No video

KUFAHAMU IMANI || PASTOR GEORGE MUKABWA

  Рет қаралды 25,484

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Күн бұрын

#jrcchurch #pastorgeorgemukabwa #thanksgiving #sundayservice
Gospel Teachings for soul winning Purpose.

Пікірлер: 66
@bobdirector
@bobdirector 2 ай бұрын
Ubarikia sana mtumishi wa Mungu kwa mafunuo Roho wa Mungu yanayotoka kwako
@bobdirector
@bobdirector 2 ай бұрын
🙏🙏💯
@mildredsakali2243
@mildredsakali2243 11 ай бұрын
Napokea neema ya kupiga hatua kwenye maisha sitayumbayumba tena kwenye imani 🙏🙌
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 2 ай бұрын
Barikiwa Pastor George.
@user-ny2qf8vd8y
@user-ny2qf8vd8y 5 ай бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi wa mungu
@kairoswordministry3120
@kairoswordministry3120 9 ай бұрын
Kwakweli Najifunza sana kutoka kwako mtumishi
@HendricaAjiambo
@HendricaAjiambo 2 ай бұрын
Mungu wa imani akulinde akupiganie yeye ndie mwenza wayote nashukuru kwa mafundisho yako nilikuwa nafunga lakini nilikuwa sijui maombi inaendana na neno la biblia kwasasa nimefatilia mafundisho yako hakika mungu anafunuwa mungi kwangu mungu akubariki sana
@ruthnjururi4561
@ruthnjururi4561 9 ай бұрын
God bless you and your family.naona nitahamia Tanzania ufahamu wa mungu ulizinduliwa uko 🙏🙏💯
@EsthermlongoEsther
@EsthermlongoEsther 7 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏
@NellyKadenyi-qc3em
@NellyKadenyi-qc3em 3 ай бұрын
Amen Amen
@ffflll6001
@ffflll6001 11 ай бұрын
Amen amen
@user-wh5co1oc4s
@user-wh5co1oc4s 5 ай бұрын
mung akubalikii baba
@mwanasitihamisi187
@mwanasitihamisi187 11 ай бұрын
Thank god
@tinahpk8517
@tinahpk8517 7 ай бұрын
Amen
@user-ey9rc7wk7k
@user-ey9rc7wk7k 10 ай бұрын
Asante Bwana Yesu kwa Neema hii Mungu akulinde Mch
@hadijamodestar4387
@hadijamodestar4387 9 ай бұрын
Amina
@user-ep2jm7dp2r
@user-ep2jm7dp2r 3 ай бұрын
Ameen
@user-dh9wc8kz7v
@user-dh9wc8kz7v 11 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@user-kj7us9mx5s
@user-kj7us9mx5s 4 ай бұрын
Amen, Nashukuru kwa ujumbe huu juu ya Imani, nimegundua mahali ambapo nimekuwa nikikosea, Kuwa Na lmani bila kuchukua hatua . Nashukuru kwa kuelimishwa 🙏🙏, Mungu akuinue zaidi Mtumishi
@user-qk7rl1jg4n
@user-qk7rl1jg4n 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-qk7rl1jg4n
@user-qk7rl1jg4n 3 ай бұрын
Nateswa Mimi shetani yuanifuatilia😊
@user-qk7rl1jg4n
@user-qk7rl1jg4n 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@annetvuseletse4509
@annetvuseletse4509 4 ай бұрын
Asante Yesu Kwa nafasi hii ulioleta kwangu kuusu imani .Nakuomba eee Bwana unipe imani timilifu
@samwelkibiriti2376
@samwelkibiriti2376 4 ай бұрын
Masomo yaliyojaa Ufahamu mkubwa wa kiroho na nguvu za Mungu barikiwa sana pastor George Mukabwa
@edinahmasea1603
@edinahmasea1603 11 ай бұрын
Asante Yesu Amen Amen Lord Amen
@Fridausi-g6k
@Fridausi-g6k 11 ай бұрын
Napokea roho ya ijasiru naondowa roho ya hofo kwa jina la Yesu Amen Papa
@Mimi1Wewe2
@Mimi1Wewe2 3 ай бұрын
Mchungaji nasikitika Sana kwanini sikupata neema ya kuanza kukufutilia Toka mwanzo maana nafikiri ningekua mbali Sana kimaisha pia mchungaji mm ikifika mwez wa 9 mikakati na mipango yangu yote huwa inavurugika je nifanyaje.baba
@ThobiasSagugu-so8uk
@ThobiasSagugu-so8uk 11 ай бұрын
Baba nimekuelewa Sana muumba mbingu na aridhi na akubariki
@jacklinejackline2539
@jacklinejackline2539 11 ай бұрын
Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@EvelinaMahenge-xi8fp
@EvelinaMahenge-xi8fp 10 ай бұрын
Aminaa nakuelewa vizuri sana masomo Yako yote yanagusa maisha yangu mungu akubariki sana mchungaji
@MarryMakalwe
@MarryMakalwe 11 ай бұрын
Asante Mungu kwa zawadi hii.Nakuombea baraka nyingi na kibali Cha pekee Sana pastor.
@floraan4388
@floraan4388 11 ай бұрын
Yes yes mungu tusaidie kua na imani
@gideonmwaweza8177
@gideonmwaweza8177 11 ай бұрын
Baba ubalikiwe Sana naona unaongozwa na loho mtakatifu
@MasokaMwembe-vl2wf
@MasokaMwembe-vl2wf 11 ай бұрын
Pastor ubarikiwe sana nimepata neema ya kupiga hatua
@beautymgowela4919
@beautymgowela4919 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@floraan4388
@floraan4388 11 ай бұрын
Amen and amen mtumishi wa mungu nimmebarikiwaa sana be blessed
@monicalaizer7596
@monicalaizer7596 11 ай бұрын
Amen Mtumishi nimefu guka sana Namshuru Mungu wa mbinguni Kwa ajili yako
@happinesspatrick3902
@happinesspatrick3902 7 ай бұрын
Ee Mungu naomba unisaidie kuongeza kiwango changu cha imani.Amen
@togolanimbwambo2752
@togolanimbwambo2752 11 ай бұрын
Amen nimepata Jambo hap❤❤❤
@jemimahowiti
@jemimahowiti 11 ай бұрын
Am taught any time I letsen to you sir,am addicted to your teachings every morning
@gideonmwaweza8177
@gideonmwaweza8177 11 ай бұрын
Ameni mtumishi Imani yangu kwa Mungu sina was was na Mungu wangu
@user-rb7ys8ce6m
@user-rb7ys8ce6m 11 ай бұрын
Amen baba
@ThobiasSagugu-so8uk
@ThobiasSagugu-so8uk 11 ай бұрын
Asante baba
@tumbonkutigwa1185
@tumbonkutigwa1185 11 ай бұрын
MUNGU ni Mwema kunikutaniaha na Mahubili haya
@susanwanyoni249
@susanwanyoni249 11 ай бұрын
Amen and Amen
@mack_B.
@mack_B. 11 ай бұрын
Yaaan Kila nikiskia Maneno matraaam ya Mungu kwenye hii site lazma nipae utukufu mwingine na nashiba na kupona kabisaa completely aseee Yuko Mungu aliehai anaishi Ndan ya Mwana wake huyu Ubarikiwe mno mno Shujaa wa Bwana
@user-kt8xh9nj5v
@user-kt8xh9nj5v 11 ай бұрын
Aminaa Mtumishi 🙏 🙏
@rehemaexaudi4672
@rehemaexaudi4672 11 ай бұрын
Amina ubarikiwe
@neemandoboka5317
@neemandoboka5317 11 ай бұрын
Amen. Asante kwa mafundisho mazuri.
@user-bq8ne2kz7q
@user-bq8ne2kz7q 11 ай бұрын
Amen🙏
@magrethsomi4318
@magrethsomi4318 11 ай бұрын
Napokea neema ya kukumbukwa na bwana ktka majira haya september to december
@gilbertwanje
@gilbertwanje 11 ай бұрын
Amen 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
@rehemamakelele4288
@rehemamakelele4288 11 ай бұрын
Mbona anmaba ya sadaka hakuna
@AbeliSanga
@AbeliSanga 11 ай бұрын
AMINA
@janemachui8424
@janemachui8424 11 ай бұрын
Ameeen
@dayemukalai3427
@dayemukalai3427 11 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏
@prisca4612
@prisca4612 11 ай бұрын
Amen Amen Amen!!!!!
@user-bd5ef4bg4e
@user-bd5ef4bg4e 11 ай бұрын
1:01:31 1:01:33
@user-rm7vb7lj7g
@user-rm7vb7lj7g 11 ай бұрын
Amen
@annatemu4488
@annatemu4488 11 ай бұрын
Amen Amen
@annakadudu4505
@annakadudu4505 11 ай бұрын
Amina
@hofmanmnyangali7014
@hofmanmnyangali7014 11 ай бұрын
Amen 🙏
@janemachui8424
@janemachui8424 11 ай бұрын
Ameeen
@user-bd5ef4bg4e
@user-bd5ef4bg4e 11 ай бұрын
Ameen
@user-yb9hy8xs3k
@user-yb9hy8xs3k 11 ай бұрын
Amen
TABIA ZA IMANI YA KIFALME || PASTOR GEORGE MUKABWA || 03/09/2023
1:24:09
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 26 М.
NGUVU DHIDI YA HOFU || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 07/02/2023
47:22
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 8 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
SIRI YA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 01/06/2023
1:20:34
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 442 М.
KUMFAHAMU ROHO MTAKATIFU KATIKA MAISHA YAKO || PASTOR GEORGE MUKABWA
2:00:37
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 47 М.
7 Success Principles of An Eagle | Dr. Myles Munroe.
1:11:03
Reignversity
Рет қаралды 507 М.
Don't Give Up | Dr. Gerald Ole-Nguyaine
1:15:17
ICC Dodoma
Рет қаралды 567
KUFAHAMU AGANO LA KIBALI
1:11:26
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 18 М.
FAHAMU JINSI MUNGU ANAVYOONGOZA - PASTOR GEORGE MUKABWA
1:42:16
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 39 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН