KUACHIWA KWA MBOWE CHADEMA WATOA TAMKO KALI | WANAZUIWA WASISEME | KULINGWANISHWA NA KENYA

  Рет қаралды 38,879

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 195
@bukeyyerawadh1725
@bukeyyerawadh1725 28 күн бұрын
Huyu Kigaila bado hajawajuwa hawa wenye hii radio ni machawa wa CCM
@pmfalila
@pmfalila 28 күн бұрын
Hatuna waandishi kwa kweli!
@rejobu9723
@rejobu9723 28 күн бұрын
Wantangazazi wote mmeniangusha yaani mmeonyesha uwezo wenu wa kuhoji maswali yamsingi hamna!
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 28 күн бұрын
Waandishi ubwabwa hawajui wanachohoji angali wao ni vijana. Chawaaa
@mutabebwa-bm6pm
@mutabebwa-bm6pm 28 күн бұрын
Ni kweli hamna. Inaelekea uwelewa ni mdogo. Uwelewa ukiwa mdogo hata uulizaji wa maswali unakuwa ni mgogoro.
@mpendamema3694
@mpendamema3694 28 күн бұрын
Beni kigaila ni chuma ❤❤
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 28 күн бұрын
Wakenya hawana waandishi wa habari hovyo kama hawa
@ernestkibada3845
@ernestkibada3845 28 күн бұрын
Kwa kweli watangazaji wetu uwezo wao no mdogo Sana hawana uwezo wa kuhoji Hilo ni tatizo kubwa,uwezo mdogo sana
@robertzingu9889
@robertzingu9889 28 күн бұрын
Ila maswali ya waandishi wa habari wa Kibongo ni kama hawakwenda shule vile. Uwezo wao mdogo sana..!
@ntegrity277
@ntegrity277 28 күн бұрын
FANYENI STUDIO KUWA SEHEMU YA MAANA MZIKI HUO NI WA NINI
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 28 күн бұрын
Wanaifanya studio kama kuna Disco huu ni ujinga jamani 😂😂😂😂 kelele za watu na za music...
@exaudmohamed736
@exaudmohamed736 28 күн бұрын
Nimefurahishwa na mjadala wa maswali nimeelewa kitu Fulani angalauu Asante redio Asante kigaila
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c 28 күн бұрын
Watangazaj wanataka watake kujibiwa wanavyotaka wao ,kwa swala la kutetea Chama Cha ccm
@user-sy5lx7el4z
@user-sy5lx7el4z 28 күн бұрын
Yani waandishi hawajui hata kuandamana ni haki na ipo kikatiba wao Wana ng'ang'ania 4R ya mama tu ndo kama vile imeruhusu maandamano so sad for country kama wasomi wenyewe tulio nao ndo kama Hawa,wapo kwenye media kubwa
@leokamil6284
@leokamil6284 28 күн бұрын
Hawana upeo na ndio shida ya watanzania wengi. Pia hakuna Elimu ya uraia infact since Mwalimu tulifanywa vipofu
@user-sy5lx7el4z
@user-sy5lx7el4z 28 күн бұрын
@@leokamil6284 kabisa
@sadhamis5463
@sadhamis5463 28 күн бұрын
TATIZO LA TANZANIA WANA HABARI NI MASHABIKI WA CHAMA FURANI NA NI MASHABIKI WA CHAMA FURANI NDIYO MAANA HUWA AWAWEZI KUKEMEA WAO WANASHABIKIA TU.
@makeyhunter2006
@makeyhunter2006 28 күн бұрын
Ukiwasikiliza watangazaji lazima ukasirike. Uwezo mdogo plus uchawa ndani yake. Pumbavu kabisa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 28 күн бұрын
Walitaka wajadiliane ili kila kijana atowe shida zao ili waweze kutafuta matatizo yao ili waweze kuyajadili. Sasa watajuaje hatima yao wakati hawajadili kwa pamoja waweze kujadili kwa pamoja waweze kutafuta hatima ya viongozi hata hawa waandishi wametumwa pia.
