BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA

  Рет қаралды 358,340

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 481
@officer1208
@officer1208 5 жыл бұрын
Ambao hatujui hata baba zetu wako wapi ila bado tuna fight wenyewe.. gonga like mayatima tujuane.
@ndayisengafrorence8461
@ndayisengafrorence8461 5 жыл бұрын
Tupooo
@officer1208
@officer1208 5 жыл бұрын
@@ndayisengafrorence8461 daah pamoja sana mkuu! Bado tuna pambana na hatutochoka kupambana.
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 4 жыл бұрын
Kweli tuupo .Na tunapigana kwelikweli .Japo Mimi baba yuupo Ila mpka naanza kujitambua baba Angu hakua na chochote .
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
Don't make me cry
@yusufally6853
@yusufally6853 4 жыл бұрын
Alhamdulilah yote yana mungu.tumshukuru mungu kwa kila jambo
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 5 жыл бұрын
Hapa ndio utakapojua maana ubora wa Elimu naaarifa yanayopatikana.Investment yote haikua inamuandaa mtoto kusubiri au kuwaza kuajiriwa ..waliangalia zaidi kuanza jambo lao kuemdeleza na kuwa wabunifu .Hongera sana .
@40kstore
@40kstore 5 жыл бұрын
millard tunaomba hizi interview za watu kama hawa ziongezeke kaka,please...zinatupa sana moyo wa kupambana,hoji watu wengi waliofanikiwa,ili tuweze kupata vitu
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@estherpetza5236
@estherpetza5236 5 жыл бұрын
true
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 5 жыл бұрын
Kweli bro. Zinatujenga sana.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 жыл бұрын
Point kbs mkuu
@eenpaard3915
@eenpaard3915 5 жыл бұрын
kweli
@blackmamba7553
@blackmamba7553 5 жыл бұрын
Had leo sijui ofisi ya Baba iko wap 😢😢😢
@mgasathedon1579
@mgasathedon1579 5 жыл бұрын
Uwe unatupa hizo story znatupa moyo sio udaku news
@emmakalou5920
@emmakalou5920 5 жыл бұрын
😂😂😂
@richardrobert1032
@richardrobert1032 5 жыл бұрын
Black Mamba 😂
@officialgakankara
@officialgakankara 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
Black Mamba kakuona huna Akili
@louisngaiza
@louisngaiza 5 жыл бұрын
Hizi ndo contents tunapenda kuona Be Millard una focus.
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 3 жыл бұрын
Safi sana mungu awa zidie mapenzi na imani
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 жыл бұрын
Mi nahc miaka mi'5 mbele MirlladAyo atakua kijana mdogo mwenye uwezo mkubwa sana..
@justinemaganga4139
@justinemaganga4139 5 жыл бұрын
hii ndo interview bora kwangu ndani ya mwaka huu umefanya Millard hayo
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 жыл бұрын
Miaka 5 ijayo tutashindana sokoni na jambo company, Mimi nikiwa Geita I'm serious!
@stevegill2799
@stevegill2799 5 жыл бұрын
Tutafutane kaka na Mimi nipo geita
@proevolutionsoccer3779
@proevolutionsoccer3779 5 жыл бұрын
GOD BLESS YOU
@fatmafeisal4328
@fatmafeisal4328 5 жыл бұрын
mungu akubariki
@seifdisail3007
@seifdisail3007 4 жыл бұрын
MUNGU akujaalie baraka
@martinmichael6057
@martinmichael6057 4 жыл бұрын
sawa
@ericernest2099
@ericernest2099 5 жыл бұрын
Niwapongeze kwa kuwekeza kwenye mkoa wao. Wengine wangekimbilia Dar au Mwanza
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 6 ай бұрын
juisi zao ni nzuri sana
@edsonsibuti6914
@edsonsibuti6914 5 жыл бұрын
Sitokei katika familia tajiri lakini familia tajiri lazma itoke kwangu
@zalhatamakange2627
@zalhatamakange2627 3 жыл бұрын
Nimependa hii
@kaburashindika5617
@kaburashindika5617 3 жыл бұрын
💪
@zurfashafii9531
@zurfashafii9531 3 жыл бұрын
Mungu akujaaliye
@kazungujonathan9000
@kazungujonathan9000 5 жыл бұрын
Millard nakuelewa sana kwa kazi yako , kutoka maganzo kwa jamaa wa almasi ukasogea jambo, jambo ndo nilipoanzia kazi baada ya kutoka SUA 2014 kama field officer. Ndo palinifungulia mlango, kwasasa nafanya kazi na taasisi ya utafiti wa kilimo tananzania kama mtafiti wa kilimo.
