RADDI KWA ABUU NUAYM PICHA ZA SHEIKH KASSIM MAFUTA UMEZITOA WAPI OMBA MSAMAHA

  Рет қаралды 2,142

Wajawema Online TV

Wajawema Online TV

Күн бұрын

Пікірлер
@AbuufawzanaSalafiy
@AbuufawzanaSalafiy 3 күн бұрын
ماشاءاللہ Mwalimu wetu wa balagha ama hakika umefikisha kwa balagha ya hali ya juu ALLAH AKUHIFADHI TUENDELEE KINUFAIKA NA WEWE KWA IDHNI YA ALLAH.
@Khalid-xd2yl
@Khalid-xd2yl 3 күн бұрын
Allah akuhifahdi shekh wetu abuu ubaida Hakika umetoa ubainifu mzur kabisa.
@yaasirjuma3309
@yaasirjuma3309 3 күн бұрын
ALLAH AKUHIFADHI SHEYKH ABUU UBAIDA HII RADDI IMJAA ELIM KUBWA SUBHAANA LLAAH KWA MWENYE KUTAKA DINI
@suleimanmasudi3851
@suleimanmasudi3851 3 күн бұрын
Allah akuhifadhi sheikh abuu ubayda hakika umezungumza kwa ufasaha wa Hali ya juu.
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 3 күн бұрын
BAARAKANLLAH fiykum wajazakumnllah khairay wajawema TV 📺
@wajawemaonlineTV
@wajawemaonlineTV 3 күн бұрын
Amiin waiyyaka
@SheikhTaymiyyah
@SheikhTaymiyyah 2 күн бұрын
ALLAHUMA BAARIK ALAYHI🙏🙏🙏
@ShabaniDauda
@ShabaniDauda 3 күн бұрын
WAJA WEEEEEEEEEEEMAAAAAAAAAAAAAAAA ABDUL RAHMANI TWALHA CHIBONGE MWEPESI MAASHAALLAH EWALAAAAAAA
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 3 күн бұрын
Alhamdullillah Alhamdullillah Alhamdullillah Hii ndio raha ya Daawa yetu inapotokea matukio watu hupata elimu zaidi. Ila huyu kijana sio mzima wa akili. Huenda anamatatizo ya kisaikolijia ana hasira za kufunguwa Baba kwa sababu ya uwamsho anaona kama mashekhe wa bara ndio sababu ya kufunguwa Mzee wake kwa maana hiyo ana hasira sana. UTHIBITISHO wa maneno haya aliniambia mwenyewe
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 3 күн бұрын
Kwahiyo baba yake nae ni shekh
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 3 күн бұрын
Sijui ila ni katika wale waliofungwa na kina shekhe msellem hili jambo lina muuma sana. Kitu kingine alifukuzwa pongwe nalo pia linamuuma sana anaona kama amedhulumiwa vile kwa msingi huo analipa kisasi kwa shekhe na masalafi kwa ujumla​@@abbaspaziaog2188
@salafswaleh
@salafswaleh 2 күн бұрын
Baba yake ni BANSWA alikuw akiwalinda watu fulani.​@@abbaspaziaog2188
@shazilumnalima9708
@shazilumnalima9708 3 күн бұрын
WALETE BAYANI HAWA MAHIZBI KUNAKO WAPI WAMEZITOA HIZI PICHA.
@mohdjuma3637
@mohdjuma3637 2 күн бұрын
Radd ya kielimu kabisa hii
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 күн бұрын
Hawa mabwana wamekurupuka, na Yote ni juu ya chuki zao dhidi ya sheikh qasimu mafuta Allah AMUHIFADHI. LETENI USHAHIDI PICHA MMETOA WAPI....??
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 2 күн бұрын
Mimi ndugu yangu niliposikiliza hii clip tu nikajuwa hawezi ongea tena na ni kweli.dhana zangu nimekwenda sawa Alhamdullillah Alhamdullillah Alhamdullillah Allah akulipe kila la kheri umefanya vizuri sana
@MahirLim
@MahirLim 3 күн бұрын
Nyinyi pindisheni t hii mada il na bado ALLAH atazid kuwafezehesha na chuki zenu kw ndgu zenu...
@juanmadata5212
@juanmadata5212 3 күн бұрын
Hamna anaepindisha yy alisema ana picha nyingi atoe zingine madai yake msingi wake ni chuki.
@Yussufjuma-xh3nn
@Yussufjuma-xh3nn 3 күн бұрын
dah washageuza kibao wanafiki wakubwa
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 3 күн бұрын
