KULAHIVI KWA AFYA,YAKO By THE VOICE OF PROPHECY CHOIR KASULU Kigoma Tz.

  Рет қаралды 60,021

THE VOICE OF PROPHECY

THE VOICE OF PROPHECY

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@rogerscylidion-oo3mw
@rogerscylidion-oo3mw 10 ай бұрын
I always be blessed by this choir. Your message will live everlastingly. May the Lord bless you and when you are blessed bless others
@eligiuscylidion3290
@eligiuscylidion3290 Жыл бұрын
Mbarikiwe saaana Wahubiri wa Mungu wa mbinguni
@thevoiceofprophecy7757
@thevoiceofprophecy7757 Жыл бұрын
Wapendwa mnaotufuatilia kutoka sehemu mbalimbali barikiweni kwaujumbe huo
@jele.mlimba-ni6ut
@jele.mlimba-ni6ut Жыл бұрын
Nimeongoka hapa kwa upande wa kumbikumbi,mimi nilijua siyo najisi kumbe hawaliwi,hii ni hatari Mungu anisamehe,japo mimi huwa sili lakini niliwaruhusu watoto wakala2023
@deogratiusbenedicto1754
@deogratiusbenedicto1754 Жыл бұрын
Amina!!! nabarikiwa sana na nyimbo zenu vop choir Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi.
@Mhinambasha-yh6oc
@Mhinambasha-yh6oc 8 ай бұрын
Mbarikiwe zaidi kwa kweli
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Жыл бұрын
Mko.vzr wimbo biti namavazi
@Asila-fb3gp
@Asila-fb3gp Жыл бұрын
Barikiw waimbanj wamung❤❤ tukosehem mbarimbar afrik
@thevoiceofprophecy7757
@thevoiceofprophecy7757 Жыл бұрын
ooh hukuhuko barikiweni
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 6 ай бұрын
Yesu awafiche.mbawani
@willygwaikana
@willygwaikana 7 ай бұрын
Hapa inaonekana kwamba wameiga uvaaji wa waislamu. Lakini ukitafakari vizuri utaona kuwa uvaaji huo na hasa walivyovaa wanawake ndivyo wanawake wakristo ilitakiwa wavae hivyo. Tatizo liko kwenye ufahamu kufikiri kuwa wakristo hawatakiwi kuvaa mavazi ya kujisitiri kuonyesha staha ya mwili wa mwanamke. Wngi wanawake hawajui kuwa hayo ni maagizo ya Mungu, maana wanasubiri hadi mchungaji au kanisa liwaambie. Soma Biblia kwa nafsi yako, jiponye mlimani, acheni kuaiga usichokijua. Hayo sio mavazi ya kiislamu, bali dini ya kiislamu iliiga mavazi waliyokuwa wanavaa wanawake wayahudi na wakristo wa mwanzo kabla ya kuja ukengeufu huu tunaouona. Mwanaume haimpasi kufunikwa Kichwa kwa mujibu wa Biblia
@EmmanuelKhaday-ut3uw
@EmmanuelKhaday-ut3uw 9 ай бұрын
Watu wanajua kuwa ni kosa lakini wanazidi kupuuza tu . Basi ujumbe anayechukua azidi kubarikiwa na mungu maana kila mtu atabeba mzigo
@mawadripatrick7653
@mawadripatrick7653 Жыл бұрын
Thank you God bless you for masseger
@divinahnyatichi5300
@divinahnyatichi5300 Жыл бұрын
Mimi nmebarikiwa sana kutoka Kenya..Mungu wa amani awatunze na azidi kuwapa nguvu.
@daudhenry7509
@daudhenry7509 6 ай бұрын
Amina voice of prophecy
@OraionSabibi
@OraionSabibi 8 ай бұрын
Someni matukio ya siku za mwisho e g white uk 75 toleo la 2002 TAP morogoro hivyo mlivyoimba vinaliwa kwa sasa havifai vyote mko nyuma ya ratiba ya Mungu hakika
@ndimangwanzota9188
@ndimangwanzota9188 Жыл бұрын
You are doing well be Blessed
@Kisiicountuwatvhdog
@Kisiicountuwatvhdog Жыл бұрын
Amina ujumbe mtamu
@samuelmuhindosivamwanza4988
@samuelmuhindosivamwanza4988 Жыл бұрын
AMINA AMINA. Kwa kweli watu wengi sana wanakula visivyo liwa. Sabato njema kwenu nyote.