@Zenny89
@Zenny89 28 күн бұрын
East Africa radio ni ya Serikali..Mzee wa watu anapoteza nguvu tuu kuongea nao.
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 28 күн бұрын
Nyie waandishi mnajua kiswahili kwelii
@daudibukuku6490
@daudibukuku6490 28 күн бұрын
Pamojaaaaaaa!!!
@daudibukuku6490
@daudibukuku6490 28 күн бұрын
Waandishi daaa!! Mkiulizwa swali hamjibu
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 28 күн бұрын
Uko vizuri Kwa maneno ya makini
@ZainabuHassan-uk2zt
@ZainabuHassan-uk2zt 28 күн бұрын
Chadema hatokagi fara
@bezalelmbijima8182
@bezalelmbijima8182 28 күн бұрын
Kwa nini usiulize walioqakamata unawauliza waliokamatwa uandishi uchwara tu huu. Ungewauliza Polisi uliowasikia uoga wa nini ninyi waandishi.
@elibarikimbise1896
@elibarikimbise1896 28 күн бұрын
Nyie waandishi ni sifuri mtu mmoja mapambana naye kwa maswali hii inaonyesha nyie hamjielewi
@daudkondo4069
@daudkondo4069 28 күн бұрын
Hawa watangazaji siwaelewi , ufahamu wao kichwani
@bukeyyerawadh1725
@bukeyyerawadh1725 28 күн бұрын
Halafu wako hapo kujipendekeza na kujikomba kwa CCM
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 28 күн бұрын
Hawa waandishi kwani mstakabali ni kutojua maana ya maneno haya mawili hamyajui? Mbona mnamtaabisha huo mnayemuuluza? Mbona hamfuati huyo mkubwa wa polisi wajibu kwa nini aliwashika hao watukufanywa watumwa katika Inchini kwetu? Kwahiyo sasa Kwahiyo Katibu wa CCM ndiyo aliwagiza kuwafanyia hivyo wana CHADEMA?
@gaspermatee3970
@gaspermatee3970 28 күн бұрын
Bravo kigaila weldone baba
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 28 күн бұрын
Redio zingine bwana!
@mwalyoyoalexander2758
@mwalyoyoalexander2758 28 күн бұрын
Yaani hawa waandishi wamepewa script, hawataki kuuliza maswali nje ya script. Yaani wanachotaka kijibiwe ndicho wanachokomaa nacho, hawataki kujiongeza. Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana. Dr. Nchimbi na Mnyika wana nafasi sawa (Makatibu wa Vyama Vyao). Je Mnyika anaweza kuagiza polisi (dola) wawaachie watuhumiwa?
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 28 күн бұрын
Mchimbi ana mamlaka gani ya kuwaelekeza police kuwaachia chadema!!
@MsAggie5
@MsAggie5 28 күн бұрын
Ni yeye aliwaweka Kwa hiyo ana mamlaka kuwatoa. Nchi ngumu sana hii
@SakinaHassan-xc2in
@SakinaHassan-xc2in 28 күн бұрын
Hawajaenda shule hawa wasndishi pia chadema kuna watu wa kuijenga nchi
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 28 күн бұрын
Siku hizi hakuna wandishi wa habari bali makanjanja
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 28 күн бұрын
Tuliosoma Cuba tunaelewa ambacho kingefanyika mbeya
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 28 күн бұрын
Huyo Dada ni CCM
@Zenny89
@Zenny89 28 күн бұрын
Polisi wa Tanzania ni MACHANGUDOA wa CCM!!! Wakiambiwa Ruka!!! WanaRuka!!!😆
@timothbenard8213
@timothbenard8213 28 күн бұрын
Watangazaji wahovyo
@leokamil6284
@leokamil6284 28 күн бұрын
Sana
@thobiasmarandu214
@thobiasmarandu214 28 күн бұрын
Takataka Hizi
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 28 күн бұрын
Hawa waandishi wote machoko.. Hamujuwi Maana Kujadili Hatma nyinyi mbwa wakubwa nyinyi waandishi hamjasoma nin wapumbavu wakubwa..
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 27 күн бұрын
Elimu ndogo sana sana . Mnapataje hizi ajira?
@josiahsimon5333
@josiahsimon5333 28 күн бұрын
Waandishi Bana kazi tunayo
@CHARLESKINYALA
@CHARLESKINYALA 28 күн бұрын
Na ninyi waandishi jinsi mnvyohoji ni kama mnaonekana mnafanya kana kwamba mnataka kulazimisha kauli ya Hatima ni kama vita, pia kwa mnavyoonekana ni kama mna hofu na mamlaka kumbukeni ninyi mnatakiwa kusimama kwenye sheria si kulemea upande fulani.
@RahmaMwamwezi
@RahmaMwamwezi 28 күн бұрын
Walijua wanatufukuza kumbe wanatusindikiza kila mtu aone sasa acha tuzidi kuipendaaa chadema yetu japo ulikuwa wakati mgumu kwetu
@RevocatusKitambi
@RevocatusKitambi 28 күн бұрын
Wahandish wa 2024
@PASCALJUMANNE-s7w
@PASCALJUMANNE-s7w 28 күн бұрын
Kuanzia leo unikuti naskiliza hii redio anauliza maswali kinafki sana tangu afariki mwenyewe
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 28 күн бұрын
Kigaila usipoteze muda kuongea nawatu ambao wana maslahi yao wanayo yajua.
@user-ub1yx5vc8b
@user-ub1yx5vc8b 28 күн бұрын
Ninyi east Africa radio acha unafiki
@pablo_066
@pablo_066 28 күн бұрын
Hawa kwa kupata iki kibarua cha utangazaji wanadhani matatizo ya wengine hayawahusu akili zao ni kuwaza tu kujipwndekeza labda ili kuvizia teuzi. So disgusting
@irenemwanja3800
@irenemwanja3800 28 күн бұрын
Mbe wanahabari wetu sio waelewa kiasi hicho. Sikuamini warudi darasani na wakasome sheria
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 28 күн бұрын
Hivi vijitu vya east Africa Nimewagundua Toka John heche na peter msigwa akiwa chadema walifanyiwa mdahalo na east Africa aisee ndipo NILIPOANZA kujua Hawa ni wasenge
@Farida-jx5nz
@Farida-jx5nz 28 күн бұрын
Nyinyi watangazaji wanafiki mnahoji maswali wakt uharisia mnujuwa ....huo ni uchochezi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 28 күн бұрын
Nyie watangazaji. Ni mafisi em. Kakojoeni mlale mungesubir waitamuke hiyo hatima yao msilazimishe
@danielkanso
@danielkanso 28 күн бұрын
Waandishi uchwara hawa
@jimmyluhende5417
@jimmyluhende5417 28 күн бұрын
Kwa hiyo Polisi wakiona kuna kiashria cha uvunjifu wa amani unakamata wenye jambo au unaongeza nguvu kullwalinda wahusika wenye jambo ?
@pablo_066
@pablo_066 28 күн бұрын
Ukiwasikiliza hawa watangazaji wa tz ys leo utajua kiasi gani cha ukasuku na uchawa ulivyojaa kwenye jamii yetu
@JuliusMhina
@JuliusMhina 28 күн бұрын
Waandishi hawajui maana ya mustakabali
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 28 күн бұрын
Ila sister Kissa umewazidi mbali sana uwezo wa kufikiri hao jamaa studio
@giztony2009
@giztony2009 28 күн бұрын
Akili mingi aise bado nashangaa weledi wa viongozi wa chadema hata hawa ambao hawajulikani mwaipaya, pambalu, james mboye, huyu kigaila wasikilize kwanza niliowataja hawana majina chadema ila wanaakili mingi kigailaaa! Brilliant
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 28 күн бұрын
Hawa watangazaji wanakupotezea muda. Achana na machawa hawa.
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 28 күн бұрын
Nyie waandishi kwani hamna mstakabali wa maisha yenu?
@yordanyona1234
@yordanyona1234 28 күн бұрын
Hakuna Maombi ni amri ...hiyo mkasome protocol za uongozi...Ile ni amri ndio maana waziri alijibu nimepokea mkuu
@FabianPhene
@FabianPhene 28 күн бұрын
Nyie watu wa redio, (Vyombo vya habari) acheni ujinga, sometimes mnauliza maswali yakipuuzi, au mnaogopa kukamatwa na nyie? Maana maswali yenu yanaonekana dhahiri yanaegemea upande mmoja, jitathminini acheni ujinga
@maikonyondo-gr7gd
@maikonyondo-gr7gd 28 күн бұрын
Hanna waandishi hapo
@bukeyyerawadh1725
@bukeyyerawadh1725 28 күн бұрын
Na hapo wanamsanif na kumpotezea muda wake
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 28 күн бұрын
Hakuelekeza mbona mashirika mengi yameelekeza watolewe ila ccm waliomba tena ni wa mwisho kabisa hapo chadema ila nimeelewa nia ilikuwa nini
@frankcharles3980
@frankcharles3980 28 күн бұрын
HIRI RADIO TUMEPIGWA NI ZILO TU MATANGAZAJI NIVICHWA HASARA PORENI SANA
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 28 күн бұрын
Nimesikia kiongozi wa ccm ametoa kauli VIONGOZI wa CHADEMA na wananchi waliowekwa ndani waachiwe ! Ccm wanahusikaje ktk hili ni vizuri wakatoa maelezo. TAIFA hili litaangamia kwa kukosa watu wenye HEKIMA.... Haki ya kikatiba haiwezi kuwa ni Mali ya ma-ccm na machawa wao eti eeh! When we lose our Fear they lose their Power... Let's stand and fight for our Right muda unakimbia haraka . KATIBA MPYA ni sasa na TUME HURU YA UCHAGUZI ni sasa.
@elibarikimbise1896
@elibarikimbise1896 28 күн бұрын
Hivyo ndo vichwa vinapaswa kuongoza nchi
@jimmyluhende5417
@jimmyluhende5417 28 күн бұрын
eastafrica, kuna mtoto kafanyiwa ukatili (gandrape) lini mnawapigia simu wahusika na kujadiliana nao kwa nguvu kama hii hii ?
@pitosjuma7224
@pitosjuma7224 28 күн бұрын
Nyie waandishi vipi mbona mnatia shaka,
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 28 күн бұрын
Naomba cv za waandishi😂😂😂
@user-sy5lx7el4z
@user-sy5lx7el4z 28 күн бұрын
Ndo waandishi wetu hawa
@JackKanyigo
@JackKanyigo 28 күн бұрын
Hawa waandishi ni wa hivyo na nimeanza kuidharau Eastafrica radio hamna watu humu
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 28 күн бұрын
Hao mnaowakamata kesho wakija kuongoza nchi itakuwaje?.
@eliah1993
@eliah1993 28 күн бұрын
Jembe hilo chadema hakuna mtu kama huyo
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 28 күн бұрын
Wale wengine ni manini Kama huyo ndio mtu pekee pale? Au mahaba yamekushika ukapaliwa?
@user-sl7mi8vc9b
@user-sl7mi8vc9b 28 күн бұрын
Watangazaji wanajikana wenyewe, Yani wameona wamejipata au ndo kibarua kisiote nyasi
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 28 күн бұрын
Hawa watangazaji ni hovyo hawajui hata msamiati wa hatma .au ni vibaraka?kwani kujadili hatma ya nchi ni makosa .?sasa nchi itaendeleaje bila kujadili badae yake
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 28 күн бұрын
Mmeona Kigaila alivyowakojolesha sasa😂😂😂
@mpendamema3694
@mpendamema3694 28 күн бұрын
🤣
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 28 күн бұрын
Watangazaji vijana wanaojitoa fahamu kwamba hawajui changamoto zinazowakabili vijana, unafiki uliojaa akili za kitoto.
@salimamri6738
@salimamri6738 28 күн бұрын
Hawa wanahabari hawajielewi.Hasa huyu binti.