@OKiduma
@OKiduma 5 жыл бұрын
kazungu jonathan bro kazungu tuwasiliane bas
@maijopardon2274
@maijopardon2274 2 жыл бұрын
Namba za company p Ries
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 5 жыл бұрын
Sasa ni kipindi cha kurudi nyumbani maana tunayoyaona huku kwenye dunia ya kwanza ndio yanayoendelea nyumbani big up boss mtoto
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
Shamimu Shittindi tutarudi pamoja upo pande zipi
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 жыл бұрын
Familia za jamii ya watu weupe zimefanikiwa sana kuliko sis wabongo, tunawazaga tu kuuana
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 5 жыл бұрын
UKWELI
@khadijak3065
@khadijak3065 5 жыл бұрын
Tatizo kubwa sisi watu weusi hatufikirii kuona mbali na rohoo mbaya ndio maana hatuwi na maendeleo MTU na mtoto wake anamfanyia rokho mbaya .Sasa wakiona intavyoo kama hizi ndio maswali mengi yanazuka kwanini biyashara kubwa zinashikwa na watu kwanza hawa watu wana hofu ya mungu pili wanaalikili yani ukiwa karibu na MTU mweupe kama unaakili hukosi kuishi maana utapata umajimaji Wa kutafuta kwa bidiii .Lakini sisi Tanzania uwena uwezo wakumiliki bajaji basi utawapanga kwa safu wanawake na kijisifu .lakini hakumbuki hata kuna watoto wakupeleka shule wakiona kamaivyo baba kajikaza kumsomesha kajima mengi na kukuza miradi Ingikuwa gozi nyusi majigambo. Mengi mahojiano hapo ungesikia NO : koment Tujitume Wa baba na Wa mama Wa KITANZANIA tusipende kubweteka
@dasilvajacmwax7436
@dasilvajacmwax7436 5 жыл бұрын
Kabisa
@mohamedimohamedi7881
@mohamedimohamedi7881 5 жыл бұрын
@@dasilvajacmwax7436 sio kweli kuna watu weusi wamefanikiwa sana
@dasilvajacmwax7436
@dasilvajacmwax7436 5 жыл бұрын
@@mohamedimohamedi7881 kaka mkubwa, hawa ndugu zetu kiukweli wako tofauti, sio Kama sisi blacks
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 5 жыл бұрын
Kijana kafanana na yule mapengo sapota wa Liverpool wa Dar. Sema huyu Hamisi hana upuzi kama yule mlaji ugoro anaedai amwagiwe ndoo ya mavi Liverpool ikishindwa 🤣🤣🤣
@yusufali290
@yusufali290 4 жыл бұрын
Hahaha ati amwagiwe mavi ya ndoo
@kaburashindika5617
@kaburashindika5617 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Huyu kijana Millard huwa anajuwa mambo ya kutuletea kwa kweli hanaga upuuzi
@johnmwandry4309
@johnmwandry4309 5 жыл бұрын
gonga like kwa mzee aliona mbali kuwekeza elimu kwa watoto
@khadijak3065
@khadijak3065 5 жыл бұрын
Hakika amefanya kitu cha maana lio hii angeajiri MTU baki lakini hela ya mshahara imerudi nyumbani hongera baba
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Goood
@onlinemovie8580
@onlinemovie8580 5 жыл бұрын
Tisha sana millado bonge moja la interview
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 3 жыл бұрын
Sad truth ni only these arab tanzanians na indian tanzanians wenye guts hizi investments ...black tanzanians tumebak kuuza nguo tu 🤦🏽‍♂️
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 5 жыл бұрын
Hongera Ayo kwa kutuletea interview hii. Endelea kutuletea nyingine za wengine waliofanikiwa. Interview kama hizi zitatusaidia kushirikiana na vijana wetu ktk kuendesha miradi kwa mafanikio
@heavenlypatric4822
@heavenlypatric4822 5 жыл бұрын
Duuh wengine tulikuwa tukitoka shule ni uwanjan moja kw moja
@dottojamali6515
@dottojamali6515 5 жыл бұрын
Heavenly Patric araf hat hatujawa wachezaji 😂😂😂😂😂
@orgeneslema9464
@orgeneslema9464 5 жыл бұрын
Ayo next time uliza kuhusu kiasi cha investment. Benki zilizoshiriki kutoa mikopo na riba. Na masharti ya ulipaji. Hayo mengine ni ya kawaida sana kwenye biashara
@shamsimagesa4520
@shamsimagesa4520 5 жыл бұрын
Yes.!!
