KUJITAMBUA

  Рет қаралды 21,274

Harris Kapiga

Harris Kapiga

8 жыл бұрын

Пікірлер: 20
@thereziaaloyce3430
@thereziaaloyce3430 4 ай бұрын
Amina
@lameckjohn3257
@lameckjohn3257 4 жыл бұрын
Good said broo Addition tu kaka Kujitambua ni awareness kwa maana nyingine ambayo ni recognize the truth about your self with consideration of life style,body and environment.Lakini pia understanding your emotion,motives,character and Desires Ni kujua umeumbwaje na unafanyaje kazi.Sasa binadamu ni bidhaa kama zilivyo bidhaa nyingine lakini mwanadamu mtengenezaji wake ni MUNGU.Bidhaa zinazodumu na kuishi muda mrefu sokoni ni zile ambazo ubeba utatuzi.Kikawaida bidhaa imeundwa na kukamilika katika mfumo utakaowezesha bidhaa husika kuleta solution(UTATUZI) iliyowekwa ndani yako. So tukisema kuwa bidhaa imejitambua ni pale inapofahamu namna ya kutumia mfumo/system iliyopo ndani yake kuzalisha SOLUTION(UTATUZI).Sasa kwa mtu kuwa amejitambua ni pale anapojua ameumbwa vipi na anamfumo gani wa utendaji ndani yake unaofanya kazi kumsaidia ili kutimia matakwa ya mtengenezaji.Mfano uwezi tengeneza simu ikawa haina spika, moja kwa moja haiwezi fanya kazi japo kusudi lake ni kuzalisha sauti. Kwa leo inatosha kaka>>>>>>>>>Mimi ni zao la Chimbo school of thought tangu ilipokuwa pale kamanyola sinza karibu na shule ya Mugabe. Nilikuja siku moja tu...ilitosha kabisa kuendelea mbele kwenye safari ya kujitambua ASANTE SANA KAKA Harris Kapiga Ukipata nafasi pita kwenye chanell yangu>>>kzbin.info/www/bejne/nnWxla1oppJjodE
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 6 жыл бұрын
Mzee nipo America hila nakufuatilia sana tena sana mzee wangu👏
@archkeels3753
@archkeels3753 6 жыл бұрын
Brother naomba mungu akuzidishie maana in vingi sjui
@joycelaizer4600
@joycelaizer4600 4 жыл бұрын
Nakupenda sn
@danielmlanda6969
@danielmlanda6969 7 жыл бұрын
ilove you my brother
@wahidamohamed9965
@wahidamohamed9965 7 жыл бұрын
yani broo unamaneno mazur sana
@ramadhanimagomba7395
@ramadhanimagomba7395 7 жыл бұрын
Jamaa unajua sana
@ibrahimabdu867
@ibrahimabdu867 4 жыл бұрын
good sana
@wilbardmussa8232
@wilbardmussa8232 6 жыл бұрын
Good presenter
@ibrakadabra8308
@ibrakadabra8308 6 жыл бұрын
God bless you
@francisgosbert2354
@francisgosbert2354 6 жыл бұрын
asante harris
@msaniimpyaBMW
@msaniimpyaBMW 6 жыл бұрын
Nimekusoma kaka!
@sultanisharifu6728
@sultanisharifu6728 5 жыл бұрын
Sawa kaka ila utajuaje kitu gani kilichokuleta duniani
@yusuphmohamedy1316
@yusuphmohamedy1316 6 жыл бұрын
Nice
@emaboki8709
@emaboki8709 7 жыл бұрын
nice
@abdallahmaloweka871
@abdallahmaloweka871 6 жыл бұрын
owk bro kapiga
@husseinmwakasala7565
@husseinmwakasala7565 5 жыл бұрын
pia mimi au ww n mmoja kati ya sperm million 300, ambao walitakiwa kuwa wao lkn nikawa mm.. of course bro we are special to something
@emmylucas3398
@emmylucas3398 6 жыл бұрын
nakuelewa Sana
@francisgosbert2354
@francisgosbert2354 6 жыл бұрын
nimejitambua
KAZI ZIPO AJIRA HAKUNA - HARRIS KAPIGA
9:37
Harris Kapiga
Рет қаралды 317
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 29 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 13 МЛН
Introducing SLOW Learners Batch..Veral Level Opportunity!!
6:22
MASA RAILWAY EXAMS
Рет қаралды 211
JINSI YA KUJITAMBUA WEWE NI NANI
3:35
Hezzy Hezzy
Рет қаралды 4,6 М.
AwuuTV || UNATAKA NINI NA KWA NINI?
4:01
Awuu Benevolence
Рет қаралды 106
Sekondari ya Wasichana Collegine - Makala Maalum ya maadhimisho ya siku ya vipaji (Talents Day)
11:55
Praise and mantra of Medicine Buddha (Sangye Menla)
28:53
Buddha's Dharma
Рет қаралды 3,8 МЛН
Mfumo wetu wa Elimu hatufundishi kujitambua
31:13
Chomoza Tv
Рет қаралды 17 М.