@REUBENIMWAMBUJULE
@REUBENIMWAMBUJULE 28 күн бұрын
Est Africa Kuna namna hamko sawa kwenye kuhoji mjitafakali lakini pia ongezeni kusoma
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 28 күн бұрын
Hawa waandishi ni wanauliza maswali haya wauliza maswali ni wachawa.
@user-fl3fb5gh6b
@user-fl3fb5gh6b 28 күн бұрын
Wapumbavu tu Chadema
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 28 күн бұрын
Waandishi mnauliza uzushi kama police
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 28 күн бұрын
Hao wanaouliza maswali ni zeroooooooooooooooo
@mussakilo4916
@mussakilo4916 28 күн бұрын
Hahahaaaaa hawa jamaaaa bhana ooo ngojj nipitie
@dizzytv7981
@dizzytv7981 28 күн бұрын
Hii radio ya hovyo
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 28 күн бұрын
😂😂😂 uyo kigaira noma 😅😅
@ntegrity277
@ntegrity277 28 күн бұрын
Pia lindeni ikama ya uandishi na utangazaji
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 28 күн бұрын
Yaan nyie waandishi wa habari hamna hoja kabisa mnakosa maswali ya msingi ya kuuliza
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 28 күн бұрын
Hutana kbsa Waandishi wa habari hasa huyo dada hafai kbsa kuwa mwandishi sioni hata sifa moja alonayo angalau kwa mbaaali hao Jamaa wawili ila kwa ujumla tu waandishi Bongo hii unaweza bahatisha 2 tu wa maana
@MsAggie5
@MsAggie5 28 күн бұрын
Hakuna waandishi Bongo ni wababaishaji tu, wanauliza maswali ya kipuuzi hata wakijibiwa hawataki. Wote machawa WA Mama au wanaogopa CCM na serikali yake
@user-ev5xw1ev6f
@user-ev5xw1ev6f 28 күн бұрын
Chadema hamna kitu njaa tu
@MaridadiBakari
@MaridadiBakari 28 күн бұрын
Kinacho niuma waandishi mmekuwa machawa sana
@kisinza6077
@kisinza6077 28 күн бұрын
Hatuna waandishi😢😢
@user-ub1yx5vc8b
@user-ub1yx5vc8b 28 күн бұрын
Don't ask questions
@JackKanyigo
@JackKanyigo 28 күн бұрын
Wanawaza teuzi ni machawa hawa waandishi pumbafu zao
@AlexMlaba
@AlexMlaba 28 күн бұрын
Wana habari msiwe chawa wa ccm hayo maswali mbona hukuwauliza ccm agenda ya mkutano wao
@user-hu6kw7rk2h
@user-hu6kw7rk2h 28 күн бұрын
Huyu kigaila anatakiwa hache siasa ni mzee
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn 28 күн бұрын
Watangazaji fafuteni maada za kuwezesha vijana kiuchumi. Kwa maswali haya. Haina haha ya kuwepo kwenu
@daudibukuku6490
@daudibukuku6490 28 күн бұрын
Kigaila heshima kwako kwa majibu mazuri!!!!!
@AishaShaban-x4m
@AishaShaban-x4m 28 күн бұрын
Yaan nyinyi wandishi naona hamuoji ya msingi
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 28 күн бұрын
Nanyinyi niwaandishi wa habari??
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 28 күн бұрын
Kwani hatima ni mabaya au kiswahili kigumu
@bukeyyerawadh1725
@bukeyyerawadh1725 28 күн бұрын
Radio yenu nyie wala haina ladha
@allyshaban406
@allyshaban406 28 күн бұрын
Hawa nao ni walewale,
@SalumKombo-sf5gs
@SalumKombo-sf5gs 28 күн бұрын
kigaila hao waandishi weupe unaumiza akili Yako tu
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 46 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
Increase In Petrol Price And The Reactions +More | Politics Today
52:52
Channels Television
Рет қаралды 107 М.
Trump Rally in PA: FULL SPEECH
1:31:21
FOX 4 Dallas-Fort Worth
Рет қаралды 567 М.
UVCCM WAIBUKA NA MAPYA KUZUIWA KWA MIKUTANO YA CHADEMA WATOA TAMKO KALI
11:08
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 46 МЛН