Mashallah shukran shekh othman maalim twakupenda kwa ajili ya ALLAH ALLAH akujalie umrii na afya njema sichoki kusikiliza mawaidha yako Mashallah
@eshaalidziza566011 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah naomba wakenya pia wapate rais muslim mwenye imani ya dini tuwe wenye kufata rules za kislam❤
@aminanahimana875911 ай бұрын
Ma Sha Allah Tabaarakallah Allah akujaze kheri Duniani na Akhera Sheikh wetu na oote walohudhuria hapo🤲🤝🤝
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik, kwakweli sheikh Othman amebalikiwa hekma,busara na kipaji cha kuongea+kuskilizwa,hachoshi mazungumzo yake
@KassimAlly-xp4dz11 ай бұрын
Uyo ana kipaji sio bahati Mashaa Allah
@KhadijaNgozi-ln4ww28 күн бұрын
Mwenyezi.mungn.akupe.maisha.marefu.shekh.wetu
@aswilasaif2455 Жыл бұрын
Shukurani sheikh Othman mungu akujaliye umri na pepo
@abeliever682311 ай бұрын
زادكم الله عزةً وشرفا وكرامة شيخنا الفاضل
@shamte9musicofficial126 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekhe mi nakukubali sana
@user-oz7fv4di9q11 ай бұрын
Sheikh Othman Maalim M/Mungu atakulipa pepo kwa ufasaha wako wa kuwaelekeza watu mambo ya kheri
@katore1982 Жыл бұрын
Masha Allah TabarakaAllah sheikh Maalim Allah akujaaliye kheir uzidi kutufunza nakutujuza dini yetu aamen yaRabb
@rhiophiri685711 ай бұрын
watching you from lusaka zambia sheikh othman malim, may Allah swt bless you and indeed bless us all, the world needs people like you, well said,we have benefited a lot
@saladinkamis781411 ай бұрын
Mashallah sheikh mwenyezimungu akubarikie na akuzidishie ilmu
@user-gx3qv7gr6f Жыл бұрын
MashaAllah Allah barik 🙏 well saying keep it up we need people like u❤ ☪️
@Aminamuhamed11 ай бұрын
Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat maashaallah barakallah FIIKIY SHEKHE WETU Othman maalim baba mwenye hekma hakika umeruzukiwa inshaallah ALLAH akulipe malipo mema duniani na akhera inshaallah 🤲❤
@user-jy7lg4hc1j11 ай бұрын
Allah akbar! Shekh wangu mungu akujalie mwisho mwema
@navystreetF111 ай бұрын
Maashallah this sheikh is my best his eloquence is off the hook
@warejr459711 ай бұрын
Masha Allah shk.othman Allah akupe umri mrefu
@husseinibrahim543811 ай бұрын
MA SHA ALLAH SHEIKH UTHMAN MAALIM JAZAKA ALLAH KHAIR.
@husseinibrahim543811 ай бұрын
Pokea salam kutoka Marekani USA 🇺🇸 akhi Huyu ni ndugu yako Hussein Ibrahim .
@zainabuibrahim476611 ай бұрын
Mashaallah. Natamani kuwa mkazi wa Zanzibar. Nawapenda sana nyoote kwa ajiri ya Allah
@mamyomar124111 ай бұрын
Akipenda ambaye umetupenda sisi kwa ajili yake.
@bakarsaid457311 ай бұрын
Nasisi pia tunakupenda kwa ajili ya ALLAH
@nuruauni5882 ай бұрын
Mashaallah mashaallah pongezi kwa mama samia inchi itakuwa na baraka na amani kwajili kuipa kipao mbele dini.🫡
@fatyakauga295111 ай бұрын
Othuman maalim nakupenda sana
@mdsaid152711 ай бұрын
❤❤wallah huy shekhe akiongea na mawaidha yake mm yananisisimua roho yangu nampenda sana nilitafuta sana namba yake ila namuomba Allah sku nimuone live Allah akuhifadhi akupe hekma sana na nuru alokupa
@user-tg2jn7ie3b Жыл бұрын
Wa kwanza leo naomba like zang🙏🙏
@SwalehKidume-wd2cd11 ай бұрын
Maneno mazuri Masha Allah lakini mazingira ndio hayakuandaliwa vizuri baina ya wanawake na wanaume
@salhakiseki330211 ай бұрын
Ma sha Allah, Sheikh Othman Unajua Sana
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
tunamshukuru Allah kwa kukuweka wewe sheikh othman maalim hauko kiuchawa uko ki kusudio la Mungu maneno uliyoyatamka hapo kwanzia uongoz wakiafrica had kudharau mazur ya mtu wakiafrica yanayo wasaidia wafrica wote inchini kwao hukuogopa kusema ukweli nadhani samia kayasikia na kinakikwete wameyasikia wao ndio wanatabiya hiyo wanadharau mazur ya magu ya kuendeleza africa wameleta ya wazungu yakuangamiza wafrica we samia nagenge lako lakibakikwete na kinamakamba mmesikia maneno hayo kiongoz au kiumbe ukiwa katka maisha yako ya dunian ukashindwa watendea mazuri wenzio basi we sio kiongoz muhimu dunian walasio kiumbe muhimu dunian nadhan Mungu kakufikishia ujumbe kupitia sheikh huyu uongoz wako unauwa sana watanania nakulia kilasiku na njaa isio isha 😢
@issashebe11 Жыл бұрын
Jazaka Allah khair shekh
@zaujiaahmed880311 ай бұрын
Shekhe Umeongea vizuri Mpaka unapendeza .unaeleweka .Basi ukiwa Kwenye mawaiza Yako usifoke Sana Uwe unaongea Ivyo Wanaoniunga mkono Nipeni like zangu.
@aliomar558911 ай бұрын
Kwani anafoka ktk mawaidha yake?
@khadijamasare42011 ай бұрын
Nammi nilitaka kuuliza swali Kama hilo,yaani sjawahi kusiliza mawaidha ya shekhe Othuman maalim ya kufoka jamani,anaongea hivi hivi yaani huachi kkuskiliza mawaidha yake
@rahmamohammed9678 Жыл бұрын
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu Alhamdhulillah ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️❤️
@waheedaw1953 Жыл бұрын
MASHAALLAH TABARAKA RAHMAN ASANTE SANA SHEKH
@learningire375911 ай бұрын
Maashallah very precise and to the point. Are rhey equal those who know and those who don't know.
@rhiophiri685711 ай бұрын
they are not equal
@allyiddy356211 ай бұрын
Jazaakallah Khair kwa kutukumbusha tarehe ya kiislam ilipo anzia
@rukiagambere8050 Жыл бұрын
Mashaallah
@ibrahimsalum135111 ай бұрын
Mashaallah sh othman maalim nafrahi sana kuskia mawaidha yako naelimika sana na nashawishika sana kujifunza Allah akulipe darja kubwa sana 🙏
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah 🥰 ALLAH awajaalie kheri walio hidhuriya na watakawo fwatiliya Kila mwenye uzito ALLAH amuwekeye wepesi 🤲
@KhadijaKipua-dw7yz11 ай бұрын
Sheikh Othman maalim Allah akuzidishie kheri ya duniani na ahera
@abdulnuliat-ny7nf Жыл бұрын
Shukran ya sheikh wetu 👏👏
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Masha Allah
@allykombo2992 Жыл бұрын
mashaallah othman uko vizuriii
@faridahalwaily8511 ай бұрын
Barrakkah Allaah huu fiek kwa mawaidha yakooo….
@jumamchina903811 ай бұрын
Jazzak Allahu Khairan
@rehemastambuli234811 ай бұрын
Almdulilah shekhe mora hakuzidishe kheri na barack
MashaAllah sheikh othman nakupenda kwaajili ya Allah
@ZUHURAKHALFAN-mc8nd11 ай бұрын
MASH ALLAH Allah akueke Sheikh OTHMAN
@CharafimalisalimoAli-qw3hk11 ай бұрын
ALLAH ambarik Alie asisi HUO mpango na sisi WAFUASI. Kuna watu HAPO wataropoka KUA hiio ni BIDAA. WAKATI tupo mamilioni ya WAISLAM wala HATUJUWI kama kuna MWAKA wakiislam. Sisi tunaujua sana MWAKA WA KANISANI HUU WA 2023.
@rahmajaffar79411 ай бұрын
MashaAllah ,ahsante kwa kujitoa na kututoa kwenye hasara kwani binaadamu wote wako kwenye hasara isipokuwa wale waloamini na wakatende mema na wakausia haki na subira.Mola wetu tujaalie tuwe miongoni mwa watenda mema na utuepushie chuki ndanI ya nafsi zetu
@mutanabbiabbas337 Жыл бұрын
Shekh mkumbushe uyo Anae jiona mungu mtu mwambie uwongoz ni Amana ya allaha
@idrissamohamed110011 ай бұрын
Kama huna cha kuchangia acha kufuru,,Unamdhaniaje mwenzio kitu ambacho hajakiwaza..
@mamyomar124111 ай бұрын
@@idrissamohamed1100anajiona Mungu mtu kivipi hapo sijaelewa.
@jumanassor883611 ай бұрын
Mashallah! Allah amuhifadhi sheikh Othman M
@user-tg2jn7ie3b Жыл бұрын
Allah akupe kila la kheri akusameh madhimbi yako na akurehem Amiin
a,alykum nimependa san allah atakulipa ostadh.. umeongea ya haki na mlengwa alielengwa awe makin juu ya kuyafnyia kz,
@jannahjidoo331011 ай бұрын
My Sheikh Allah barik
@HassanAli-eq8ko11 ай бұрын
Mashaallah jazakumllah kheri
@saumusaid782511 ай бұрын
Mashaaallh 🥰
@nassorhemed395311 ай бұрын
Masha allah 💯 alhamdullahi
@saidJeneby-zk8xh11 ай бұрын
Mashallah tabaraka llah
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
🥰🥰🥰mashaallah shekhe wetu
@mustaphamatelefone-lc9pr Жыл бұрын
Masha-allah 🙏🙏🙏
@user-oz1rg8ol2q3 ай бұрын
Mashallah
@Baharia Жыл бұрын
MaShaAllah
@bongotrendshd7988 Жыл бұрын
Shukrn Mimi naomba kufanya kazi kwenye tv yenu kama inawezekana
@bilo110611 ай бұрын
I love you so much shekhe langu ❤❤❤❤❤
@abdulmalickupete9015 Жыл бұрын
Maashaallah
@zainabuibrahim476611 ай бұрын
Mumependeza sana tunamuomba Allah atulinde nafitina na Hasadi
@sadakimwaki9791 Жыл бұрын
Mashaalah ❤
@SalimMohamed-o3j6 күн бұрын
Maashalaa
@FarhatIbrahim-zs3qh11 ай бұрын
Mashallh ♥️
@HashimuHashboy-bo2wl2 ай бұрын
Haya maneno haswaa maalimu uko vizuri na huo ni ukweli mtupu
@feisalmwinyi242911 ай бұрын
Maneno mazimaaa hayaaaaaaaaa asofaham hafaham tenaa, neno la doby na neno asemalo alojuu mara nyingi humuangusha alochini.. Inshaallah maneno haya yawe funzo kwetuuu sote yaaaaarab