LYRICS: Ninaucheka wakati wangu mimi uliopita nikiyafikiria maisha haya yangu ya sasa {Asante x3 Mungu kwa kuniinua} x2 Nakumbuka katika safari hiyo ya maisha yangu ndugu na jamaa walisema nimeshindwa {na kumbe bwana waniwazia mema, na kumbe wewe bwana wanipangia mazuri}x2 Umenitendea mambo makuu, { hivyo imenipasa kukushukuru, Na nitazidi kukutukuza kwa nyimbo}X2 Uliona huzuni uliofichwa ndani ya kicheko changu Uliponya, vidonda vya ndani ya roho yangu {Asante x3 Mungu kwa kuniponya} x2 Umenitendea mambo makuu, { hivyo imenipasa kukushukuru, Na nitazidi kukutukuza kwa nyimbo}X2 Nikufiche nini ee Mungu wangu kwa mema ulionijalia Ulivyonitoa shimoni, ulivyonitoa katika kifo na kunifuta machozi yangu wewe ni Mungu wa ajabu x2 Bwana umenitoa mbali wewe Bwana ni ebeneza Bwana wewe unatosha wewe ni elshadai Wewe mwenye enzi yote wewe ni adonai sifa na utukufu kwako Daima na milele
@NancyMwende-h8gАй бұрын
Thanks fir the lyrics mtuekeange hivi Sasa ❤
@jefflegrand166Ай бұрын
Thanks so much for the lyrics 🙏
@agnesmambo4570Ай бұрын
EKENI LYRICS KWA HIZO ZINGINE PIA ESPECIALLY MJUMBE
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
We shall look at that. Thank you. @@agnesmambo4570
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
@@jefflegrand166You're welcome
@muthininzivojames2021Ай бұрын
My best song and video this year, 2024 ❤. Nipeeni likes if it's yours too❤
@pascalmussa8344Ай бұрын
❤Baraka za Mwenyezi Mungu ziwashukie na neema zake. Napenda utume wenu
@OliverShayo-d5o5 күн бұрын
Hakika Mungu wangu asantee sn wanakwaya amazing kwa wimbo umrnibariki mnoo❤
@dokctv_dokccatholic5 күн бұрын
Kweli kabisaaa...karibu ndugu
@MarieAulger17 күн бұрын
Wow ,my 2024 best song 😊, can't get enough of it , with powerful message❤❤❤ May the Almighty God make it easy for us in 2025 hopefully 🙏🙏
@dokctv_dokccatholic8 сағат бұрын
Amen.He is a faithful God
@teresamutai-j9r21 күн бұрын
Wow🎉very nice song,this cheers me up and makes a smile on my face,,,bravoo❤❤
@dokctv_dokccatholic7 сағат бұрын
Be blessed and be filled with joy
@ndindachristine377127 күн бұрын
Wow! I see Elsie ❤good job🎉🎉🎉
@carolinenzomo-dd9dl27 күн бұрын
The song is sweet 🎉keep winning dokc🥰
@PhionahSalakiАй бұрын
Waaaaw this is so massive ❤❤❤❤ very nice video, keep shinning in the hands of Almighty God 🙌🙏
@SabdioKORICHAАй бұрын
on date 14 tunataka kuona kambua and lazalo on stage much love lazaro from sabu
@andrewkamande835125 күн бұрын
Can't have enough of the song.. it's amazing 😍
@dokctv_dokccatholic7 сағат бұрын
Amen
@ruthkissahАй бұрын
Woooow Diana this is so beautiful from the voices the choreography the vocals everything is in sync I love it 😻 and it’s so clear you guys invested so much in this, beautiful. Diana I see you, I love the dance
@BerittaDavidАй бұрын
Its just woow @senior Alex,,,nice job na wenzako😍
@SeniorAlexCatholicTvАй бұрын
Asante Sana 🎉
@samuelowino9153Ай бұрын
True reflection of our daily life. May God bless the work of your voice
@prof.ngetich8086Ай бұрын
Hongereni ❤🎉
@dianachepkurui608Ай бұрын
Dokc is home,.forever and inspiration in great singing and amazing msg of hope to all❤❤
@aggreyotienoАй бұрын
One of the best catholic choir. Feeling blessed at St. Theresa's Cathedral Kibuye Kisumu
@ancillabura1457Ай бұрын
Cool you are doing great and i love this song 😇🥰😍🤩💜
@marymwende769Ай бұрын
Moto saana
@janenafula9832Ай бұрын
As 2024 comes to un end wacha niambie Mungu asante.... asante kwa mipango yako hata sikupata yenye nilikua natarajia asante
@Onuko52Ай бұрын
Hii ni moto🔥🔥
@loisegichuhi6581Ай бұрын
Wow, awesome song. Mungu awazidishie baraka tele 🙏
@sylvia430Ай бұрын
Song of the year ❤ congratulations guys ❤❤🎉
@olivernyakiage954Ай бұрын
Can't get enough of this song!!! You are a God of impossible, i will always love you, adore you n worship you forever. 🙏🙏🙏🙏
@KevinOngori-kz6im27 күн бұрын
