🔥KUBANA NYWELE ASILI BILA RASTA ,BILA GEL | Best4C hair up do styles 🚫extention 🚫GEL

  Рет қаралды 25,289

Vivianatz

Vivianatz

Күн бұрын

Hello dear , leo nimewafundisha mitindo ya kubana nywele yako asilia bila kuongezea rasta au nywele yeyote ya bandia, #vivianatz #naturalhairstyles
#viral
Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.
Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .
NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
MONDAY AND FRIDAY at 07:00am
PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA
TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE
KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
PONYTAIL
• KUTENGENEZA KIBANIO CH...
KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
• Kubana nywele fupi NZI...
KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
• KUSUKA RASTA ZA MABUTU...
KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
• MITINDO TOFAUTI YA LOC...
KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
• KUSUKA DISTRESS LOCS K...
KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
• Kubana nywele Fupi "Ha...
KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
• Kusuka Crochet kwa kut...
MAKEUP FOR BEGINNERS
• Beginner Makeup series
MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
• MITINDO YA MAVAZI /TRY...
MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS • Mafunzo Ya Makeup/Make...
MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
Email ; Business@vivianatz.com
Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
INSTAGRAM ; ...
Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.

Пікірлер: 46
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ok qsante nimeshajuwa uwo mtindo wa kubana mabutu maeol naupendafa
@collethageorge512
@collethageorge512 Жыл бұрын
Hellow!.. mm nywele yangu ni nyepesi ...nikibana sipati muonekani huo
@scolasenyina3762
@scolasenyina3762 2 жыл бұрын
Umependeza Vivian thanks for sharing this with us ♥️
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
🙏❤
@isegealphonce7270
@isegealphonce7270 Жыл бұрын
Mambo , samahani hiyo umesema mois ya Olive oil hiyo kama povu. Sijapata jina lake vizuri
@reginaphilipo4852
@reginaphilipo4852 Жыл бұрын
Nimeipendaa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Umependeza
@sofiarugoye7929
@sofiarugoye7929 Жыл бұрын
Napenda Sana tuletee more plz🙏🙏🙏🔥
@Vivianatz
@Vivianatz Жыл бұрын
Zinakuja dear
@Ivinemaganga
@Ivinemaganga 3 ай бұрын
Yani Vivi na kukumbali sana unafundisha vizuri sana
@Vivianatz
@Vivianatz 3 ай бұрын
Asantee dear
@ericahajuna1555
@ericahajuna1555 Жыл бұрын
Well 💓🥰
@violethgkyara3867
@violethgkyara3867 Жыл бұрын
Waoooo so nice
@violethgkyara3867
@violethgkyara3867 Жыл бұрын
And vvi mmi nywele zangu mbele zimekatik nitumie nni my love
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ahaa iyo unayotumia naonaga wakitumia
@gladnessmosha9742
@gladnessmosha9742 Жыл бұрын
I like it 👍
@RosemaryDaniel-pm8ds
@RosemaryDaniel-pm8ds 3 ай бұрын
Nzuri sana ndo nimejaribu na nimeweza saloon hawanioni ng'o
@Vivianatz
@Vivianatz 3 ай бұрын
😂😂🤩🤩
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Kwenye nature kinakaa vizur inakuwa kama kibanuo
@gracepaulnyingi9936
@gracepaulnyingi9936 Жыл бұрын
This is super dope❤
@madashakyne9491
@madashakyne9491 2 жыл бұрын
Nywele yako yapendeza sanaa jinsi unavyoituza inanifurahisha ,styles zako ni rembo sana ni rahisi sana mtu kupractice .
@Vivianatz
@Vivianatz Жыл бұрын
Asantee dear
@jacklinemunisi512
@jacklinemunisi512 Жыл бұрын
Woooooow
@piusgeorge8797
@piusgeorge8797 Жыл бұрын
Nzuri
@lilianokech9178
@lilianokech9178 Жыл бұрын
Nimependa elimu naipaje
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Napendaga na kidoti icho cha kuvuta
@rosemaryrevocatus9953
@rosemaryrevocatus9953 Жыл бұрын
V asnte sanaa maan nisipo suka nawaza kwel kubana nywele ila umenpa mwanga thank you dear
@Vivianatz
@Vivianatz Жыл бұрын
Karibu dear ❤
@miriamkomba8367
@miriamkomba8367 2 жыл бұрын
Wooow♥️♥️♥️
@hollojumannemlimi4496
@hollojumannemlimi4496 2 жыл бұрын
Naipenda Sana elmu yako
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee kipenzi ❤, tuendelee kujifunza
@DanielephataLoy
@DanielephataLoy Жыл бұрын
❤❤
@sadakondo8736
@sadakondo8736 2 жыл бұрын
So nice bby
@jestineisaya3100
@jestineisaya3100 2 жыл бұрын
Nywele nzuri Sana zinamda gani ?
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
Unatumia mafuta gan mpnz ny Wele imejaa imekua hadi raha
@leaapolo976
@leaapolo976 2 жыл бұрын
Umekuza
@devothamwamwezi2036
@devothamwamwezi2036 2 жыл бұрын
Mamy alafu mbona eco jeli mm imenisababishia MBA yaani nywele inakuwa Kama na vumbi Safi nikiiosha tu Ila tofaut na hapo inakuwa Kama nimemwagiza unga hiv Sijui nitumie nn ili nikae sawa Alafu kingine naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa nywele itayofanya nywele iwe nyeusi maana nywele yangu haina rangi nyeusi sana Kuna muda inakuwa Safi Ila kwa rangi yake mtu anaweza jua chafu Please help
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Ndio ilivyo dear, jitahidi kutumia pamoja na mousse ile ya povu , inasaidia kupunguza ule weupe wa gel
@uremborj426
@uremborj426 2 жыл бұрын
Yes 2me penda kua una 2famia mana wngine 2na nywelendefua ambazo azina dawa
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
🙏❤
@lithamussa7279
@lithamussa7279 2 жыл бұрын
😍😍❤️❤️ bt no ya what'sApp naombaa
@mamfrola2507
@mamfrola2507 Жыл бұрын
Hello dear, sorry naomba product unazotumia naona nywele zako zimejaa vizur pls pls naomba
@Vivianatz
@Vivianatz Жыл бұрын
Hello dear natumia products za mega growth dear
@mamfrola2507
@mamfrola2507 Жыл бұрын
@@Vivianatz thank u, be blessed
@hawaaeshi9780
@hawaaeshi9780 2 жыл бұрын
Iyo ulopaka inauzwa shingap
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 110 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 121 МЛН
a realistic GRWM video😁#subscribe #shorts #naturalhair
3:48
Sussan Tosin
Рет қаралды 25 М.
MOVIT PRODUCTS :JIFUNZE STEP BY STEP JINSI YA KUWEKA CURL YA MOVIT KITAALAM
38:34
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН