Barikiwa Mtumishi, naomba kuuliza kwenye somo lililoisha ulisema!! Tunapaswa kuangalia Majira ya kiangazi (Summer) ambayo ni muhimu kwa sabbu wana wa israel waliingia KAANANI wakiwa wanashangilia na kupiga tarumbeta kwa Shangwe ilikua summer pia!!swali langu hvi vipind vinatofautiana kutokana na nchi na mahali/Eneo husika sasa tutatizamaje!!?
@olaislukumay220812 күн бұрын
Ubarikiwe sana baba
@israelmbuto16422 ай бұрын
shalom. blessed are those of your church and hear the word of the Holy Spirit through you.