KUFUNGUA MAMBO YAKO YOOOOOTE RIZKI KAZI MALI NK. SOMA JINA HILI

  Рет қаралды 6,955

TURIYU TV

TURIYU TV

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@HhRt-m5z
@HhRt-m5z 5 ай бұрын
Shukran sana shekhe wetu nimeona unatujali wanafamilia Allah akulipe janna ww nafamilia yako kwaujumla
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Ameeen shukran sana
@MariamMohamed-wo3vi
@MariamMohamed-wo3vi 2 ай бұрын
Alhamdulillah masha Allah
@TURIYU
@TURIYU 2 ай бұрын
Shukran
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
Ila namshukuru mungu kwa kwel hizi swala na nyirad za uck nazipata nazisoma na napenda sana kuzisikiliza.ila hali ndio hivyo na saiv ht mume wangu hl ya maisha ni ng um u.
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Inshaa allah mungu amfanyie sahali Hali yake ilainike Kwa uwezo wa mola inshaa allah
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
@@TURIYU aamiin
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 4 ай бұрын
Mambo kama haya kama uko na vifungo vya kichawi ni ngumu kufungukiwq hata mafuta pia ukijipaka yana kataa kwa mwili 😢😢
@ashurakabura7268
@ashurakabura7268 3 ай бұрын
shukran saana sheikh Allah akulip kheyri,ila nilikua nauliza je hiyo kafara inatolewa baada ya du'a ao vip?
@TURIYU
@TURIYU 3 ай бұрын
Ndio inatolewa baada ya dua
@ZaidHamasiZaid
@ZaidHamasiZaid 4 ай бұрын
A. Aleykum W.W. Nauliza ktk kuchinja je kuna manuizi gani? Pili uchinjaji ni lazima ufanyike usiku wa Ijumaa baada ya kisomo au hata kesho yake asubuhi kwa maana siku ya jumamosi Sheikh??
@TURIYU
@TURIYU 4 ай бұрын
Uchinjaji hata keshoyake unaweza kuchinja ila manuwizi ni muhimu katika kuchinja
@yusrashaban8138
@yusrashaban8138 5 ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh sheikh,naeza pia nikiwatilia dua watoto wangu wawe nafahamu kumbukumbu akili
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Yes inawezekana usjali
@MahuAbdallah
@MahuAbdallah 5 ай бұрын
Shukran jazakallaahu,,vitabu pia tuvipate online bi idhini llaahi,,
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Inshaa allah
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
Sinyonyeshi Mtoto nishamuachiza ila hali ya ugonjwa tu sijui ht nn nishaomba mungu sana ila sijafanikiwa bado.nina wasiwasi sana.saa nyengine pumzi zinanibana.wala siwez kukaa na njaa .
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
Tiba km zipi nishaomba mungu Sana ila hali bado km saiv kichwa kinauma hp rohoni pamekaza
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Pole Sana ila Kuna mda unaweza kumuomba mungu na asikupe ukitakacho kumbe anakupima kwanza anakupa mtihani aone subra Yako ila we usichoke kumuomba mungu utaona faida yake
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
@@TURIYU asnte kwa ushaur nitajitahid kumuomba allah sitokata tamaa
@HusseinAbdulrahman-xh2md
@HusseinAbdulrahman-xh2md 5 ай бұрын
Ushawahi somewa dada khadija dua ya kumaliza hali hiyo? Kama laa inawezekana huenda Allah yuwataka kukumalizia mtihani wako. Ntafute nikusomee popote ulipo naamini utafaidikapopote ulipo inshallah
@rashidawangara1318
@rashidawangara1318 3 ай бұрын
Assalaam aleikum sheikh. Una nafasi unifanyie hii dua?
@TURIYU
@TURIYU 3 ай бұрын
Inshaa allah
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
A.a ustadh mm kutukana na hali yangu siwez kufunga.sasa unanisaidiaje na hii naitaka.naitwa khadija kutoka zanzibar.Nina umri wa miaka 30.
@yusrashaban8138
@yusrashaban8138 5 ай бұрын
Sheikh naeza kutumia msahafu kama sijui kwakichwa
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Ndio Haina tabu unatumia tu
@aminarama1633
@aminarama1633 5 ай бұрын
Alhamdulillah, shukran sanaa
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Inshaa allah
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 4 ай бұрын
Izo suratul Yasin na Mulki kama huzijui unaweza kusoma sura yoyote ile ? Maana wengine tumeishia juzuu amma.
@TURIYU
@TURIYU 4 ай бұрын
Hapana sura ni hizo hizo
@ZuhuraAbass
@ZuhuraAbass 5 ай бұрын
Shekh mbona wanaume tu Kuna wanawake wanalea pekeayo tunataka maisha mazuri ili tuwalee vizuri na ssi tufanyeje
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Hahahahaaaa mbona mie sijabagua mtu dada Zuhra? Nakwanini ulee peke Yako na Hali umezaa na mume? Kama anakusumbua mfanyie Dua tu
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 4 ай бұрын
Kama huzijui utafanyaje na utasoma aya ipi naomba ufafanuzi shekhe
@TURIYU
@TURIYU 4 ай бұрын
Soma Hilo jina nililokuelekeza
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 5 ай бұрын
Maishallah
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
👍
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
Analolifanya haliendi akiuza biashara halipwi baishara zinaharibika.madeni anayodaiwa ni mingi mpak anfika kuzima .cm
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Analolifanya nani mumeo au nani?
@zuhuramwaniki6138
@zuhuramwaniki6138 4 ай бұрын
Naomba kujua jina langu ni nambari ngapi zuhura
@TURIYU
@TURIYU 4 ай бұрын
Uzito wa zuhra ni 217
@yusrashaban8138
@yusrashaban8138 5 ай бұрын
Pole sheikh kwa usumbufu . kwa hii swala hakuna Allahuakbar wala samiallahulimanhamida wala tashhadu na swalaa annabi ibrahimiyya
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Ipo
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
Nikikaa na njaa tu hali inabadilika afya inadhoof naona kizungu zungu.khadija kutoka zanzibar
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Pole Sana bi khadija issah ila je? Vipimo vya vidonda vya tumbo ulishafanya?
@kingarushamsi-gi6yr
@kingarushamsi-gi6yr 4 ай бұрын
Shekhe na mbuzi tunafanyaje?
@TURIYU
@TURIYU 4 ай бұрын
Kama utakavyofanya Kwa kuku
@khadijaismail5015
@khadijaismail5015 5 ай бұрын
Shekh weka internet ya TTCL Tsh. 55000 Kwa mwezi unlimited Hainakitangulizi cho chote
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Maa shaa Allah itabidi nifanye hivyo shukran Sana Kwa taarifa hio lakini ishu ni kuipata hiyo line ya ttcl ndio sijui ntaipata wapi
@NoorynMuddy
@NoorynMuddy 5 ай бұрын
Sheikh samahan unapo andika soma jina hili tunaomba ukiliandika kwa kiarabu andika na kiswahili hili mtu kma anaitafuta vidio zilizo mpita inakua ni raisi kuipata maana co wote wanajua kiarabu
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Doooh pole Sana dada noory ila nimekuelewa na ntaanza kufanya hivyo inshaa allah
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 5 ай бұрын
AL Fatah Au Katika kusoma Al Fataha au Yaa Fatah Unasoma Hivo @noorynMiddy Lina andikwa hivo
@Naw89
@Naw89 5 ай бұрын
YAA FATTAAH
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 5 ай бұрын
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH
@maryammakata7849
@maryammakata7849 5 ай бұрын
Subukhu kudus rabbi malaikat waruhkhus ndo hivi
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Subuhu kuddusu rabbul malaaikat warruuh
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
Ndio nimenda spital nimeshapima ila had leo hii sjapata majibu kila siku Nambiw kesho.lkn hii hali mara saiv Naumwa hivi badae naumwa vyengine ndio hivyo
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Hizo zoote ni dalili za mashaitwani dadaangu pole inakubidi ungedili Sana na tiba za kuondoa mashaitwani mwilini
@HusseinAbdulrahman-xh2md
@HusseinAbdulrahman-xh2md 5 ай бұрын
Kweli kabisa sheikh, anafaa asomewe huyu dada, kama waeza mfanyie ama sivyo naweza msomea na Allah akamwondolea
@HalimaNasser-l9g
@HalimaNasser-l9g 5 ай бұрын
Mashallah
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Shukran
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
A.a ustadh mm kutukana na hali yangu siwez kufunga.sasa unanisaidiaje na hii naitaka.naitwa khadija kutoka zanzibar.Nina umri wa miaka 30.
@husnamasoud4989
@husnamasoud4989 5 ай бұрын
Mashallah
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
👍
@KhadijaIssa-kd4ho
@KhadijaIssa-kd4ho 5 ай бұрын
A.a ustadh mm kutukana na hali yangu siwez kufunga.sasa unanisaidiaje na hii naitaka.naitwa khadija kutoka zanzibar.Nina umri wa miaka 30.
@TURIYU
@TURIYU 5 ай бұрын
Hali Yako ipoje unanyonyesha au unaumwa au unatatizo Gani bi khadija?
ALICHOKIONGEA SHEIKH OTHMAN MBELE YA RAIS SAMIA
10:59
arkas online tv
Рет қаралды 145 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 700 М.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
TUMIA DHIKRI HIZI KUONDOSHA MATATIZO|SWALEH SULLEYMAN
6:19
Swaleh Tv1
Рет қаралды 2,5 М.
SIKILIZA DUA YA KUJENGA UZURI NA UREMBO NA KUONDOA VIKWAZO
56:13
HIVI NDIVYO INAVYOTOKEA  UKIPENDWA NA JINI
23:31
TURIYU TV
Рет қаралды 815
SOMA JINA HILI ILI KUWADHALIKISHA MAADUI ZAKO NA KUVUNJA VITIMBI
23:00
WANAFUNZI WAPENZI SHULENI (PART 3)
7:15
Mweusi Family
Рет қаралды 834 М.
ILI KUONGEZA MTAJI WAKO  NA MALI YAKO SOMA JINA HILI
49:20
TURIYU TV
Рет қаралды 1,6 М.
#live  :  [12.10.2024 ] MATENDO MAKUU YA MUNGU
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 105
Yummy Fruits & Vegetables | D Billions Kids Songs
1:49
D Billions
Рет қаралды 3
Sharifu Suleymana TV is live
1:13:22
Sharifu Suleymana TV
Рет қаралды 2,4 М.