoka consumption. Because burning it it's not a solution it will make it even a more liquidative business for drug smuggle and loss of revenue for Mombasa county and the end of it all.
@makosgavey37475 ай бұрын
Mogoka lazima mkule ili mpate akili nyinyi wa coast😅😅
@joycendegwa94945 ай бұрын
Maongezi pekee yaonesha vile weww hi hayawani
@ayshahussein65745 ай бұрын
Kwan kunaulazima gani wa mombasa wakule mugukaa wao wenyewe sikule huko siwako na midomo
@freochi2055 ай бұрын
Stand strong governor... this too Shall cone to pass
@abdullahiomar16875 ай бұрын
Governor kaa ngumu but mogakaa kataa kabisa....let them threaten u ,but roho zetu umeguza ... mbona kwao hawataki pombe haramu but wanatuletea mugukaa na nguvu
@Princep-p3y5 ай бұрын
Muguka ishindwe kwa jina la yesu
@Julius_kirambia5 ай бұрын
Na mbona hamzungumzi kuhusu bangi, unga(cocoine) na vileo kama mnazi? Na watoto wameharibika sana na urahibu wa bangi....kama wataka kujua njooni mpite mitaani esp. Kisauni, karama, likoni, mtongwe, Ratina square ( msikiti mulla) hapo ndio wanashinda wakituibia daily na kututishia maisha.
@joycendegwa94945 ай бұрын
Hata wewe una sauti ya kuzungumza
@carolinemutheu88225 ай бұрын
Is cokeyn good for your children children wacha hizo mjoba
@allannjogu19345 ай бұрын
Ambieni huyu DCI bado haijakuja 🤣🤣 wako njiani.Hii politics ya huku kwetu tushaijua..huyu jamaa hajaonja bado Friday na kutoka ni Monday 😂😂😂
@joycendegwa94945 ай бұрын
hata wewe unaweza kumuambia
@AdermzAdam5 ай бұрын
Abdulswammad is handsome and brave ❤❤❤❤❤❤
@johnngisirei49655 ай бұрын
Parents stand up for your children.
@rojajuma5 ай бұрын
Abdulswamad, viva, stand firm, save our children
@abdulali7535 ай бұрын
Abdulswamad The Man 💪
@carolyneatieno68155 ай бұрын
Tano tena
@aliathumanijuma8525 ай бұрын
Toa yy kwa kiti hakiwezi ameingia roho mbaya na hajui amearibiwa kura uyi
@kwaleboy60645 ай бұрын
Kura gani.huu ndio ujinga wenu mnatumiwa na wana siasa munabaki mukinuka mashuzi wao wakiwa watoto wao wana nawiri
@kenyanowtv5 ай бұрын
Wewe hata unatumia akili kweli ama ni muguka inaongea?
@saidshariff96005 ай бұрын
Wacha kura iyende but ameokoa maisha ya vijana
@MuniraShughuli-kc7vj5 ай бұрын
Ww mwaongea upuzi gani hii😏
@MonicaNjoroge-e2i5 ай бұрын
@@saidshariff9600😢He is defending himself with the muguka issue. Tax has no connection with what he is saying.😂😂
@Yourexcellencyking5 ай бұрын
😂😂si ni yy ndio alianza kiherehere ya kuban muguka ona sasa attention imekuja kwake
@kenyanowtv5 ай бұрын
Kwani muguka ni chukula in kenya for it to be forced on kenyans?
@mikelay53605 ай бұрын
Wafunge hio station lakini muguka ban ibaki😂😂. Kaende kaende
@joshuaositu80675 ай бұрын
It's our governor ,tembea Mombasa uone vile kuko sahii vijana wetu wako safi bila Mogoka
@johngeorge48345 ай бұрын
Na tulimuwarn😂😂😂
@benjaminosura76655 ай бұрын
Gavana msenge huyu hajui hii ni kenya wala sio Tanzania umbwa wa sokoni ww
@simonndune52795 ай бұрын
I support gvn nassir..stand firm governor 😮
@wesmaelijah84605 ай бұрын
Muguka itauzwa mombasa upende usipende ruto hawezi kubali umuaribie kura 2027 wacha tuone Sasa
@nchimbuke72615 ай бұрын
SULUHISHO NI KUJITENGA MAANA SERIKALI YENYEWE NI YA UBAGUZI
@paulsiro17755 ай бұрын
That is a kenyan governor from a coastal county called Mombasa . He is trying to ban Mogoka ; a stimulant that is in leaf 🍃form. Since its a booming business ,the powerful individuals behind the trade are fighting back .Normally in kenya ,its usually boils down to who you know ,and how much youve got in your pockets at the end of the day . Good luck governor , you'll need it .
