Laiti ningeyapata mafunzo haya mapema, nisingekua hapa nlipo leo,lakini naamini, kwa mafunzo haya nitapata neema tena. Asante mchungaji, mungu akupee neema zaidi. Amen 🙏
@PelleSamky2 ай бұрын
Sijapata kuona Mtumishi wa Mungu kama huyu anajua neno anakufusha kusima Ubarikiwe sana Mtumishi Asante umenitoa mbali.
@sharonriaga46706 ай бұрын
Since I started following pastor George 🙌 am blessed everyday 🙏 barikiwa
@diwenagoodiani80872 ай бұрын
🎉🎉Barikiwa mtumishi wa Mungu
@AgathaMalanga6 ай бұрын
Asante Sana kwa neema hii nimepokea suluhisho la magumu yangu na maswali mengi ya huduma yangu.atukuzwe mungu aliye hai.
@evalynependo38246 ай бұрын
Mungu nataka madhabahu yako yanene juu ya maisha yangu 🙏🏻👏🏿🙌🔥❤
@WinnieMagoma6 ай бұрын
Amen
@AnneWanderaАй бұрын
Ooh,God have mercy on me🙏🙏truly hili neno limeniguza , madhabahu yangu yalichafuka
@KandidoLuvanga6 ай бұрын
Watu wa mwaza mnamtumishi mnaheri mungu abarikiwe abarikiwe namungu amwongeze niwatu chachesana wanamnayake amina
@sophiaathumani3936 ай бұрын
Sanaaaaa
@MagrethMasimba5 ай бұрын
Ahsante Mungu kwa neema hii ya mafundisho kupitia mtumishi wako .
@eshimendiuronuАй бұрын
Ubarikiwe sana nazidi kufuatilia masomo yako maana yananijenga natamani nifike hapo Mwanza
@TinaNganga6 ай бұрын
Maisha yangu yamebadilika sana tangu nifuate haya Mahubiri,ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
@ERISIANA5 ай бұрын
HATA MIMI HUJIFUNZA SANA KUPIKIA HUYU MTUMISHI WA MUNGU
@StephenMansuet6 ай бұрын
Natamani watu waliookoka wasikilize masomo ya huyu pastor yanainua sana
@MichaelMaige-dk5siАй бұрын
Kiukwel pastor George amefanika baraka sana katika maisha yangu
@upendomlakimlaki93976 ай бұрын
Natamani na kwa imani IPO siku nitafika mwanza nimuone pasta George kwa macho.
@Christine-y2v2 ай бұрын
Mungu atusaidie Sana tuweze kutafakari Aya maone ya mungu barikiwa Sana mutumizi wa mungu 🙏🙏🙏
@edjenmakwai2310Ай бұрын
Amen mtumishi unanifungua sana. Naomba kujua jinsi ya kujenga madhabahu kati yangu na Mungu.
@paulineoduor23834 ай бұрын
Wiki tatu sasa naona mungu ndani yako barikiwa sana
@geraldmtumwa2 ай бұрын
Nabalikiwa saaaaana mchungaji
@SarahBlessed-hs2ht6 ай бұрын
Neno hili limenifungua macho asante mtumishi wa Bwana barikiwa
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Jifunue Yesu tunakuitajj Yesu katika maishani mwetu Yesu katika jina la Yesu Kristo wanasareti ❤❤❤
@eshimendiuronuАй бұрын
AMEN
@jerubetjoan206 ай бұрын
8 months tangu nifuate huu madhabahu na maisha yangu imebadilika.
@tonyclinton67336 ай бұрын
Me too ,,,just 2mnths God is good🙏🙏🙏🙏
@mikalijesmart35466 ай бұрын
Nice
@GloryJohn-v3h5 ай бұрын
Amina
@xbmckodi5 ай бұрын
Amina
@LydiaMwamanga7 күн бұрын
1
@zephaniahnkombe16076 ай бұрын
Ubarikiwe sana mukabwa binafai nakuelewa sana nabarikiwa na mafundisho yako
@samwelkibiriti23766 ай бұрын
Kristo Yesu azidi kukutunza pastor George Mukabwa kwa Maarifa makubwa haya ya Neno la Mungu
@JaminAbuk13 күн бұрын
Yesu nibariki
@stephenondieki1686 ай бұрын
Kweli mtumishi Mungu akubariki sana sana kwa ajiri ya mafunzo mazuri
@MaureenMwemba4 ай бұрын
Ameeeeeeen! Thank you so much pastor George for the powerful message!