@meshackabdul928
@meshackabdul928 5 жыл бұрын
Orgenes Lema hizo ni siri za biashara ndugu
@Wanja.Kelvin
@Wanja.Kelvin 5 жыл бұрын
H
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 5 жыл бұрын
Huwezi ambiwa kila kitu, pia benki washirika(mikopo yenye ribs nafuu wakutafuta ni we mwenyewe pindi uanzishapo biashara yako
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 жыл бұрын
Uambiwe ili iweje sasa?????
@mohamedhamdan4956
@mohamedhamdan4956 5 жыл бұрын
MashaAllah huyu kijana anakosa kubwa sana ambalo ni hatari kutoka wewe tangu uanze kulizungumzia kuhusu viwanda viwanda mbona hatujawahi kusikia ukishukuru Mungu ukisema ALHAMDULILAH HAPO UMEMASI ALLAH MAANA KAMA SI ALLAH NI NANI MWENGINE NI MWEZA??? Lazima utafakari maalim umemasi Mungu
@qilil7
@qilil7 5 жыл бұрын
Wallah hata Mimi nimeliona hilo
@qilil7
@qilil7 5 жыл бұрын
Kweli nami nimefikiria saana labda atasema Alhamdulillah
@kigomampyatv9209
@kigomampyatv9209 4 жыл бұрын
Ni mkristu
@J4UPro
@J4UPro 5 жыл бұрын
Washindani wa AZAM
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 жыл бұрын
Mashaallah.Hongereni Sana na mtangulizeni Mwenyezi Mungu katika Kila kitu.Msisahau kutoa zaka mwisho wa mwaka na kuwapa maskini
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Woow aisee imeniamasisha saana hii Millard saluti
@lawfang2311
@lawfang2311 5 жыл бұрын
He been the hardest worker man!!!! Happy for you bro keep going
@danielshunda4410
@danielshunda4410 5 жыл бұрын
Kanyoeee.nyweleeee.miraddd
@alexmichael8735
@alexmichael8735 5 жыл бұрын
mahojiano kama haya ndo muhimu nyakati hizi keep it up millard
@robtv9634
@robtv9634 5 жыл бұрын
Lemme tell you guys u have good governorship. And a great President #FromSomalia
@santodelove4351
@santodelove4351 5 жыл бұрын
Come and take him
@robtv9634
@robtv9634 5 жыл бұрын
@@santodelove4351 wish i can
@cbegram6161
@cbegram6161 2 жыл бұрын
Miaka miwili baada ya hii comment, he is no longer with us😥😥
@lukombesoemmanuel7271
@lukombesoemmanuel7271 5 жыл бұрын
Nice interview...vinajana tunapenda kusikia hays
@williamkipondamali1936
@williamkipondamali1936 5 жыл бұрын
Weupe ni asili yao kuendelea
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 5 жыл бұрын
Mi nipo tanga nipeni uwakala niwauzie bidhaa zenu
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 5 жыл бұрын
Kweli mwenye nacho huongezewa.hao wajerumani mliwapa hela zote au wanawadai maana mhhhhh
@frankforeheads9796
@frankforeheads9796 5 жыл бұрын
sometime familia inachangia katika watoto kufanya vizur angalia huyu jamaa kasomeshwa mpaka nje ndio maana mpaka Leo kafika hapo alipo ,Lakini ninaacho Mimi mafanikio ya mtu yako katika mikono yake mwenyewe
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Ndio kunakusomeshwa nje mtoto akaja waovyo kweli mafanikio yapo mkonono mwetu
@aminamassari6480
@aminamassari6480 5 жыл бұрын
Yaana hapa angeongea mtoto wa ilala tandale mngeambulia kusikia jambo tu mwanzo mwisho n kinge tu Lkn kijana wala hana mambo ya yes no cjui of course
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 5 жыл бұрын
Kabisaaaa Dadae
@lilyrose4066
@lilyrose4066 5 жыл бұрын
Umeona eeh?Ni ushamba unatusumbua tunashindwa kuthamini lugha yetu.
