Рет қаралды 89,466
Vijana 6 wamenaswa na maafisa wa polisi sehemu ya Khanduyi kaunti ya Bungoma wakivuta bangi katika kijishamba kidogo walipopanda mmea huo. Ilikua vihoja kwa baadhi ya wenyeji na polisi,kutokana na majibu za stihzai yaliotolewa na vijana hao,baadhi yao wasitambue wamekamatwa. Robert Wanyonyi anaarifu zaidi.
Watch KTN Live www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya