Mfumo wetu wa Elimu hatufundishi kujitambua

  Рет қаралды 17,232

Chomoza Tv

Chomoza Tv

5 жыл бұрын

#Chomoza2019 #Hatunajambodogo #KeepLeft
Joel Nanauka Mwandishi wa vitabu na mzungumzaji Tanzania amezungumza mengi katika Keep Left ya leo kuhusu shida ambayo anakutana nayo kubwa kwa vijana ni kutojitambua. Amesema anatamani watu nchi wangekuwa kama Samsasali na kwamba sio kila mwenye ujuzi wa kuzungumza anaweza kuwa motivation speaker

Пікірлер: 44
@AllanAlex-wd2ju
@AllanAlex-wd2ju 5 ай бұрын
Mungu azidi kuweka hapa duniani kaka nanauka
@edinestaantony3114
@edinestaantony3114 Жыл бұрын
Asante kwakazi kubwa unayoifanya kwa usaidia watu kwamafundisho yako mazuri
@emmynyambo1999
@emmynyambo1999 4 жыл бұрын
Hongera sana nakuelewa tukitaka ufike kwetu kijijini utuelimishe wakinamama tuliopo taratibu zikoje
@mussadionizi9418
@mussadionizi9418 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa Kaka Joel natamani haya ningeyajua kabla sijaenda hata chuo...Joel mimi ninapassion ya kuwa kick boxer
@noelmwikeve6255
@noelmwikeve6255 5 жыл бұрын
Ubarikiwee sanaa mtaalamu wangu
@douglasradley6698
@douglasradley6698 5 жыл бұрын
ata mimi wa burundi nimefanikiwa sana kujitambua purpose yangu na sasa niko nakufuatiliya na nikiwa burundi nime ku connect kwa vijana wa burundi
@adammsema6418
@adammsema6418 4 жыл бұрын
Mimi ni mchungaji napenda sana mafundisho yako.naomba unisaidie namna naweza boresha utumishi wangu kwa kiwango vya juu.ahsana sana
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 2 жыл бұрын
Joel you are so genuine, Mungu aendelee kukutunza na kukuweka panapo nafasi. Love you kaka
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti 10 ай бұрын
You are very good at teaching, very good teacher
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 5 жыл бұрын
Hongera sana kwa kweli Baraka hizi ni kibwa sana na kama tukiweka nguvu kubwa tunanafasi kubwa kutoka hapa. Kwa kweli Joel wewe ni baraka sana Tanzania.
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Upo vizuri wewe ni zaidi ya kiongoz natumaini unatugusa wengi na siku hadi siku unazidi kuacha athari chanya ktk maisha ya sasa na baadaye Mungu akubariki sana
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mr Joel you are my mentor
@rajabuibrahimu4338
@rajabuibrahimu4338 4 жыл бұрын
Huyu jamaa yani kaletwa na Mungu kuja kutusaidia mawazo..
@stephenruhuro2030
@stephenruhuro2030 5 жыл бұрын
Daaaaa,sam na Uncle Jimmy.....nakosa cha kusema but all in all mnafanya kazi kubwa sana,leo mmenikutanisha na kocha wangu,mwalimu wangu.asante kaka nanauka kwa madini ulio tupa Leo.jambo kubwa ni kujua kusudi la sisi kuwa juu ya sayari dunia.naamini kuwa mbegu hii mliyo ipanda leo kesho itazaa matunda na kulisha makumi elfu.barikiwa sana brothers for the good work.
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 5 жыл бұрын
.
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 5 жыл бұрын
j
@devothabishagazi2311
@devothabishagazi2311 5 жыл бұрын
Yaani tumekua tukiambiwa soma mwanangu uje upate kazi nzuri,I hate this
@ahz6907
@ahz6907 4 жыл бұрын
Yap siwezi walaumu wazazi au walezi wetu maana na wao waliaminishwa huo mfumo. So sisi kizazi hichi watoto wetu tuwakuze wawe na mtizamo tofauti. Tuwe wazazi wa kisasa. Maaana mfumo wa zamani ulishapitwa na wakati. Pengine wakati huo ulifaa lakini si zama hizi.
@thomasdamas4347
@thomasdamas4347 5 жыл бұрын
We unaweza Kaka endelea kunifungua akili. GOD bless you
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
YOUR THE BEST BROTHER, Zidi kubarikiwa.
@stellakaheza6446
@stellakaheza6446 5 жыл бұрын
Nahama sika xna na speech zako
@mwoleka.3369
@mwoleka.3369 4 жыл бұрын
st ,
@melvinnakhungu2504
@melvinnakhungu2504 2 жыл бұрын
Amen
@zamoyonisalim8986
@zamoyonisalim8986 5 жыл бұрын
Your my inspirational mentor
@carlosernest3192
@carlosernest3192 4 жыл бұрын
Excellent
@oscardausen3126
@oscardausen3126 3 жыл бұрын
uko pw san mwalimu naomba utulete video ya jiangani za kumsaidia mwanafunzi afikie malengo yake.
@zuhuraabdillah6941
@zuhuraabdillah6941 5 жыл бұрын
keep up bro am still learning
@devothabishagazi2311
@devothabishagazi2311 5 жыл бұрын
Hiyo popular hata piere na nabii Tito ni popular but not influential
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Good 👍
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti 10 ай бұрын
Nina changamoto ya hofu naomb unisaidie nifanye nn ili niondokane na hofu ya kujifunza?
@devothabishagazi2311
@devothabishagazi2311 5 жыл бұрын
Yaani wewe umebarikiwa sana,hicho kichwa hicho ni balaaa
@hamisimgaya7889
@hamisimgaya7889 5 жыл бұрын
Nakukubali xana kk nanauka
@philipyaee1625
@philipyaee1625 5 жыл бұрын
Mr Joel I have been inspired with you're advice & personal knowledge but will need some recommendation how to develop my talent (I really need to do some business based football matters) thanks
@juliusmatiko1051
@juliusmatiko1051 5 жыл бұрын
Brother how can you be my cocher reality........be blessed kaka.
@jakiluluu1307
@jakiluluu1307 4 жыл бұрын
Kaka nakuomba uje arusha
@petermalesa3164
@petermalesa3164 5 жыл бұрын
Asante sana
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 5 жыл бұрын
tumezaliwa duniani ili tuje tumuabudu mungu hayo mengine ni ziada ktk Maisha..Pesa siyo kila kitu ila mungu ndiyo mpango mzima. mafanikio without amani ni sawa na nyumba bila godoro
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 4 жыл бұрын
@@innocentsaimon8049 mie Tangia Hapo ni tajiri wa Moyo,, Sina Stress..Hayo makoro koro mengine ya dunia Yakija au Yasipokuja I dont care. Muhimu niko Mzima tu inatosha. waweza ukawa Tajiri wa Mali ukaja kukutana na Shida zingine,,Mapresha, Moyo, Khofu nk. Ridhika na vile Mungu Alivyotaka uwe kwani wewe siyo wa kwanza kuwa ivyo hata kuna baadhi ya manabii walikuwa maskini hapa ulimwenguni.
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 4 жыл бұрын
@@innocentsaimon8049 yeah ni sahihi iwapo kama utapata fursa na mambo yanaenda vizuri
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 4 жыл бұрын
@@innocentsaimon8049 Siyo kila mtu aweza kuwa kama wewe?? kuna watu wana ilmu na akili nyingi lakini mambo hayaendi huyu tumueke ktk fungu gani?? Na ameshajaribu mara nyingi lakini wapi?? Na kuna mwengine alifaniwa na kuja kununua nyumba magari,,, Magari yake yote ya biashara yameharibika,, haya Nyumba imeungua Moto huyu nae tumuweke wapi..Tuseme mungu akumleta duniani ili aje awe maskini. Na utakuta kila anachojaribu ni ushuzi mtupu. Muhimu tu watu wasikate Tamaa wapambane hadi mwisho wa kufa kwao,, Na tutiane moyo ktk mafanikio.. ila maskini wapo ndugu. Na tena wamejaa....
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 4 жыл бұрын
@@innocentsaimon8049 kuwa maskini wa mali si sahihi☝️☝️ila kama utapata Fursa na mambo yanenda vizuri hapo sawa,, ila kama mambo hayaendi utafanyaje?? Uibe ama??
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 4 жыл бұрын
@@innocentsaimon8049 Yap na Uvumilivu pia.
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 жыл бұрын
🏆🏆🏆
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 118 М.
Mfumo wa Elimu ya Tanzania na Afrika
53:15
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 25 МЛН
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 91 МЛН
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 153 М.
KUJITAMBUA
6:04
Harris Kapiga
Рет қаралды 21 М.
JINSI YA KUJITAMBUA WEWE NI NANI
3:35
Hezzy Hezzy
Рет қаралды 4,6 М.
"Sifa Tukufu" Sehemu Ya 1, Dr. Elie V.D Waminian
22:55
Chomoza Tv
Рет қаралды 20 М.
Jinsi MADHABAHU inavyotenda kazi katika maisha yako || PASTOR GEORGE MUKABWA || 23/06/2024
3:05:35
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 19 М.
НАДЕЮСЬ ОН ВЕРНЕТСЯ С АВТОСЕРВИСА 😂😂😂
0:40
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 1,9 МЛН
Идеальный день ребёнка😂
0:11
МишАня
Рет қаралды 4 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
0:31
PANDA BOI
Рет қаралды 12 МЛН
Когда научился пользоваться палочками
1:00
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3,4 МЛН
НАДЕЮСЬ ОН ВЕРНЕТСЯ С АВТОСЕРВИСА 😂😂😂
0:40
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 1,9 МЛН
Normal vs Psychopath vs Rich How to heal a cut on your finger ☝️❤️‍🩹
0:19