Muhadhara aina yake kakara kukuru kiwanja cha eleweka

  Рет қаралды 6,726

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Ай бұрын
Allahumma lakal hamd hamdan katheeran twayyiban Mubarak. Allahumma Barik
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@josemu870
@josemu870 Ай бұрын
Barikiweni sana sana kwa mafundisho bora yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran mwenyezi Mungu amulide ampe afya subra dawa iendelee kwa neema ya uislamu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r Ай бұрын
MashaAllah Allah awajulie nguvu zaidi na hekima kuwaonyesha wenzetu katika Adam ukweli kuhusu uisilamu inshaAllah tuko pamoja
@alilim1958
@alilim1958 Ай бұрын
🤲
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@abdallahazizi999
@abdallahazizi999 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu awazidishie elimu Naafia njema
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@minaniyasini7834
@minaniyasini7834 29 күн бұрын
Poleni sana wahadhiri. Allah awalipe kila la kheri. Mnakutana na watu wengine mtihani.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@SalamaMustafa-q5h
@SalamaMustafa-q5h 29 күн бұрын
Mashaallah kazi nzuri salim naomba mpange mkuje Namanga nawakaribisha sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Inn shaa Allah huo mpango tutapanga
@Marim-qp8gs
@Marim-qp8gs 29 күн бұрын
Allah awazidishie kila la heri ata siwaunge mukono kwa maitaji kuhusu inyi kazi munanya fanya basi nawaombea duwa kwa Allah awazidishie yarabi shukran sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@Halima-f1u
@Halima-f1u 29 күн бұрын
Mashaallah Allahu Akbar
@nuureabdisalanjamac6111
@nuureabdisalanjamac6111 Ай бұрын
Mashalah
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q Ай бұрын
Asalam alykm ndugu zangu❤❤ niko hapa sebreni kwetu kabisa tuna pata elim bora na burudan nzuuuuur
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Ай бұрын
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu dadangu
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q Ай бұрын
@@HisMajesty64 Alhamdulillah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah
@abdinasirmohamed3490
@abdinasirmohamed3490 Ай бұрын
Masha Allah tabaraka Allah,dawah iwafikie na tuwaombea Allah awaongoze,awape hidaya wao nao 🤲🙏❤️
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@abdallahdoka9173
@abdallahdoka9173 Ай бұрын
Waaleikum salaam warahmatullahi wabarakatu
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 Ай бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@AzizSalumu
@AzizSalumu Ай бұрын
Mashaalla swali sungura jibu tembo yaan anajibiwa mtu kwa hekima mpaka Ana nywea na anajifunza kitu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Wataelewa tu inn shaa Allah
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Ай бұрын
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
@254trends
@254trends 29 күн бұрын
This is the Book about which there is no doubt, a guidance for those conscious of Allah. Zalik can be used as “This” ,”That”, “That one....... jibu huyo Jamaa wa juzuu hiyo swali ndacha Ali uliza juzi anafuatilia ndacha sana...
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Ай бұрын
Mhadhara wa leo ni raha sana ..Nimecheka na kuwaonea wakristo huruma.ALLAH awaongoze katika haki.
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 29 күн бұрын
Sasa anaonekana anajua alipata mtu haielewani Quran Wala Bible.Mbona tusimuone akijadiliana na wàtu wanao elewa Quran?
@aishahazary4097
@aishahazary4097 29 күн бұрын
@@NathanielNathan-m4o Kajifunze kiswahili kwanza ndipo uje u comments.Usituchoshe na kiluga chako kisichoeleweka .Tuna mengi ya kufanya
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 28 күн бұрын
@@aishahazary4097 "ndio uje u comments" 😂😂 Hii ni kiswahili gani? Kweli nyani haoni kundule.
@aishahazary4097
@aishahazary4097 28 күн бұрын
@@NathanielNathan-m4o Hembu lala kidogo huenda akili ikarudi upya
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 28 күн бұрын
@@aishahazary4097 Ni hebu au hembu? Hii kiswahili gani sasa?
@AminiIlungajuma
@AminiIlungajuma Ай бұрын
May Allah bless you I’m learning more from you
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 29 күн бұрын
Sheikh Ali😂😂😂 umenichekesha sanaaaa. Eti huyu jamaa yuko taaban😂😂😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
😂🤣😂😂
@spinicahakama4500
@spinicahakama4500 29 күн бұрын
Ndio kuingia 😂😂😂❤❤❤
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Ай бұрын
Sheikh Salim .. Nilikutafuta private kwenye whatsapp, àlhamdulillaah ulinipa Ushauri mzuri .. Nataraji kuja kuchukua IJAZA kwako nami nifanye Daawah.