@Badakao-vi9wo
@Badakao-vi9wo 11 ай бұрын
Ni kweli kabisa huo ndo mpango wa MUNGU WA ULAJI
@petertimothy7882
@petertimothy7882 Жыл бұрын
AMINAAAA😀 MUNGU WETU AENDELEE KUTUKUZWA ZAIDI KWA UWEPO WENU The Voice of Prophecy Choir🙋. Hakika nyimbo zenu kama huu wa vyakula sahihi n.k zinatubariki sana sana wanadamu. Mungu atuwezeshe tuje kuonana Mbinguni kwa FURAHA YA MILELE🙋
@Louez-l-ÉternelTV
@Louez-l-ÉternelTV Жыл бұрын
Amina !!! MUNGU awazidishiye hakili, nguvu; atuwejeshe kuendelea fundisha ulilwengu wote ndipo aje ! Nashukuru. 🙏🏻🙏🏻😍
@cosmas2740
@cosmas2740 Жыл бұрын
Wmbo mzuri, mmeiga waislamu kuvaa kofia,kumbukeni Musa alipokuwa mbele ya Mungu,alivua utaji, mmekengeuka.
@thevoiceofprophecy7757
@thevoiceofprophecy7757 Жыл бұрын
tunajifunza kufikisha ujumbe kila sehemu lakini hayo na mavazi yasikutoe kwenye neema ya yesu
@africanusadriano2441
@africanusadriano2441 5 ай бұрын
​@@thevoiceofprophecy7757nonsense
@joycemugaka3039
@joycemugaka3039 Жыл бұрын
Ameeni barikiwa waimbaji Kwa ujumbe mzuri kuusu vile mungu ali tuagiza kutunza agya zetu maama mwili wetu ni Hekalu takatifu
@lucasmabuli4786
@lucasmabuli4786 Жыл бұрын
Mbona mavazi ya kislamu?? But be blessed
@HyreneOsoro
@HyreneOsoro 11 ай бұрын
Baraka tele,I'm blessed with the message
@esterjuma-bw4lq
@esterjuma-bw4lq Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwanyimbo nzuri
@samwelgeofrey7612
@samwelgeofrey7612 11 ай бұрын
Barikiweni Sana vop
@oswaldkichwa3792
@oswaldkichwa3792 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe mnoooo,ujumbe mzuri kwa Afya ya akili
@leonardmunjalu910
@leonardmunjalu910 Жыл бұрын
HAKIKA MBARIKIWE KABISA. NAWAPENDA SANA. KUTOKA NCHINI KENYA.
@EliabuMnaku
@EliabuMnaku Жыл бұрын
Very nice
@kuruikelvin3471
@kuruikelvin3471 Жыл бұрын
Amina Amina Amina.....mbarikiwe sana Waimbaji
@daudhenry7509
@daudhenry7509 6 ай бұрын
Amina
@santuscosmas9019
@santuscosmas9019 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sanaaa!! Naipenda Sana hii kwaya, Mungu wa mbinguni azidi kuwatumiaaaaaa
@edwinbhetetse9685
@edwinbhetetse9685 Жыл бұрын
Bwana awatie nguvu. Amina.
@africanusadriano2441
@africanusadriano2441 5 ай бұрын
assalamualaikum
@ngomejamesalfred1031
@ngomejamesalfred1031 Жыл бұрын
Amen
@lameckelisha263
@lameckelisha263 Жыл бұрын
Barikiwa nawaona
@thevoiceofprophecy7757
@thevoiceofprophecy7757 Жыл бұрын
umetuona basi nawewe ubarikiwe
@sauud2some471
@sauud2some471 Жыл бұрын
Ameeen barikkiwen kwa kazi zuri 🙏🙏🙏❤❤❤
@samsonnyagwoko9744
@samsonnyagwoko9744 5 ай бұрын
Hapo Kwa mafuta sielewi please elaborate
@edwinbhetetse9685
@edwinbhetetse9685 Жыл бұрын
vop nawapenda sana hapa hii nayo nimepata songeni mbele kwa JINA LA YESU KRISTO. kwa kweli mko vizuri.
@Asila-fb3gp
@Asila-fb3gp Жыл бұрын
🇧🇮💯💓👌👌
@ruthwairimu9592
@ruthwairimu9592 Жыл бұрын
Wow sounds well arranged God bless you.
@Badakao-vi9wo
@Badakao-vi9wo 11 ай бұрын
pendeza
@fredychristopher636
@fredychristopher636 Жыл бұрын
Mbarikiwe Sanaa Mungu Azidi Kuwainua Zaidi🙌🙌
@thevoiceofprophecy7757
@thevoiceofprophecy7757 Жыл бұрын
fredy christopher tubarikiwe sote
@jacksoncharles6239
@jacksoncharles6239 Жыл бұрын
Kumbikumbi tena.😢
@thevoiceofprophecy7757
@thevoiceofprophecy7757 Жыл бұрын
ndiyo jifunze walawi 11;1-11
@Gwaro555
@Gwaro555 Жыл бұрын
This is the present truth msg now
@elizabethnyirato9856
@elizabethnyirato9856 Жыл бұрын
You killed it brethrens
@winnjoel712
@winnjoel712 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@albertmarshall4975
@albertmarshall4975 Жыл бұрын
Wonderful.. kindly someone give the meaning in English...
@truthlightmedia
@truthlightmedia Жыл бұрын
The song is about eating habits according to Leviticus 11... And they use the illustration from the way different works in the car. If you put water where oil is supposed to be put is wrong and otherwise
@mwaminihilary1929
@mwaminihilary1929 Жыл бұрын
balikiweni sana
@charlesibrahim2789
@charlesibrahim2789 Жыл бұрын
Mnanibariki saaana mwende mbalii
@charlesibrahim2789
@charlesibrahim2789 Жыл бұрын
🙏
@thevoiceofprophecy7757
@thevoiceofprophecy7757 Жыл бұрын
Charles ibrahim tumefurahishwa na ujumbe wako barikiwa
@charlesibrahim2789
@charlesibrahim2789 Жыл бұрын
Amen
@thevoiceofprophecy7757
@thevoiceofprophecy7757 Жыл бұрын
asante@@charlesibrahim2789
@charlesibrahim2789
@charlesibrahim2789 Жыл бұрын
Ok muwe na sabato njma
@jacobkizwili2318
@jacobkizwili2318 Жыл бұрын
Vop barikiweni saaana tunawaelewa saana hasakwajumbe zenu2
@philiprush7883
@philiprush7883 Жыл бұрын
Mbarikiwe vop nabarikiwa sana mulanteye amanuri nawamisi sana
@foibeshemayabibuka9769
@foibeshemayabibuka9769 Жыл бұрын
Amina
@jele.mlimba-ni6ut
@jele.mlimba-ni6ut Жыл бұрын
Amina
ROHO TATU ZAUCHAFU, BY THE VOICE OF PROPHECY CHOIR KASULU
5:34
THE VOICE OF PROPHECY
Рет қаралды 124 М.
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 22 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
KANISA LA MPINGA KRISTO   The Voice of Prophecy Choir, Kasulu, Kigoma
6:07
THE VOICE OF PROPHECY
Рет қаралды 53 М.
"Katika Njia" ANGAZA SINGERS - KISUMU "NEW ALBUM COMING SOON"
8:00
Angaza Singers - Kisumu
Рет қаралды 4,8 МЛН
Ay nyarugusu wakiwa Mbauda kwenye makambi.
5:25
MBAUDA SDA CHURCH
Рет қаралды 56 М.
Fahari ya Dunia   VOP CHOIR KASULU, KIGOMA
4:39
THE VOICE OF PROPHECY
Рет қаралды 257 М.
USIRUDI NYUMA(Official Video)  by  VOP CHOIR KASULU
6:08
THE VOICE OF PROPHECY
Рет қаралды 97 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 30 МЛН
POKEA SIFA - The Light Bearers
6:21
Tegemea Champanda
Рет қаралды 3,6 МЛН
KITINI PA ENZI by VOP CHOIR, KASULU
6:26
THE VOICE OF PROPHECY
Рет қаралды 311 М.
DUNIA BILA KUUZA WALA KUNUNUA, By VOP CHOIR KASULU SDA CHURCH
7:01
THE VOICE OF PROPHECY
Рет қаралды 51 М.
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 22 МЛН