@moesomji71905 ай бұрын
Well done brother Abdulswamad. We all know the motive.
@ahmedhassan9155 ай бұрын
Kenya ni kubwa pelekeni migori ama karachuonyo sio lazima Mombasa tu
@nassernasser14575 ай бұрын
Weh western Kenya pia hatutaki buana😂
@karenndoro63835 ай бұрын
Weh!Msitukasirishe jameni?!Focus on getting babies vaccines.Watoto wanarisk kuwa vilema!Don't piss off coast people!
@saidmambo27215 ай бұрын
Kwan c muuze embu nyinyi ... Coast hatutaki hii ujinga
@ahmedaljabri58915 ай бұрын
Governor kama mbaya mbaya, wasi tutishe, next funga bar zote hatutaki revenue ya haram
@noorbille66915 ай бұрын
Even Garissa county miraa itakuwa marafuku
@winfrednyambura4375 ай бұрын
Chngeni watoto wenu coz ata banging wanavuta na hairuhusiwi pia muguka ikifugwa watakula tu kama bangi
@mohamuti69285 ай бұрын
We elected Abdulsamad and We a behind him, if he says no drugs allowed you should respect him and follow his order
@Husna-i7w5 ай бұрын
Does that include pharmaceutical drugs ? Alarm raised as more Kenyans get hooked on prescription medicines
@Husna-i7w5 ай бұрын
We know that antipsychotics shrink the brain in a dose-dependent manner (4) and benzodiazepines, antidepressants and ADHD drugs also seem to cause permanent brain damage (5).
@davidwalalason76305 ай бұрын
As .sa residents we shall stand with our go ernor to cancel the muguka entrance to msa
@MartinMwandiku-ps9vx5 ай бұрын
Good
@williamkirema62545 ай бұрын
Lipa kra kwanza wew
@kazungukatozi64755 ай бұрын
Where were they these people before the ban of mugoka governor was ok now he isnt ok in paying taxes
@festo15915 ай бұрын
Uzeni kaunti zengine na mengine musafirishe ngambo kama marungi.
@mosesmudavadi96685 ай бұрын
Gachagua is behind this
@shhjab36215 ай бұрын
Hata nashangaaa😮😮😮 kwani ni lazima
@simonkaingu8995 ай бұрын
Na Tena wanajeruhi askari hii nayo ni makosa huu mugukaa kama uko sahihi wauzie watu wa mlima ju huko watu ni wengi
@gladysmuthoni-ek1zn5 ай бұрын
Mr governor lipa KRA nothing to do with muguka
@aliathumanijuma8525 ай бұрын
Mwanzo basi tuondoshee unga na vibugizi
@SO-ef9he5 ай бұрын
Tutaanza na mugukaa
@lukeabiero8795 ай бұрын
Unga na Vibugizi inasimamiwa na serikali kuu, sio ya county
@jahfar375 ай бұрын
No to Mugúkà bw Gavana. Behind you
@rajah93285 ай бұрын
Kwani lazima mugokaa uuzwe pwani awa watu sio wazuri na pwani sio siri watto wao waende university ila sis ndio tuketi chini na mugokaa viongozi wote wa pwani ni nyote muwe ngangari
@jaythedon445 ай бұрын
You are fighting a loosing battle...the minister of agriculture and livestock comes from there side what do u expect
@muindimulwa21025 ай бұрын
Cartels za jaba watakuramba naniii ni wengii
@carolyneatieno68155 ай бұрын
A very effective and caring gate keeper.God bless this government.
@joycendegwa94945 ай бұрын
And who is that?
@Patoh254Somie5 ай бұрын
Maliza unga master acha vitisho
@chriscao98285 ай бұрын
Muguks hamtauza pwani . Pumbavu
@billjames12165 ай бұрын
@@chriscao9828Hakuna chenye mtafanya nanii
@abuusufian65065 ай бұрын
@@chriscao9828😅😊
@chriscao98285 ай бұрын
@@billjames1216 kama hiyo ndio biashara unategemea utafugwa safari hii mbwa wewe
@billjames12165 ай бұрын
@@chriscao9828 😂😂 Nani anifunge ww au??
@hamzaahmad48875 ай бұрын
Pwani si kenya naona ikiamka tena😂
@dennisoyoo85605 ай бұрын
Simply because of muguka ban.
@chriscao98285 ай бұрын
Hatutaki muguks pwani period.. uzieni wakalee na watu wa mlima hizo takataka
@unrulyme54105 ай бұрын
Enda ambia ruto
@chriscao98285 ай бұрын
@@unrulyme5410 wewe ndio umwambie sababu ni babako wa kambo
@yusufsaid89115 ай бұрын
VITSHO VYA SERIKALI KULAZIMISHA SUMU KWA WANANCHI WA MOMBASA SABABU MNGOKAA INATOKA CENTRAL AMBAO WAKO NA SHARE KWA SERIKALI
@Cheatingnevermistake5 ай бұрын
Ulianza Ile vita Ile utamaliza kiburi Wacha Governor
@petronillahosoro48285 ай бұрын
Huna nini wewe ? Peleka muguka kwenu mukule na watoto wenu,nzenzi sana
@karayuone56235 ай бұрын
Mugoka should be banned forever
@salimbilali51745 ай бұрын
Hatuutaki mogokaaaaaa rudisheni kwenu embu abdulswamad tuko naee till last time
Kuna Anti drag unit kwa national government kijana
@madhuru25545 ай бұрын
Tutapigana na miraa pamoja na mungoka murudi kwenu wameru pwani si kenya.
@MartinMwandiku-ps9vx5 ай бұрын
Bw.governor kaa ngumu!!
@newpointcyberservices5 ай бұрын
Hawa watu inasemekana wamegonjeka kukula muguka, hua wananunuliwa na nani ,i guess with their own money and no one sends them there to buy. Again i guess sigara huleta maradhi mbona isikue banned ,so mwenye anatumia sigara ni mwenye anataka na pia mwenye anatumia muguka ni mwenye anataka.
@Julius_kirambia5 ай бұрын
Sio watu wa Mombasa only wanakula muguka, your Excellency! Mbona unazungumza kama ambaye hajui the consumers of muguka? Muguka product is consumed generally by anybody who wills, inclusive of the upcountry people.
@musasaid79175 ай бұрын
Na changaa on those who wills.
@timmie-b8d5 ай бұрын
MAJOKA NA SUDI in real life sasa
@shabankolia82045 ай бұрын
Wanafurahia watu wakiendelea kuumia
@lenniefei67105 ай бұрын
COAST REGION DROPPED THE BALL ON 8th OCTOBER 1963 BY ACCEPTING TO BE PART OF 'KENYA'.....TUTATAWALIWA HADI KIYAMA JUST FOR THAT ONE MISCALCULATION THEN !
Watu walipe ushuru! Muguka na ushuru ni 2 completely different things! Watu si wajinga bana😂‼️
@husseinabdi6575 ай бұрын
WHERE WAS KRA BEFORE MUGUKA BAN?WHY NOW?..dont fool us
@husseinabdi6575 ай бұрын
Cartels fighting back Almighty God help our governor
@Lifewithgathiru5 ай бұрын
@@husseinabdi657 Just to be clear, I supoort his miraa ban 100% lakini, where in his lengthy statement did he state he’s been paying his taxes??? If at all he’s been paying, then all he needs to do is provide proof. Hakuna vile sisi wananchi we can be paying taxes left right and center yet some people think they are above the law. It’s high time we opened our eyes to facts. Aache siasa mob alipe ushuru bana!!
@joycendegwa94945 ай бұрын
Wewe ndie mjinga wa kipekee
@joycendegwa94945 ай бұрын
@@Lifewithgathiru the issue of tax came much later after the ban. Where was KRA all this time? Someboody slept on his job until he banned muguka