Рет қаралды 7,087
Hii ni video ya baadhi ya matukio pamoja na mahubiri kwenye ibada yetu ya kwanza ya Jumapili ya tar. 11/08/2019 ambapo Mchungaji Gregory Daudi alihubiri katika ibada hiyo ujumbe aliyoupa kichwa kisemachi "KUGEUZWA NA KUWA MTU MWINGINE"
Endelea kutufuatilia kupitia kurasa zetu mbalimbali;-
Facebook web.facebook.c...
Instagram www.instagram....
Pia, kwa maelezo zaidi;-
Whatsapp +255786616335
Call(Piga) +255765105992