nyimbo zenyu huwa za kubariki na kuguza moyo 🙏🙏🙏 asanteni
@annewasike6772Ай бұрын
Nice Song thanks for the encouragement of many of Us through your beautiful songs 👍
@TrusetdwriterАй бұрын
very nice,,, venye mlitoa top top I knew this group was going far,,, kwanza pale mwisho wa hii song it's soo blessing
@puritymuasya4795Ай бұрын
Congrats DOKC👍👍🙏🙏
@andrewojwang21Ай бұрын
Good job wadau🎉❤
@githaeirungu1768Ай бұрын
Great one... video is top, vocals are wow... Asante Mungu Umenitendea mambo makuu
@frami655Ай бұрын
kazi saaaaaafi
@biggmatatah278Ай бұрын
This song signifies total victory, it's reminded me alot thanks to the group Vero 👏👏👏👏
@TrizahNgugi-rx3rnАй бұрын
Wow nice song 🎉🎉🎉 congratulations 👏👏👏
@catherinekibe5270Ай бұрын
Wow, very nice song. Kwa Mungu Kuna raha jameni
@albanusKilonzo2030Ай бұрын
Kweli Bwana waniwazia mema
@Lylian-i6w23 күн бұрын
This song summarised my 2024 asante mungu kwa yote umenitendea mwaka huu🙏🙏🙏
@dokctv_dokccatholic7 сағат бұрын
Barikiwa zaidi
@BenedictMutisya-gg4hpАй бұрын
Kazi safi🎉🎉
@hellenmulewa3058Ай бұрын
Wow the song has really touched my heart very beautiful song...be blessed
@levinaanney-he8xvАй бұрын
Congratulations friends of Jesus for ur good job and nice song,, congratulations again ❤❤❤
@catherineluziga8759Ай бұрын
Nawapendaaa saana hasa nyimbo zenu Mungu aendeleee kuwabariki na kuwapa nguv katika utume wenu🙏🏾
@MeriiMaishАй бұрын
Congratulations DOKC for sure Mungu ametutendea makuu hivyo inatupasa tu mshukuru
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
Indeed Mungu ametenda. Thank you for your support
@MeriiMaishАй бұрын
@@dokctv_dokccatholic welcome keep the spirit on lit 🔥🔥 You guys inspire me a lot
@mercykavaya5284Ай бұрын
Waoooh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉sisemikitu congratulations I feel goosebumps ❤❤
@simanjiroanold638229 күн бұрын
Daaah mmekuja kwa kasi sana watu wa Mungu ,, hongereni sana , Mungu awainue na kuwabariki sana.
@immaculatewandia384Ай бұрын
In love with the creativity 🔥amazingly done✨❤️
@olivernyakiage954Ай бұрын
Woow!!!!! Najiunga nanyi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka zake mwaka huu, nimerudi kumpokea kwa Ekaristi Takatifu. Hongera my dear ones ♥️♥️♥️
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
Asante sana.Heavens are happy for you ❤❤
@florahndindaАй бұрын
The pride of Kajiado,034 I love the song tho
@lilianaduol8141Ай бұрын
Nice one again, congratulations, keep the fire burning
@MarkNyantikaАй бұрын
Wow nice song to make my year 🎉❤ addicted to it❤
@SimoniMusicАй бұрын
The singing is encouraging mine🤦🥰
@starvisionmediaproАй бұрын
I love the creativity.. Keep it up guys
@EdwinKimani-o2jАй бұрын
Kazi nzuri zaidi muziki ulio imbwa kwa ustadi mkuu nawependa barikiweni sana👍
@kelvinmugure-p6mАй бұрын
Beautiful,,,the choir deserves it,,,,congratulations 🎊,,,,sauti ni tamu hizi
@jacintastacy9823Ай бұрын
DOKC to the world ❤❤❤❤ mmetisha kweli aiseeee
@eunicebukokhe553Ай бұрын
Wow congratulations uniform ya ladies Iko Smart
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
Asanteew
@CatherineMutunga-n3hАй бұрын
Nimeupenda huo wimbo sana mbarikiwe mpaka mshangae kweli mnapangiwa mazuri❤❤
@PaulineKinyua-up7zsАй бұрын
❤❤ enyewe ni mapito, nice one wanadokc.... mbarikiwe
@JemimahWinnie-y3dАй бұрын
So nice ❤❤❤
@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenyaАй бұрын
As the year comes to an end ...the lord has done great
@IRENEMINJA-kk3ufАй бұрын
Umenitendea mambo makuu. Kwa kweli Mungu azidi kuwabariki kwa uinjilishaji wa hali ya juu. 🙏
@-DJSTAR29 күн бұрын
Wueh🔥🔥🔥🔥🔥@Alex Senior and Crew hapa mumewezaaa🎉DOKC keep winning👏🏻
@John-e5o5hАй бұрын
Gifted with Good voices. Top notch Choreography. Well done DOKC. 🫡
@HighTensionHTMastertalkp-en4mgАй бұрын
Wow! Recommendable Job, may the Lord almighty lead you through your ways.
@virginiaakisa8178Ай бұрын
ACHA ni comment initoke,,,DOKC team you're on another level guys🔥🔥🔥🥰🥰🥰nawapenda tu sana,,,Mimi kama fan wa Dokc,,nasema songs Zina slap ajab❤❤❤❤feel loved guys ,,kwanza Mimi,,nawapenda tu sana
@edwinalexwamalwa9859Ай бұрын
What a beautiful song! This is beautiful. May God keep you. May God bless you. May Christ reign in your lives so you may live true to Him.
@AnnaKyalo-hu1xvАй бұрын
Aaah karibu mpande ndege..🎉 Heko kwenu Wana DOKC nawapenda sana❤❤❤
@EvansKibetMusicАй бұрын
This is beautiful ❤❤❤
@gabizoFabioАй бұрын
Purukusheni za hapa na pale zitakuwepo lakini ukijiliwaza kwa muziki mtamu na wenyu midundo ya kihasili moyo unaduwaa🎉❤.........na Sasa tuzidi kumtukuza kwa nyimbooooo.....ooka aaai wee 😂😊
@Suora-2FSBV8 күн бұрын
Asante Mungu kwa waimbaji hawa wapendwa 🙏nyimbo za wanadokc to the world 🎉🎉🎉🎉
@dokctv_dokccatholic8 сағат бұрын
Amen
@LeonidaNgwioАй бұрын
Wow 🎉🎉🎉🎉🎉🎉..... you have made it 🎊🎊🎊🎊 Tuzidi kushukuru kwa nyimbo 🥰🥰🥰
@lucywachira279116 сағат бұрын
Great and encouraging song 🎉
@dokctv_dokccatholic8 сағат бұрын
Thank you and be blessed
@victoriamusyoki3208Ай бұрын
Great one❤
@carolngugi9035Ай бұрын
moto kama pasi wimbo mtamu hongera team
@AugustineLomolenАй бұрын
Asante Sana Mungu Kwa Yale Yote uliyotutendea,hasua mwaka Huu wa 2024 Kwa mbaya Na mazuri Ni mipango yako....mwaka kesho tufikapo Kwa Neema za Mungu Baraka zako zitiririke Maishani mwetu Asante Sana Saidi ya Sana Wana DOKC Kwa wimbo Murua wa shukrani🎉🎉🎉 Mungu akuongezee maarifa tele tele Kwa mwaka mpya 2025🙏🙏🙏
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
Asante sana,barikiwa sana
@thepebrisfamilygracedbless6668Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@victordeekenya3539Ай бұрын
Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 Amen 🙏 🙌 👏
@jackleorpila864Ай бұрын
Kazi fty
@felisternyambura6577Ай бұрын
Very beautiful song
@LuciaMutungaАй бұрын
God am so grateful for this far it's only you Adonai 🙏🙏 Thanks dock for this song🔥
@dominicazael3775Ай бұрын
Umenitendea makuu Bwana Asante 🙏🙏🙏🙏🙏
@HejJsj-hv5itАй бұрын
Nice song 🎵 👌
@nathannbanda3345Ай бұрын
Beautiful guys, you are really doing well. Much love from Malawi 🇲🇼
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
Asante sanaaaa
@BeatriceWachera-r7p29 күн бұрын
My favorite choir❤❤nawapenda bure; watching from Kenya
@ancillabura1457Ай бұрын
Uliona huzuni iliyofichwa ndani ya kicheko changu❤, asante Mungu🙏🏽
@lizadika3218Ай бұрын
Message 💯 voices 💯🥰❤️ alafu creativity ✨🔥🔥❤️ congratulations team ❤️❤️
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
We thank God
@piussimon7062Ай бұрын
Hongereni sana waimbaji nyimbo tamu asante mungu
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
Asante ❤
@GraceMario-kg2imАй бұрын
niko hapa ipo siku huu wimbo utakuwa ushuhuda wa maisha yangu
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
Amina
@angelinakanini8993Ай бұрын
This is amazing 🎉🎉
@julianamusyoka370Ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️umenitendea makuu kweli ee Mungu,na nitazidi kukutukuza kwa nyimbo❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🌹
@TrizahMoraa-eh3cvАй бұрын
Wow wow be blesed dokc believe one day wil meet u guys ur songs lift me up nawapenda sana 🙏continue spreading word of God
@mwanzadamaris7854Ай бұрын
Wow nice song
@FelixMulandi-ci4vjАй бұрын
Wow,,this is great hekoooo,,,,,🎉
@dokctv_dokccatholicАй бұрын
Asante
@Arati3Ай бұрын
This song 🔥😊 The message ✅ Yale makuu ametutendea tunapaswa kumshukuru na kumtukuza milele 😢🙏