@kisangprisca83283 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu, umenielimisha . Nahisi kubarikiwa Sana. Mungu azidi kukutumia.
@justuskombe8060Ай бұрын
Pasta najengaje madhabau yangu
@assengacatherine9536 ай бұрын
Amina nimebarikiwa mno. Nasubiri somo lonalofuata Kwa shauku kubwa
@Cyrile-yv1er4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, ila mke huo hastahili mazabahuni, amejipaka vya majivuno
@MaliyabwanaeliyaIngénieur3 ай бұрын
Asante sana papa kwa bafundisho umefanya nijidabuwe mbele za Mungu
@maliyamungukisembo-zq5yl5 ай бұрын
Nashukuru sana kwa mafundisho ya leo yesu kristo akubariki Sana BABA
@janetrwochiАй бұрын
AMEN 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼
@judithmwaimu74153 ай бұрын
Naomba mwendelezo wa hili somo Pst. Please
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Babaku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu umenitoa Kwa shimo umenifungua macho Ya Roho nimejua mahali niliangukiya ninaruti Kwa jia ile Ya kwaza barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu nimependa mafundisho Yako yamenitoa uchafu Kwa Roho Yaku
@AnnaMomwakasegeseellel28 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi 🙏
@BettyNanniesAgencies3 ай бұрын
Thank u so much pasta god bless u
@neemadavid24834 ай бұрын
Amina Mungu akubariki kwa somo nzuri sana
@Precious24256 ай бұрын
Ameen ubarikiwe sana Pastor hakika Mungu anakutumiaa
@esterpeter85566 ай бұрын
Madhabahu ya kalvary,mahusiano yako binafsi na Mungu wako, madhabahu ya familia, madhabahu ya pamoja kanisa, madhabahu ya kazi ya mikono yako, Market place altar
@Jiandikishe165 ай бұрын
Thank you for your teachings they inspire me a lot and they have made me change spiritually
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory be to God
@annmburu39805 ай бұрын
Wee pastor nakupenda hata kama we sio wa dhehebu yangu,,,uko na maneno ya uzima
@eshimendiuronu27 күн бұрын
Kwa MUNGU lugha moja dhehebu moja AMEN🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇸🙏🙏🇰🇪🇰🇪Tunaunganishwa na YESU AMEEEN
@ChrisKadot6 ай бұрын
Madhabau ya mangu yakanene mema juu ya maisha yangu pamoja na familia yangu🙏🙏🙏🙏🙏
@atondatunza6 ай бұрын
Asante sana postor kwa mafundisho yako ya wokovu.Mungu akujaze Roho Mtakatifu akuongoze ili uzidi kutufundisha mambo ya Mungu
@davidkehogo32306 ай бұрын
Shalom Shalom 🙏 Nabarikiwa Sana na Mtumishi huyu jamani. Ni Miezi mitatu Sasa tangu nimfahamu na kuanza kumfuatilia. Mungu wa Mbinguni azidi kumuinua
@naseeralbishi47266 ай бұрын
Mungu naomba madhabau yako yanene you yangu
@JudithNinah-lr2wz6 ай бұрын
Amen,nahisi kubarikiwa Mungu azidishe hekima yake ndani yako
@mlongongomr99256 ай бұрын
Amen amen ubarikiwe sana mtumishi WA MUNGU Kwa ujumbe my MUNGU amekupa 🙏🙏🙏🙏
@FurahaShalupa6 ай бұрын
Ninabarikiwa sana kupitia pastor,mungu akubariki.
@lilianmbeyu6 ай бұрын
amina,jina la Bwana libarikiwe
@suzanabarnabas63666 ай бұрын
Asante Yesu kwa somo hili la uzima
@AnneSolomon-i7t6 ай бұрын
Amen baba...umenifunua macho
@evalinennko4536 ай бұрын
Uwa nabarikiwa sana nikisikiliza haya mafunzo ubarikiwe sana baba