@goodteam7890
@goodteam7890 4 жыл бұрын
Sana yani halafu mara nyingi tunaoshobokeaga kingereza ni sie ngozi nyeusi
@firdausnassor1105
@firdausnassor1105 5 жыл бұрын
Mungu awalinde hii familia , ni vema sana ndugu kukaa pamoja na kupendana
@moussabmohamedsaid6066
@moussabmohamedsaid6066 5 жыл бұрын
Millard tunahitaji more Interviews Kama hizi zinatu motivate vijana kama sisi ambao tupo vyuoni trying to get our Educations
@amm24media65
@amm24media65 2 жыл бұрын
Automation killed many jobs no matter how you like it job!!!
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 4 жыл бұрын
Poleni mnao kunywa sumu toka viwandani nitabaki kunywa maji yangu asilia toka mirimani huko Morogoro chunguzeni kwa kina hao wenyewe hawatumii hivyo vitu kwa sababu wanajua fika vina chemical za kufa watu
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Hakika yaha ndo madini tunayoyataka kwenye jamii kwakweli
@issaally4125
@issaally4125 5 жыл бұрын
Kumbe inawezekana biashara na familia ukiwa makini unatoka lakini kibongo bongo familia zetu hiz ukizishilikisha wao ndio wakwanza kufisadi Mali wakitegemea mzee yupo tu
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 3 жыл бұрын
inawezekana muhimu nidhamu ya kazi
@Shirimatunda
@Shirimatunda 5 жыл бұрын
Naona mnatumia mashine za krohnes hope mtakua na bidhaa bora
@kingslleyhaidar2649
@kingslleyhaidar2649 5 жыл бұрын
Very impressed, very young Tanzania to run a big company like this owesome....
@agnesshonga7570
@agnesshonga7570 2 жыл бұрын
Mwenyewe anaongea kwa adabu anapesa na akili
@samuelmulumba1892
@samuelmulumba1892 5 жыл бұрын
Hongera sana wana Shinyanga wenzangu. No efforts without impacts.
@ahmedadam6568
@ahmedadam6568 5 жыл бұрын
Baba alikuwa akimpeleka kwenye ofisi ya biashara sio ofisi ya serikali,watu weupe wana uvumilivu na wananyanyuana sana lakn watu weusi tuna unyimi na malengo ya mida mfupi,ukaichana na tatzo la mtaji wa pesa bado mtaji wa mawazo ni duni,elimu itakufanya kuwa na mawazo mapana na zaidi ukisoma nje unapata fursa ya kujionea mambo mengi mazur na ya kisada,hongereni sana
@darmillionaire
@darmillionaire 5 жыл бұрын
Jiongelee mwenyewe. Hili sio jambo la weusi au weupe. Ni jambo la mtu na mtu. Kama hujawahi kusikia basi enzi za Kikwete kuna mweusi mmoja mmiliki wa hoteli ya Peacock pale Mnazi Mmoja aliwahigi na yeye kuhojiwa na kueleza jinsi alivyosota kutoka kuuza duka Iringa hadi kujenga hoteli Mnazi Mmoja kwa elimu ya darasa la saba, halafu jinsi alivyomrithisha mwanae mikoba. Ila ujue pia kuna wengine wanaofanya hivyo ambao hawaongei. Sasa usijishushe na kukweza rangi ya mtu au kudharau rangi ya mtu kwa sababu ya matatizo ya watu binafsi. Hata watu wenye ngozi unazosifia ni wengi tu huko kwao ambao wana mambo ya ovyo ovyo kabisa. Usiangalie wachache unaowasikia wanavuma ukajua basi wote wako hivyo.
