Рет қаралды 2,709
Dunia si mahali salama tena. Tumezungukwa na hatari nyingi na ni ngumu kuwaamini hata watu wa karibu. Je, unawekaje mipaka ili usiathiriwe na watu na mazingira hatari? Unamsaidiaje mtoto kujenga uwezo wa kuweka mipaka? Unawezaje kujizuia kutovuka mipaka ya wengine na kuharibu maisha yao?