Hii channel na sheikh Abuu ubeyda ALLAH Aihifadh. Na AMUHIFADH sheikh .( lakin ile channel ya salafi ya kenya. Yule akhyu anakurupuka ) aje huku asikilize radd ya kielimu sio yy anatuwekea vijana kama abuu nuaym. Kama yule wa jana aonekana yy na Abuu nuaym akili zao zoote ni ndogo
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 күн бұрын
Hahahhahaah! 😂😂😂
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 3 күн бұрын
@@abbaspaziaog2188 Akhiy Allaah akubarik na akuhifadhi. Samahani akhiy katika haya maneno yako Kuna kutweza jitihada za ndugu yako Salafy na hilo si jambo la sawa. Tunamuomba Allaah kwetu sisi na kwako wewe ulinzi na salama, ikiwa umeona kosa Fulani kwa ndugu yako kwa Mujibu wa ilimu uliyo kuwa nayo basi mbainishie kwa dalili kwenye channel yake na Yeye atarekebisha Katika hilo biidhnillah Amma kuhusu video aliyo ituma jana na mzungumzaji aliyezengumza kwenye Ile video kwa Mujibu wa ilimu yangu hakuna kosa lolote, ni maneno ya sawa kabisa kujibiwa vile kwa maneno yaliyo kuwa yakiraddiwa. Na Allaah Aliyetukuka aliye kuwa Juu anasema "Na Juu ya kila mjuzi yupo mjuzi zaidi" ikiwa kwa ujuzi wako waona kwa maneno haya ndugu yako sipo sawa, basi niweke sawa na Allaah akulipe kheri
@MohammedOmar-wt3vg
@MohammedOmar-wt3vg 3 күн бұрын
Nyinyi mukiweka picha za wengine mwaona si makosa. Upole upole ewee watu wa sunnah.
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 3 күн бұрын
Je! Una ilimu yoyote Juu ya hilo ili ututolee au ni maneno matupu tu? Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli.
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 3 күн бұрын
Naaam maana wapenda kuongea
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 3 күн бұрын
Ikiwa mafuta huwa analeta madai ya bila ushahid mnayakubal ya kuwahizisha watu pasina kuwajua kwa undan na mnakubal na nyiny humuita hizb cz sheikh lenu limesema hivyo bila kujua undan alaf nyiny mwataka ushahid mnatumia sheria gan kukubal maneno ya mafuta bila ushahid na kukataa kwa asiekuwa yy
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 3 күн бұрын
Kwa mfano nani amehizibishwa bila hoja??
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 3 күн бұрын
Halaf kamq wew ni hajawira si shangai… hujui hata msingi wa mazungmzo unahis watu wanasema sema tu
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 3 күн бұрын
@@ibrahimabdul8257 tafuta uchaf wa sheikh wako na wanafunzi wake unaniuliza mm tena ww hujui masheikh wangp uyo aliewavunjia heshma zao pasina kuwajua
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 3 күн бұрын
@@ibrahimabdul8257 ulivyozezeta unaniambia nikutajie
@juanmadata5212
@juanmadata5212 3 күн бұрын
Thibisha hiyo blahblah unayodai nyinyi mnamchukua tu Sheikh lkn kimsingi amesimama sehem sahihi
MATUSI YA SHEKH QASSIM MAFUTA  NA MUULIZENI PICHA KAZIPIGA WAPI?  #الحكمة #fypシ゚vira #subscribe
20:22
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 9 М.
RADD KWA ABUU NUAYM UBAINIFU UNAHITAJIKA KUNAKO PICHA ZA SHEIKH KASSIM MAFUTA
18:10
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
UKWELI KUHUSU PICHA YA SHEIKH ABUL FAADHIL QAASIM MAFUTA ALLAH AMHIFADHI
8:17
Nurul Kitab Wa Sunnah
Рет қаралды 3,5 М.
БАЙ vs КЕДЕЙ ФЛЭШ (GTA V)
12:57
Салли PLAY
Рет қаралды 108 М.
Poor blind Tani 😢😢❤️❤️ - Scary Teacher 3D
0:47
Spider-Man Gaming
Рет қаралды 35 МЛН
В чем смысл игры?😂
0:26
ХАБИБ
Рет қаралды 2,4 МЛН