Kristo Wa Neema Yote (Come, Thou Fount of Every Blessing) 1.Kristo wa neema yote imbisha moyo wangu Mifulizo ya baraka inaamsha shangwe kuu. Unifunze nikupende, nikuandame kote, Moyo wangu ukajae furaha na tumai. 2.Namshukuru sana Bwana, aniwezesha huku. Salama aniongiza hata kule nyumbani. Yesu alinitafuta njiani mbali kwake, Akatoa damu yake nipone hatarini. 3.Kweli mimi mwiwa mkubwa wa neema daima; Wema wako unifunge zaidi kwako Bwana. Ili nisivutwe tena kukuacha, ee Mponya, Nitwalie moyo wangu uwe wako kamili.
@dorankerubo8878 Жыл бұрын
Amina wakuu. Awesomely done
@janety19333 ай бұрын
Hi feel blessed 🙏🙏
@DorisMuruka Жыл бұрын
Beautiful God is really love
@jameswasike752222 күн бұрын
Wimbo huu uliandikwa na mhalifu mmoja kutoka uingereza katika karne ya 18. Mtu huyu alikua na kipaji cha utunzi wa nyimbo lakini kutokana na changamoto za maisha aliamua kujiunga na vikundi vya uhalifu ili amudu maisha, siku moja alisafiri katika gari moja na binti mmoja aliyekua akiuimba Wimbo huu kwa Sauti nzuri sana, amini kumbe safari hiyo ilikua ndio mageuzi makubwa katika maisha yake kwani aliposikia maneno yenye nguvu aliyoyaandika yeye mwenyewe katika Wimbo huu kwa hakika alifahamu kuwa neema ya kristo ilitosha kumueka huru kutokana na nguvu za giza, na tangia siku ile hakurudi katika maisha yake ya uhalifu bali alitangaza neema na wokovu wa kristo hadi mwisho wake duniani. Wimbo huu bado una nguvu za ajabu na mara nyingi huimbwa kwa machozi na hisia nyingi sana. God bless.
@VISIONSTUDIOZ21 күн бұрын
Amen. Neema ya Yesu yatosha.
@justusmokua4889 Жыл бұрын
My mom's favorite hymn...thanks
@reaganjuma1906 Жыл бұрын
Amen 🙏, much blessing from Hymn
@mzangwamalicalvin3544 Жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏🙏
@naomia7454 Жыл бұрын
This song is powerfull song and my fovourite song be blessed
@benjaminwanjiku11677 ай бұрын
Shem, ich kann dich sehen ... das ist ein gutes Lied😂😊
@marthaisaac5811 Жыл бұрын
Amen and Amen 💖 Vision Chorale may God bless you for this wonderful song