Nena Mtu wa Mungu. Asante kwa ufafanuzi wa maandiko.
@paulsemba_TV2 ай бұрын
AMINA
@marthambeyanje55652 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi🙏🙏
@maureenkemei92542 жыл бұрын
Amina Asante kwa mafundisho haya barikiwa.
@msafirimfilinge81672 жыл бұрын
Hapo somo limepindishwa mtumishi,, Biblia ni neno la kudumu na halibadiliki kulingana na mazingira hata siku moja.
@kenediotyende67602 жыл бұрын
Barikiwa MTUMISHI wa BWANA
@estherkusaga91812 жыл бұрын
Asante kwa ufafanuzi mlefi nimeelewa
@paulsemba_TV2 жыл бұрын
AMINA
@richardmisogalya94992 жыл бұрын
Barikiwa
@stefanomganga84632 жыл бұрын
Wanathiologia wapo kanisani siyo kumvunja Moyo msomaji, Bali kumhamasisha apende kusomana klielewa neno nakulikula Kama chakula kwa ustawi wa hekima na malezi Hadi umilee utakapokuja.....
@jamesmgonda2 жыл бұрын
Hao washiriki ni noma ..lakini wamekutana na Gamaliel
@maureenkemei92542 жыл бұрын
Nimeona nami
@sayunicasmiry43652 жыл бұрын
Tafuta mada nyingine, utadaiwa vingi
@alexandertimberson85992 жыл бұрын
Barikiwa mjoli
@paulsemba_TV2 жыл бұрын
AMINA
@BensonMkami-u1uАй бұрын
Wanawake wafunike kichwa kwa ajili ya malaika hiyo haina utamaduni ndugu tusitetee uovu neno lisipindishwe kutofika kichwa ni kukosa adabu kwa malaika soma mpaka chini utadaiwa roho unazopoteza kuwa makini sana
@msafirimfilinge81672 жыл бұрын
Kwahiyo na wanaume wanaweza kuvaa kofia kanisani na wasiwe katika hatia???
@sayunicasmiry43652 жыл бұрын
Tafuta mada nyingine utadaiwa vingi be careful
@godfreybruno34432 жыл бұрын
Hapo umepindisha kufunika kichwa ni kumilikiwa kwa malaika pia, kuvaa kofia tz siyo kukosa adabu je! Tuvae kanisan?
@alicenyakawa48742 жыл бұрын
Neno litasimama
@paulsemba_TV2 жыл бұрын
AMINA
@loycep77852 жыл бұрын
Nauliza ktk maelekezo ya kitambaa nimeelewa Lkn swali langu liko ktk mwanamke anaruhusiwa kuvaa suruali? Maana maandiko yanaeleza si vyema mwanamke kuvaa nguo ya mwanamme isiyomhusu