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 5 жыл бұрын
Ubinafsi ndio unatuponza sie weusi. Tunapenda kusujudiwa sana hasa tukipata mafanikio kidogo tu. Unataka walioko chini wabakie huko huko hata kama una nafasi ya kuwainua ila unawakazia makusudi ama kwa roho mbaya tu. Hatutakaa tusogee
@goodteam7890
@goodteam7890 4 жыл бұрын
@@darmillionaire weuc wenye maendeleo makubwa ni wachache sio kama wenzetu weupe
@mariamkaaya214
@mariamkaaya214 5 жыл бұрын
shkamoo wajerumani,technology imekua,inatengenezwa wakiwa ujerumani,technology ni nzuri mno
@edwingwesso129
@edwingwesso129 5 жыл бұрын
Kazin kwangu hapa
@jumannechapembe8280
@jumannechapembe8280 5 жыл бұрын
Nafarijika Sana kwa unachokifanya ayo tv. Natamani na Mimi kufanya innovation baada ya miaka kazaa niwe Kama Jamaaa hpo. Big up Ayo TV
@sebaskibiki4836
@sebaskibiki4836 3 жыл бұрын
Waarabu na wahindi wako vizuri lakini weusi ngozi ya yako nyoko Sana! Litahonga vimada mpaka mfilisike
@maluhismadila9593
@maluhismadila9593 Жыл бұрын
Naiomba no yenu ya sim mko sawa
@newforcejv9721
@newforcejv9721 5 жыл бұрын
Ayo kazi zako hazipitwi na wakati
@tumainingowi6373
@tumainingowi6373 5 жыл бұрын
Ongezeni muda mukiwahoji watu kama hawa millard
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 жыл бұрын
muda unatosha sana chamsingi ni pointi tu.chakwanza ni elimu na pili ni ari na juhudi ya kufanya kazi na tatu ni msingi wa kuanzia biashara.
@jacksonjohn9884
@jacksonjohn9884 5 жыл бұрын
millard tunaomba hizi interview za watu kama hawa ziongezeke
@zwainazwaina9808
@zwainazwaina9808 3 жыл бұрын
Mashllh
@asiliyakechuma4319
@asiliyakechuma4319 3 жыл бұрын
Dah weupe asili yao kuendelea mm baba yangu alifungua duka akaniweka mm na baba mdogo dukan nduo tukawa wauzaji mpaka leo hii nashindwa kuelewa duka lilikufaje kufaje maana tunadaiwa mpaka kodi ya pango
@dflexmashairi8824
@dflexmashairi8824 4 жыл бұрын
Waliidhamini Stand United lakn kwa bahati mbaya ikashuka daraja.Rest in peace Chama La Wana
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
Insha Allah wanaosema weusi hawez ati kufanya watoto wao kuwa kama huyu mi nasema wangu naanza kumjenga saiv atakuja kuwa zaidi ya hawa.. tuwajenge watoto wetu kuanzia chini siku 1 watakuja kuwa kama hawa akina jambo..✌
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
True my dear
@rashidhemed1212
@rashidhemed1212 5 жыл бұрын
Dada mum upo
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@@saumuhassan6365 yeah✌
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@@saumuhassan6365 yeah✌
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@@rashidhemed1212 nipo mdogo wangu hujambo
@abrahamjoseph2589
@abrahamjoseph2589 5 жыл бұрын
Sisi waafrika weusi kwanza mifumo yetu ya maisha ni mibovu na hatuna utamaduni wa kuwatayarisha watoto toka wadogo tofauti na wenzetu wenye akili ya kihindi na waarabu ndio maana unakuta mtu ana mali ila akifariki tu na mali zinakwisha
@msetyntorah804
@msetyntorah804 5 жыл бұрын
Ata wewe ni mwanaume Bro kama umelijua tatizo fanya wewe ili uwe tofauti.
@abdulkareemshaban1476
@abdulkareemshaban1476 5 жыл бұрын
Mfano huu upo Tanga kwa shehoza company watoto wake pia ni wasomi kwa ajili ya kampuni yao
@abrahamjoseph2589
@abrahamjoseph2589 5 жыл бұрын
@@msetyntorah804 yeah that's not problem ndio maana nimesema ni mfumo wetu wa maisha ndio tatizo
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
Nilichojifunza hapa elimu ya ujasiliamari inayofundishwa na Ma professor wanatudanganya saaana maana wengi wao hawana hata kibanda cha Tigo pesa, kuna elimu tunaikosa sisi ngozi nyeusi, napenda nchi iwe na watu wa mataifa mengi na tujifunze kutoka kwao, maana ukitaja matajiri kumi unapata watanzania 2 tu, wahindi wako 400,000 tu lakini matajiri wote ktk top ten zaidi 60%ni wao, kuna jambo la kujifunza kutoka kwao na hatuwezi pata hiyo elimu chuoni, mataifa yako mengi lakini Walebanini, Wahindi, Waarabu, Wachina, Wasomali ni wafanya biashara wazuri mno, popote ukimpeleka Duniani hata uwapeleke Kijijini watatoboa
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 5 жыл бұрын
Millard ongeza sn juhudi kuwahoji watu walio fanikiwa huwa tunpt Elim kubwa sn kupitia kwa hawo watu walio fanikiwa
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 3 жыл бұрын
Hakika Interview imebamba, kwa Sisi ambao Baba zetu wamefariki Bila kutuachia nyenzo na Sasa tunahaso tujuane.
@abelshinyanga2683
@abelshinyanga2683 3 жыл бұрын
wale wote wa shy nyumbn ngola like twende sawa
@ismailabbas2675
@ismailabbas2675 3 жыл бұрын
Majengo moja iyo💪
@ashakarim5297
@ashakarim5297 3 жыл бұрын
Waarabu wanatabia ya kushea hata kiwanja moja tu
@kapituomary2344
@kapituomary2344 5 жыл бұрын
Tuvitu tudogo tudogo
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 5 жыл бұрын
Well done young boy, initiatives, eduction, commitments , mitigation and excursion is the key of successes
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 жыл бұрын
😁😁
@InnohubGroup
@InnohubGroup 8 ай бұрын
Sasa mbona ujiaibishe mbele ya Dunia wakati unaweza kukitumia kiswahili. Kiingereza sio kipimo Cha masomo au ujanja! Next time try to find out the meaning of the vocabulary you would like to use and the correct/proper spelling. STOP 🛑 worshipping the English language. Be proud of our Swahili language.
@marthaleonard2444
@marthaleonard2444 3 жыл бұрын
Hii ndio tunataka kuona sio umbea !Au maisha ya watu!
@khamisrashidy1348
@khamisrashidy1348 5 жыл бұрын
Millard karibu shay jamukaya
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
Interview ya maana kama hii ni dkk 12..Ila interview ya Zari ni endles Series... Naskia harufu ya umauti na umasikini huku bongo
@babaharunakipindula3895
@babaharunakipindula3895 5 жыл бұрын
Hahahahaa na kweli wabongo wengi wanapenda umbea
@arthurjustus1811
@arthurjustus1811 5 жыл бұрын
Tatizo hujui, watu kama hawa wako busy Sana hauwezi kuchukua muda mwingi akikuelezea juhudi zake ndio maana amemuhoji dakika chache... Zari anamuda mwingi wa kuongea hana vitu vya kufanya ndio maana ni series😂😂😂
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
@@arthurjustus1811 Sio kweli... Tafuta watu huko duniani kina Buffet,Trump,The late Jobs wanafanya interview za ata masaa mawili...
@barakabahati6600
@barakabahati6600 3 жыл бұрын
Computer yako inaandika vitu tofauti na maneno yanayo zungumuzwa
@petersonshaezra1135
@petersonshaezra1135 5 жыл бұрын
ongezeni mda kweny interview nzur km hzi zinazo inspire watu kujifunza na kuelewa @Millardayo
@immah__deo7014
@immah__deo7014 5 жыл бұрын
Iv kwa nn Biashara kubw zote Bongo Zpo Chn ya Ngoz Nyeupe??
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 5 жыл бұрын
Kwa sababu ngoz nyeusi ina fikra ndogo mno kiubunifu na kiakili pia maana wengi wao wana soma ili waajiriwe sio kuji ajiri brother
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 5 жыл бұрын
Background kama wazazi weusi wanawaza siasa tu na ngoma kuoa tu tutabaki hvyo hvyo badilika ili tubadili vizazi vyetu
@edsonteri4489
@edsonteri4489 5 жыл бұрын
Kwasbabu hata ngozi nyeusi waliofanikiwa na wakawa na madaraka huiba na kuficha kwa ngozi nyeupe mfano wanasiasa wana pesa lukuki wameficha kwa weupe huko ulaya wengine wamefukua makampuni na kuweka wahindi ili wasijulikane wameiba
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 5 жыл бұрын
Ngozi nyeupe hawana ubinafsi kama sie blacks, mtu mweusi akifanikiwa hataki na wenzake wapitie kwenye mafanikio yake kujiendeleza. Anataka waanze kuhaso upya kama yeye alivyofanya. Ingekuwa baba wa huyu mtoto ni mbinafsi angetaka mtoto aanze kutanga tanga juani hadi apate ajira.
@vicentmaganga3687
@vicentmaganga3687 5 жыл бұрын
Ni watu wanaojituma sana ktk kazi, pia wanasaidiana sana wao kwa wao. Wanajitahidi sana kuwafundisha watoto wao biashara tangu wakiwa wadogo. Mfano mzr ni Manji, Mo na wengine kibao wanaendesha biashara ambazo zilianzishwa na babu zao. Watu weusi tunafeli sana ktk hilo
@misschagga8042
@misschagga8042 5 жыл бұрын
Sijatosheka na hii video jamani tuongezee nyingine ndefuuuu mtuwekee vitu kama hivi tunapenda kuliko umbea wa kina zari na kina uwoya mabiriani😂
@davidobonyo7558
@davidobonyo7558 5 жыл бұрын
Nimependa sana uzalishaji wa bidhaa za Jambo yaani very hygienic keep it up Jambo
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 2 ай бұрын
Milad ayo nitafute na mm ninabonge la uwekezaji,mm ndo mkurugenz,meneja,kuli, na mfagiaji,nimenunua Sana mafuta ya pamba ya Jambo kwa Hawa jamaa,sele ni shahd
@tztanzania2262
@tztanzania2262 5 жыл бұрын
Mashaa allah nataman utajir in shaa allah nitapambana sana kutafuta halaal
@najimshaib9306
@najimshaib9306 5 жыл бұрын
Taman uchamung
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Жыл бұрын
Hongera sana mzee amesimama vyema sana na kijana anajitambua sana ni vijina wachache sana
@munnawwaryaqoob3414
@munnawwaryaqoob3414 5 жыл бұрын
Safi sana kwa Elimu kweli nampa big up sana Salum wtt wote wamesoma
@1994-l1m
@1994-l1m 5 жыл бұрын
Mashaa Allah
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Masha Allah mungu awasimamie
@rayesrayyan2428
@rayesrayyan2428 5 жыл бұрын
MashaAllah very proud of you khamis your doing so well. May Allah bless you all and keep up with high quality products.
