KUFAHAMU BEI ZA KILA AINA YA BATI. BEI ZA VIWANDANI NA WAKATI GANI BEI ZINAKUWA MORE AFFORDABLE. 🏠

  Рет қаралды 7,575

Authentic Builders Tanzania

Authentic Builders Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@NassirAliy
@NassirAliy 4 ай бұрын
Anaeleweka vizur sana
@JudithMahenge
@JudithMahenge Күн бұрын
Ongea kiswahili bwana
@husseinmgoo3074
@husseinmgoo3074 3 ай бұрын
Ok
@ArinaitweFatuma
@ArinaitweFatuma 20 күн бұрын
Mbona bati ya mandarini umepoti juju
@jimmymungai522
@jimmymungai522 4 ай бұрын
Good video, informative. Mna bati transparent?
@halisibuilderstz
@halisibuilderstz 4 ай бұрын
Shukran🙏 Nitumie msg whatsapp nikutumie namba za kiwandani. Mimi ni mjenzi, nilitembelea tu viwanda ili nielimishe wateja.
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 ай бұрын
​@@halisibuilderstznamba ya simu
@EdinaJohn-w8w
@EdinaJohn-w8w Ай бұрын
Toeni naomba za cm kwa mawasiliano zaidi
@iamnormal8648
@iamnormal8648 3 ай бұрын
Naomba orodha ya majina ya viwanda vya mabati vya Dar es Salaam, na mahali vilipo na namba zao za simu.
@mussakabele2360
@mussakabele2360 2 ай бұрын
Changamoto nyingine ya hizi bati ni kupauka, bati umenunua kiwandani kwa bei ya juu kisha ndani ya mwaka bati imepauka
@DeodathChinyamba
@DeodathChinyamba 2 ай бұрын
Hivi ziko bati za rangi ya mafuta na rangi ya maji??
@Paulina-p3z
@Paulina-p3z 2 ай бұрын
Ukiaza kiswahili malizA na kiswahili engine shule atujaenda
@ashahassan2120
@ashahassan2120 5 ай бұрын
Mm nashanga vizngu
@fanni-ck6do
@fanni-ck6do 4 ай бұрын
Hiyo gage 28 elf 36,500 ni kwa meter ama?
@halisibuilderstz
@halisibuilderstz 3 ай бұрын
hii ni bei ya bati la kawaida lenye urefu wa Mita 3.3, gauge 28 dk ya 1:44
@jafetiwilson8092
@jafetiwilson8092 5 ай бұрын
Ushauri wangu jitahidi kutumia lugha ya kiswahili mwanzo mwisho kama ni english nayo hiwe hivyo hivyo ,,maake bila hivyo uweleweki
@murubachella5602
@murubachella5602 5 ай бұрын
Habari ya uzima Namba zenu tunazipataje?
@halisibuilderstz
@halisibuilderstz 5 ай бұрын
Salama, Tunashkuru Mungu. 0787 980 031.
@rosemaryalbert1154
@rosemaryalbert1154 5 ай бұрын
Mbona material ya changa hujataja bei ya geji 28
@halisibuilderstz
@halisibuilderstz 3 ай бұрын
@rosemaryalbert1154 16,500 per Meter. Sikiliza hapa 3:29
@BamBam-q6l
@BamBam-q6l 2 ай бұрын
Jee ww una pat8kn wp
@MatridaShabani
@MatridaShabani Ай бұрын
Shingap
@cyborgmatumula650
@cyborgmatumula650 5 ай бұрын
Huko wapi na nitumie WhatsApp number please
@halisibuilderstz
@halisibuilderstz 5 ай бұрын
Tunapatikana Dar. 0787 980 031
@cyborgmatumula650
@cyborgmatumula650 5 ай бұрын
Bro una WhatsApp ?
@halisibuilderstz
@halisibuilderstz 5 ай бұрын
Ndio, 0787 980 031 Karibu
DIASPORA BEI ZOTE ZA VIFAA VYA UJENZI TANZANIA HIZI HAPA. ASIKUDANGANYE MTU! PART1
15:25
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 140 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 3,2 МЛН
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
Wax setting  for casting
8:55
old moon
Рет қаралды 130 М.
SUNSHARE INVESTMENT LTD NI WAUZAJI WA MABATI YA KISASA
9:59
KELVIN MABATI TV
Рет қаралды 11 М.
PUNGUZA GHARAMA YA KUEZEKA BILA KUCOMPROMISE ON QUALITY |  ROOFING🏠
12:50
Ujenzi Halisi Builders tz
Рет қаралды 1,6 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 140 МЛН