Allah akupe umri mref shekh Kishki kwa sasa ni wachache sna mnaoitetea hii dini yetu
@SaidenvitaSaide-w3j2 ай бұрын
Nachukulu kuakunionecha jia ya hak Allha akuifadhi mala poema peponi Amina ❤❤❤
@kassimmohd2 ай бұрын
Hakika hupo kwa ajili ya maslah bali ni kutetea Uislam, Mungu akulinde Inshallah
@abdulnuruhassan86112 ай бұрын
Alhmdulillah Alhmdulillah Simba ulikua wapi hama kwakweli ninakufahamu hivi Simba kwa kukemea maovu ufumbi macho Allah akupe mwanga zaind shekh nurndn kishk NAMI ni Abdulnuru
@SaidiNgowo2 ай бұрын
Sheikh mwenyezi.mungu akulinde kila siku
@HakizimanaSalima-sg7cv2 ай бұрын
Subhannaallah Yaaa Allah Muifadhi mja wako kishk na maduwi wa dini Yako navi umbe wako Allahumma Ameen yaarabby 🤲🤲 tukubaliye dua zetu zadi ya maduwi wanao abiwa ukweli wana mjengea chuki Sheikh wetu mpendwa Nurdeen kshk Allah akuifadhi Ameen yaarabby 🤲🤲🤲
@MsMachcom29 күн бұрын
Namuomba ALLAH akuhifadhi shekhe nurdin kishki akuzidishie umri wenye afya na barka
@ahmedmiraji8772 ай бұрын
Sheikh kishhk nakupenda saana kwajili ya Allah, Allah hakuhifadhi. Sijui nakupataje unifundishie wanangu.
@BofuMlanzi2 ай бұрын
Mazingeee!!! njaaa inakupoteza. Hata Mwamposa akiingia ktk shimo la Mbulu kenge na wewe utaingia. Waislamu hatutakiwi tuwaige hao.
@nailaomar48102 ай бұрын
Huyu ndio shekh shahih anagombania din ya hakk muombeeni uhai watu kama Hawa wako kidogo wanosema hakk ❤
@samsonhamery38092 ай бұрын
Shekhe,Kishiki pambana Viongozi feki katika, Dini wana kundi kubwa,nyuma, yao,kuyapigania, matumboyao:Vita, hii,hata sisi Wakristo tunapambana,nayo,, tunauziwa,maji: sabuni,chumvi,na,mafuta' ya upako Keki,vyote hivi,eti ni,zaidi ya,Damu,ya,Kristo iliyomwagika, msalabani hizi,ni.siku,za mwisho wengi,watapotea, njia ya,kweli:
@MohammadNickodem2 ай бұрын
Mashallhaa
@Abdul-rn5zj2 ай бұрын
fact
@neemamwachepha2132 ай бұрын
Ma Shaa Allah Tabarakallah
@AminaKassim-ni9wd2 ай бұрын
Ukweli kabisa ndugu yangu tuungane kwapamoja tumuombee shekhe wetu Allah amlinde na shari zote maana yy ndio anaemiliki kila kitu na yy anapigania hakki yake
@AshrafuAbdu2 ай бұрын
Shekh Allah akujalie wewe na ust shafii mpo sawa hamjawah kukosea kwenye din yetu tunaitaj Sanaa
@Naju6452 ай бұрын
Tena wamekua machawa mashekhe wazima nahuyo shekhe wamkoa mzima chawa Shekhe kishk Allah akulinde kwakua mkweli usie endekeza njaa
@arafalawvu64012 ай бұрын
Allah akuhifadhi dua zangu nyingi za kheri zikufikie ya Kishki. Allah ajaze nuru makaburi ya wazee wako. Wametuacha nuru Alhamdulilah. Aamiin thumma Aamiin
@neemamwachepha2132 ай бұрын
ALLAHUMMA AAMIN
@HawaYahya-h8t2 ай бұрын
امين يارب العالمين
@Nabustore2 ай бұрын
Ameeen
@MariamuMkufya2 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekhe nakupenda Kwa ajili ya Allah
@hshsbsbs601Ай бұрын
Shekhe kishk allah akulinde akupe umlii mlefu inshallah 🤲
@MaryamKhawar-h3j2 ай бұрын
Mashaa llah shekh kishki allah akupe afya na umri mrefu uzid kutoa ilm kwakila mtu sio hao wenye kuwangiza watu kwenye shirk allah atuongoze
@ZamraniSuleiman2 ай бұрын
Sheikh wetu Kishk Mashaallah Allah akupe afya njema inshaallah na kwa wote pia
@Abdallahmohamed722 ай бұрын
Asante sheikh wetu kweli kabisa mungu akuifadhi daima
@JafariBilali-yw9qm2 ай бұрын
Maa shaa ALLAH shekh Kishki WALLAH nakupendah kwa ajili ya ALLAH. Nimependa unavyojenga hoja, tuwaombee dua ALLAH awaongoze ktk itikadi sahihi.
@omarmwabege2 ай бұрын
Nawe Allah akupende Kwa kumpenda kwaajili yake
@BibiNyalibongaАй бұрын
Allah akulinde shekhe akupe maish malefu na mazuli dunian na.akhela
@MohdMohd-fv1my2 ай бұрын
Sheikh Kishki Mazinge anasemaje kw hili....Endeleza kazi Allah ni wa kweli na atakulinda zaidi
@HassanSalim-hl8qs2 ай бұрын
Nakupenda sana kwa ajili ya Allah shekh kishki hukuacha kusimama na sisi tokea babu wa loliondo
@omarmwabege2 ай бұрын
Nawe Allah akupende Kwa kumpenda kwaajili yake
@YahayaGeorge2 ай бұрын
Wallah mazinge kanogewa ibirisi kamkaliaa koonii 😢😢😢tuombe sanaaa mwisho mwemah in sha allah
@mashaallahabuu11672 ай бұрын
Alhamdulillah,shukrani sana,elimu yako ni nzuri Alhamdulillah
@samirasaidi93062 ай бұрын
ALLAH mlinde shekhe kishk umpe umri mrefu umlinde na Shari za dunia aendelee kutufunza kuitambua haki katika dini yetu nakutetea haki nakutusisitiza kujifunza QURAN tukufu tuweze kujilinda shukrani shekhe kwa elim iliyo yahaki tuache kudanganywa.
@SultanSuleiman-qf7cx2 ай бұрын
SHEIKH ongea haki husiogope wanaokuhujumu wanahujumu Tawheed
@LabiloWabikongo2 ай бұрын
sheikhe mi nakupenda kwa ajili ya allah naomba kwa allah sw akujaliy maisha mema dunia na akhera isha llah
@aboubakarirakoze76112 ай бұрын
Asalam aleykum warahmatullahi Wabarakatuh Alhamdulillah Kiongozi anaongea na anaeleweka safi mungu akupe afya
@neemamwachepha2132 ай бұрын
Allah Akulinde Kwa Kila Maadui Sheikh Wangu
@MarwanBakhamis2 ай бұрын
Mashallah,,,tuko pamoja na wewe kwa akijili ya allah
@almindhir2 ай бұрын
ALLAH AKUPE MAISHA MAREFU ,,,, SHEIKH NURDIN KISHKI
@saidkhalid67452 ай бұрын
Yani mzee wetu,Alhabib Mazinge uliniangusha sanaaaa kwa hili.Ila sote wanadamu kawaida tunakosea
@HadjatZuzuZuleikha2 ай бұрын
Allah akuzidishiy ulimi wa Kuteteya haki ya dini yetu 🥹n'a Allah akuzidishiy mwishoo mwemaaaa
@ArafaSaalum2 ай бұрын
Maashaallah,Allah azidi kukulinda sheikh wetu,sheikh Kishk uzidi kutupa elimu na kutufungua vichwa Allah atuongoze na atuhifadhi .
Allah akuhifaz Ostaz akuepushe na kila aina ya shary za Dunia
@sakinahassani1455Ай бұрын
MashaAllah mashaAllah Allah akulipe kher
@rehemaabdallah93702 ай бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah shekh kishk Allah akuhifadhi
@ismailowino28662 ай бұрын
Hafidh ullah sheikh wetu.
@mariamebrahim3925Ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah... Allah akuhifadhi
@Kulwakisansa-zk5yg2 ай бұрын
Kidogo shekh nimeanza kukuelewa Naomba unisamehe shekh Siku ya kwanza kukuona live nilikufungulia geti KIGOMA nilipo kutazama usoni nikaona kama una kibri .ni dhana tu shekhe ukiona comment hii nakuomba msamaha kwani nilikudhania .
@rodneylamai28472 ай бұрын
Mimi Mkristo ila nimefurahia sana comment yako. Kifupi Sheikh anaonekana kumtegemea Mungu badala ya hivi viumbe vingine
@Kulwakisansa-zk5yg2 ай бұрын
@@rodneylamai2847 blessed 🙏🙏🙏🙏
@sitimwarakwe18302 ай бұрын
Inshallah Allah anijalie nije nkuone unipe Dua yko shk sheik❤
@Aisherhamis2 ай бұрын
Sheikh kishki mimi binafsi nakupenda kwa Ajili ya Allah naomba hata siku moja nikuone uso kwa uso
@AdamMwisimba2 ай бұрын
Shekh wangu nakukubali sana
@Oppo-t3s2x2 ай бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh wetu nakukubali sana 😊 waongea hakii kila siku
@MuhammadMuhammad-gr2qv2 ай бұрын
MAZINGE NDIE MWALIMU MKUBWA WA MATAPELI HUWAFUNDISHA HAWA VIJANA KUFANYA UTAPELI. ALIWAHI KUTUTAPELI WAISLAMU HUKU KENYA MWAKA WA 1995-1996. ALIKUA NA KITOTO KIMOJA WAKIKIITA SHEKHE SHARIFU WAKAONGEA URONGO NA UZUSHI MTUPU KUHUSU HUYO MTOTO WALIKUSANYA PESA NYINGI SANA KWA WAISLAM WAKENYA. LAKINI MWISHOE ALLAH ATAWAFEDHEHESHA WAKAKOSANA KIKUNDI CHAO CHA MIHADHARA BAADA YA KURUSHANA PESA. KIKUNDI KIKAVUNJIKA.. ALLAH ATAWAFEDHEHESHA TENA INSHA'ALLAH HAWA MADHWALIM MATAPELI WAKUBWA
@ayoubshaibu81232 ай бұрын
Upo sahih sheikh
@psiablacafrica26 күн бұрын
Sheikh Mungu akuzidishie neema
@BATULIMUSSA-j6w2 ай бұрын
Assalam alaykum warhmaatllah wabarktu....Naumia nionapo mashekh wanapishna wanagombna Allah atusmamie kwa kila hatua Inshallah Allah atuepushe na migogoro
@SalumMusafiri2 ай бұрын
Allah azidi kukupa umri na afya njema uzidi kutufundisha na kutuonesha tuwe mbali na ma sharife faki Allah azidi kuwa na we sheikh wetu
@ayshahassan55732 ай бұрын
Ma Shaa Allah Tabaraka Rahman. Allah akuhifaz Sheykh Kishki.
@matatamwaipopo-rp4vz2 ай бұрын
Tunakupenda sana Shekh wetu
@salimjumaa81802 ай бұрын
Masha Allah. Allah akupe umri mrefu zaidi Inn sha Allah
@shamidamnoya59812 ай бұрын
Wewe ndie shekhe usiependa dini yako ichafuliwe mungu akupe maisha marefu
@omarmwabege2 ай бұрын
Aaamin
@zuwwnaramadhan69412 ай бұрын
Amiin
@hajatihajati53572 ай бұрын
Asante shekhe maanake kama sisi wa kusilimishwa tumechanganyikishwa ki imani
@mohamedkhalifa57642 ай бұрын
Sheikh Kishki hawa Mwenyezi Mungu Aliwajua Ndio hakutoa hata Mtume Mmoja Aliwajua WANAFIKI Wakubwa hawapo kidini wapo Kinjaa tu wao
@leotena84562 ай бұрын
Kina nani Hao? Au unakusudia watu weusi?
@chawahirelmymashlalltaabar49492 ай бұрын
Nurdin kishki muombeeni dua ampe umri mrefu na afya njema
@omarmwabege2 ай бұрын
Aaamin
@ShamilaAbdul-n8b2 ай бұрын
Mashaallah shekhe langu, hapa ni mkono kwa mkono mpaka peponi.
@BigboyBigboy-oy3lj2 ай бұрын
Mashaallah sheikh wangu nnakukubali mwika mia Allah akupe umri mlufu
@twalibuchaye76872 ай бұрын
Allah akulinde na watu wabaya sheikh Nurdin kishki
@imani28702 ай бұрын
Nampenda sana sheikh kishki kwa ajili ya Allah sheikh wetu Allah Akupe kila la kheri
@AthumaniIbrahim-l4o2 ай бұрын
MASHAALLAH SHEIKH MUNGU AKULINDE MSEMA KWELI
@OthmanKibao2 ай бұрын
Allah akuhifadh sheikh kishki, muombee ndugu yako sheikh mazinge allah amsamehe na amwongoze
@MariamNasoro-v4f2 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu iliuzidi kutetea dini ya kiislam nakupenda kwa ajili ya allah❤
@Jamila-c7k2 ай бұрын
Wee ndio shekh Allah akujaalie umri mrefu❤
@DimaDaro-ts1kq2 ай бұрын
Sheikh nakuomba umwombee dua sheikh mazinge kea sababu amefanya kazi kubwa ya Allah amali yake ya mwisho isimharibikie
@msafirimaulidi50542 ай бұрын
Inaonekan alifany kwa maslai pia
@ahz69072 ай бұрын
@@msafirimaulidi5054na yeye ana familia...ale wapi?😂
@rukiamnzava71832 ай бұрын
Allah aendelee kukuongoza sheikh
@NasraShabani-f2n2 ай бұрын
Allah akuzidishie umri mwema kipenzi cha Allah
@WARDAMKILALU2 ай бұрын
Sheikh kishki allah azidi kukuongozaa na akulinde na husda nakupenda kwa ajili ya allah
@MuniraAlly-d2i2 ай бұрын
Mungu akulinde chehe kichiki nakupenda kupitikiza
@mahabaclassictwentyseven27mjeu2 ай бұрын
Allah akujalie afya njem na akuhifadhi hakik ww ndio sheikh
@IssaJuma-rk5qb2 ай бұрын
Shekh kishki mungu akujaalie maisha marefu
@nautharimakuka2 ай бұрын
Shekh wetu kipenzi Allah akuhifadhi dunian na akhera Ameen inshaallah
@TpPt-do5vg2 ай бұрын
Sheh tunakupenda Sana hupo vizur sio Hao mashetan wachafuz wadini
@BintAlly-k5r2 ай бұрын
Shukran kwa ukumbusho Allah akulipe kher
@MussageAiuba-k2b2 ай бұрын
Mkweli Sana Allah akulipe❤❤❤
@HawaKambi-c3q2 ай бұрын
Haki shehe wewe ni mtu sahihi na mungu akulinde na shari na akupe Nuru nahadhi zaidi ya hapo
@BintalliMbakuha2 ай бұрын
Allah akulinde sheikh wetu naakuzidishie imani
@AbdallahKondo-t1q2 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah shekh allah akulipe kheri
@PopoBawa-c1hАй бұрын
Tunafeli Sana wanao angalia watuwote wanatuangaliatu tunavyogombana anaemctili mwislamu mwenzake na Allah atamctili ckuyakiama tunafel wap kwann tucelekezane kimya kimya daaah 😭😭 sheikh kishki unapenda kujivimbisha uonekane unauchungu na din
@hawahassan8100Ай бұрын
Sub-hana llah mashekhe wetu sikuhizi ndo mmekua wakusengenyana hadi mimbar kwa nini msikae pamoja mkaelezana uislam unaelekea wapi?
@mamanofarai52582 ай бұрын
Allah akulinde ,kwa kutetea haki
@RahmaYusuph-y1mАй бұрын
Sheikh nakupenda kwa ajili ya allah
@KhanifaLly2 ай бұрын
Mwenyezi mungu akuhifadhi shekhe kishki
@RamadhanifundyАй бұрын
Sheikhe kishk dawa zako zuri asiye kuwa muislam bas siyo muelewa TU
@MohamedMwinyi-e1z2 ай бұрын
MashaAllah...Allah akuifadhi shekhe
@SifatyAlly2 ай бұрын
Allah akuhifazi kipenzi ❤❤
@HalimaStambuliАй бұрын
Asalam alaikum warahmathullah taal wabarakatu sheikh nakuombea Allah akulinde n shari ya kila kiumbe