kukuru kakara joto la swali la panda ujumbe umefika kimeeleweka vinzuri mno

  Рет қаралды 4,370

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@SaleheKijazy
@SaleheKijazy 18 күн бұрын
Shekhe ally yupo kwa uwanja mashaallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Yeah alhamdulillah
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 16 күн бұрын
Mashallah
@salhkasmm558
@salhkasmm558 18 күн бұрын
Assalam alaikoum brothere Ali umerudi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah
@isahbarasa
@isahbarasa 18 күн бұрын
Nikiona tu mzee Ali nafurahia sana😊☺️
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Masha Allah
@SalamaMustafa-q5h
@SalamaMustafa-q5h 16 күн бұрын
Huyo wilibafos anawesti time
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 18 күн бұрын
BISMILLAH MASHALLAH ❤❤❤
@abdirahmanmohamed1732
@abdirahmanmohamed1732 18 күн бұрын
Mashaallah
@mohamedbaridhwan3017
@mohamedbaridhwan3017 15 күн бұрын
Nimefurahi kumuona Ali
@salimdaawah123
@salimdaawah123 15 күн бұрын
Masha Allah
@hassansharif5716
@hassansharif5716 18 күн бұрын
Mashallah
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 18 күн бұрын
Walaikum salam warhmatillah
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 18 күн бұрын
Masha Allah, sheikh Ali amerudi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Yeah yupo sasa
@badmanno.1650
@badmanno.1650 16 күн бұрын
Walimu wangu ningewaomba mpunguze jazba mnapodeal na hawa watu wanaouliza maswali, haina maana kuwakebehi kwamba hawajahifadhi biblia, hawa ni watu ambao wanafuata waliyoyakuta kwenye family zao. Alhamdulillah sisi tumepewa neema ya uislamu lakini haina maana tuna ubora wowote mbele ya Allah, maadam bado hawa wenzetu wako hai tuwaombee wapate uongofu nasisi tujiombee kwa Allah atupe msimamo tupate kufa katika uislamu insha'Allah.
@bashirmahero7021
@bashirmahero7021 18 күн бұрын
Asalam alaikum brother Mzee Ali. Walai nakupenda sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Masha Allah tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@josemu870
@josemu870 18 күн бұрын
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Masha Allah
@mohamedhaji2242
@mohamedhaji2242 17 күн бұрын
Ali is maashaalah . welcome back.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Alhamdulillah
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 18 күн бұрын
Huyu jamaa hûwa anakuja na chuki sio kuuliza maswali,, Mwalimu mwambie sisi kama online views tumemkatalia mic😂😂😂 he's just wasting time and bundles
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Inn shaa Allah
@ibruzah001
@ibruzah001 17 күн бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@SaidMgeni
@SaidMgeni 18 күн бұрын
مشأ الله تبارك الرحمن
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 18 күн бұрын
MashaAllah karibu tena Sheikh Ali. Tumekumiss sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Masha Allah
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 17 күн бұрын
Nyimbo walim wangu tafash
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Wachungaji walikuja kuweka karibu na sisi tukaamua hatuondoki so wakaongeza sauti
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 17 күн бұрын
@@salimdaawah123 poleni.jaza yenu mtaipata kw Mola ujumbe unafika
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
@@Nora-v1m3p aamiin amiin amiin wanafanya kusudi tu
@Jingajinga64
@Jingajinga64 18 күн бұрын
Mchungaji amekula nyundo sikiza habari
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@Jingajinga64
@Jingajinga64 18 күн бұрын
Assalamu Alaykum team. Allahumma lakal hamd hamdan katheeran twayyiban Mubarak. Allahumma Barik
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
@F.j84
@F.j84 17 күн бұрын
Ustadh Ali tunakupenda kwa ajili ya Allah.. Yani ukiwa msomaji unatufurahisha sana.. Vile unawapatia live😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Masha Allah
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 17 күн бұрын
Mashaa الله shekhe Ally zamani hatujakuona. Tumefurahi kukuona tena.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Yupo area
@aishaally6602
@aishaally6602 18 күн бұрын
Ila makelele ya nyimbo kama wanafanya makusudi jamani
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Yeah wamekuja kuweka karibu na sisi na pia wakaongeza sauti ni chuki tu
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 17 күн бұрын
Sheikh Ali anashekesana ati jamaa anawazimu😅
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
🤣😂🤣😂
@husseinelmi4460
@husseinelmi4460 17 күн бұрын
Sheikh Ali please punguza mahasira kidogo. Watu wana angalia tabia sana.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Inn shaa Allah
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 17 күн бұрын
Jumaa Kareem ❤❤❤
@xogmalxarandid9369
@xogmalxarandid9369 17 күн бұрын
Sauti yeni chini tafadhali ongezeni sauti
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Wachungaji walikuja kuweka nyimbo karibu na sisi tena wakaweka sauti ya juu
@Sal.0
@Sal.0 18 күн бұрын
Huyu Willy au Deki, Ali ali sema ni WAZIMU! Na huyu Kurutu ni Time Waster tuu! Wachana na huyu KURUTU Willy Deki. Ban yeye Kabisa! Sijui kwa nini muna Waste time na huyu Mjinga! Na huyu Cameraman mbona ana pan wapi?? TabarakAllah Team
@salimdaawah123
@salimdaawah123 17 күн бұрын
Inn shaa Allah
Muhadhara aina yake kakara kukuru kiwanja cha eleweka
1:15:55
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 1,4 М.
Muhadhara kakara kukuru ujumbe wafika kisawasawa kumeeleweka
1:01:17
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,5 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3,2 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 4,9 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 16 МЛН
Waswahili ni Wapwani Halisi - Makala ya Kwanza.
34:52
Stambuli wa Sh. Abdillahi Nassir
Рет қаралды 3,5 М.
MCHUNGAJI ASHANGAA KUONA MAKATAZO YA ULAJI NGURUWE KWENYE BIBLIA
1:00:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 13 М.
Mwingine asilimu mbele ya mchungaji aliyekua akitutafuta kivumbi githurai 45
1:17:47
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3,2 МЛН