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q Ай бұрын
Mbona mm namba haisomi wasp jmn au kwakua nipo tz??😢
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Ай бұрын
@@JamilaJumanne-u7q Pia nipo 🇹🇿 .. Inasoma
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di Ай бұрын
Kama uko tz Anza na +254 itakubali​@@JamilaJumanne-u7q
@HisMajesty64
@HisMajesty64 29 күн бұрын
Nakuombea Allah akuwezeshe katika njia hiyo
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 29 күн бұрын
@@HisMajesty64 Aamyn
@ahmednasib8465
@ahmednasib8465 Ай бұрын
Mash'Allah
@MwangiMuhammad-q8r
@MwangiMuhammad-q8r 29 күн бұрын
Maa Shaa Allah ndani ya field, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@MwangiMuhammad-q8r
@MwangiMuhammad-q8r 27 күн бұрын
@salimdaawah123 Hassan Kariuki formerly Oscar ako smart? Maa Shaa Allah, Mpe salamu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 27 күн бұрын
@MwangiMuhammad-q8r inn shaa Allah
@abdallasuleiman8785
@abdallasuleiman8785 29 күн бұрын
😂😂😂 Baada ya muda mrefu hatimaye leo mzee wa juzuu amejitokeza.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
🤣🤣🤣😂 ataelewa tu huyu
@dibasora6481
@dibasora6481 Ай бұрын
Assalamu Allekhum,ma sha Allah watu wanaendelea kuelewa dini ya haki ni gani, Allah awape afya njema na tuwaombee victory to Palestine na Lebanon In sha Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Allah awape ushidi
@estherwamaitha1006
@estherwamaitha1006 Ай бұрын
Asalamu aleikum Masha Allah tabaraka Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@bashirmahero7021
@bashirmahero7021 Ай бұрын
Hii watu ni mtihani bana yaani mtu hajui ety ukristo ni upagani
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q Ай бұрын
😊Yan
@mamasiham9287
@mamasiham9287 Ай бұрын
Allhamdullilah
@ahmednasib8465
@ahmednasib8465 Ай бұрын
Walimu wanguvu
@Manuel-t4f
@Manuel-t4f 26 күн бұрын
Baraq twaawaombea
@Sal.0
@Sal.0 Ай бұрын
HAKUNA MTUME, aliye ruhusiwa kui ANDIKA Kitabu CHAKE. Therefore, kama huyo JOSUA, au huyo Mzungu EZRA, wali ANDIKA Vitabu, basi aliye TANGAZA hivyo, ni MRONGO! Na haka Ka Pastor kadonye, ya faa ambiwe ya kwamba, MITUME, HAWANA ruhusa yaku ANDIKA VITABU kwa ma tamanio yao binafsi! Biblia ndio iko na POROJO yaku suggest Mitume wana Andika Vitabu! WATUME WOTE, for example, kama Musa, Daud na ESA, WOTEE, wotee wali PEWA VITABU zao, na ALLAH! Na huyu Cameraman atuliye. Ana Focus juu ya Crowd, for Too long. Focus On the Mada, na kma kuna MTU anaye onywa na Ustad, basi fuatana! Kama hapo mwisho, wakati Ustad ali kuwa ana ongea na Pastor Kadonye kuhusu X MAS, cameraman ali kuwa ku ingine! TabarakAllah Team
@loner_wolf
@loner_wolf 29 күн бұрын
HUYO MBILIKIMO DAVID AKILI ZAKE ZA HOVYO SANA , ANAFANYA COMPARISON ZISIZO MAANA NA USHAHIDI HANA ..... SASA MUHAMMAD ATAJWE NA MALAIKA KAMA YESU .
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Ай бұрын
Assalamu Alaykum
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q Ай бұрын
Walyku msalaaaaam ndugu yangu
@alilim1958
@alilim1958 Ай бұрын
Waaleikum Salam warahmatullah wabarakatuh
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 29 күн бұрын
Moyo zinakutu maskio yanaskia nyoyo zinagiza audhu bi llah min
@jamaltv2953
@jamaltv2953 Ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahy wabarakatu
@alilim1958
@alilim1958 Ай бұрын
Waaleikum Salam warahmatullah wabarakatuh
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Ай бұрын
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu
@bashirmahero7021
@bashirmahero7021 Ай бұрын
Nmeigia lakini nmechelew
@salimdaawah123
@salimdaawah123 28 күн бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@254trends
@254trends 29 күн бұрын
The translation would literally be “That Book”. The reason Allah has used “That” instead of “This” is to imply its high and exalted stature, and also to imply that it has been sent down from the heavens, and is the speech of Allah, and not created, and not from this world.
@Sal.0
@Sal.0 28 күн бұрын
@@254trends That Verse, is inside the QURAN. Therefore, that Verse is talking about the QURAN itself Therefore the translation is 'THIS Book'.
@254trends
@254trends 27 күн бұрын
@Sal.0 this and that is the same the only difference is distance naweza sema this is my phone kama nimeshika na nikiweka kwa meza nasema that's my phone lakini simu ni ile ile tu hajabadilika
@Sal.0
@Sal.0 27 күн бұрын
@@254trends Ai, there is a BIG Difference between THIS and THAT, which your school should have taught! When the word'THIS' is used, it means that THE BOOK that is being read presently, has NO DOUBTS. i.e.The BOOK which is in your HAND. BUT, If you use 'THAT' then you are POINTING AWAY from the Book that is CURRENTLY being read out! In which case, your Listener will ask you WHICH BOOK are talking about?? And in Conjunction form: "That" can be used as a conjunction to introduce a subordinate clause, while you if use "this", then a subordinate cannot be inserted. Ai,...
@hassadube225
@hassadube225 Ай бұрын
Mash Allah
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,5 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 98 МЛН
Mwingine asilimu muhadhara wa kukuru kakara waendelea hoja za letwa kimeeleweka leo
1:02:23
Muhadhara aina yake kakara kukuru kimeeleweka mpe huyo
1:12:01
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 6 М.
MASWALI MEZANI ZIMEJIBIWA VIZURI NA MWALIMU ANWAR NA MWALIMU IDRISS
1:00:05
EASTLEIGH DAILY-DAWAH
Рет қаралды 2,6 М.
Rasta man aleta swali watu wakule majani sio nyama kivumbi kimeeleweka
1:02:06
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 3,4 М.
Kakara kukuru wajitokeza kwa wingi na kuuliza habari yawafikia inavyotakikana
1:23:11
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 18 М.
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,5 МЛН