@amosipetermiraji8059
@amosipetermiraji8059 Ай бұрын
Faneni utala tibu tuweze kupata na energy drink kama Azam energy kwahapa Congo👏👏
@sarmyclever4340
@sarmyclever4340 3 жыл бұрын
Watoto wa huyu mzee wa roho nzuri mno 2008 nlikuwa meatu pale ndo kwao haswa, nlipokuwa nafanya biashara ilikuwa karibu na kwao kipindo hicho walikuwa sheli nyingi ko walikuwa marafiki zangu ila hamis simkumbuki kaka ake mkubwa alikuwa rafiki angu.
@mussamsindo2029
@mussamsindo2029 5 жыл бұрын
Safiiiii Ila muda mchache sn nimependa sn Hamis anavyojieleza kwa kujiamin big up
@philbertmwanakusya8050
@philbertmwanakusya8050 Жыл бұрын
inspired much
@ismailmohammed8418
@ismailmohammed8418 3 жыл бұрын
Ninawajua sana hiyo familia! Mashallah agkhan
@excessethane454
@excessethane454 5 жыл бұрын
Hizi bidhaa ziko Kenya 🇰🇪 kweli,
@husseinloyy1912
@husseinloyy1912 5 жыл бұрын
Milady ago ...we ni Mbunifu na maono
@Laizer3
@Laizer3 4 ай бұрын
Hapo ingekuta ni mtoto wa tajiri wa kibongo angeanza kueka heshima maclub bar na kununulia watu bia kwa sifa ila ona wahindi huku hata senti haipotei😮
@juicesodascience
@juicesodascience 4 жыл бұрын
hizi ngozi nyeupe asee akili yao iko mbali sana ila weusi ndugu tu wanakuloga 😡
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 жыл бұрын
Umaskini na njaa ndio watoto wengi hushindwa na masomo
@leonardkisia1929
@leonardkisia1929 4 жыл бұрын
Kwa nini tukifikiria viwanda lazima tufikirie wahindi, waarabu ama wazungu? kwa nini hakuna waafrika wengi kwenye hiyo sector?
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 3 жыл бұрын
sisi waafrica tukipata vinakuwa vyetu binafsi sio vya familia sasa muanzilishaji akifa mambo yote yanakufa
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Safi sana jamaa wanaandaliwa mapema sana
@yasiniludabaza1138
@yasiniludabaza1138 5 жыл бұрын
Bro kuna nafac hapo job?
@benjaminchagu4236
@benjaminchagu4236 3 жыл бұрын
Ipo
@chrismwanjalika9892
@chrismwanjalika9892 5 жыл бұрын
Mtangazaji tafadhari hakuna neno "UTITIRI WA BINADAMU"
@shamsahabibu6862
@shamsahabibu6862 3 жыл бұрын
Nakuona Kaka mkubwa nimm apa mfanyakazi wako shamsa jaman tunapambana Sana karbuni
@mohamedabdallah8321
@mohamedabdallah8321 5 жыл бұрын
Dah hadi raha yani kwanza ni tam balaa anauza sana kanda ya ziwa
@swalehfarid5466
@swalehfarid5466 3 жыл бұрын
ALLAH Azidi Kuwatilia Barka Muzidi Kupanua Company
@MusaNgao
@MusaNgao 5 жыл бұрын
Nimeipenda hii, safi sn Millard!
@eliasaphbussa9332
@eliasaphbussa9332 5 жыл бұрын
Naona Mkurugenzi mwnyw umeingia kazn kutuletea info za moto xn
@petermwantole9433
@petermwantole9433 5 жыл бұрын
kweli maji ya jambo yana test nzuri sana ukiacha ya kilimanjaro
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 44 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
MUFINDI KIWANDA CHA KARATASI 001
4:45
Faraja Sendegeya
Рет қаралды 133 М.
Dakika 30 za Mtanzania Hallen aliyetajwa FORBES kuwa Bilionea ajae
32:50
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН