KUMBE GEORGE MASATU KABLA HAJAENDA SIMBA ALITAKIWA NA YANGA MCHAPO WOTE HUU HAPA

  Рет қаралды 2,869

Mvula Sports

Mvula Sports

Күн бұрын

Mlinzi wa zamani wa kimataifa wa Tanzania George Masatu nasimulia mikasa mbalimbali iliyomkuta enzi zake akisakata kabumbu fuatilia makala hii

Пікірлер: 14
@emanuelchizumi
@emanuelchizumi 14 сағат бұрын
Beki bora wa muda wote Tanzania,Simba Nguvu Moja 💪💪🔥
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 17 сағат бұрын
George Magere Masatu moja ya beki bora wa muda wote aliewahi tokea Tanzania.
@mjunikiobya
@mjunikiobya 22 сағат бұрын
Interview nzuri sana. Nimefurahi ulivyumuuliza striker aliyekuwa akimkubali, hilo swali inabidi uliulize kila mchezaji utakayemhoji akutajie wachezaji watatu anaowakubali sana
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 сағат бұрын
😢eeee kumbe yanga walianza udhulumaji zamani
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 7 сағат бұрын
Masatu unyama mwingi nguvu 1
@Chemba67
@Chemba67 6 сағат бұрын
Maelezo yake yamejaa ufundi na umahiri ktk kazi yake kama beki, ni dhahiri alikua akijua anachokifanya kwa utashi wake binafsi kwa lugha inayoeleweka na wengi ni KIPAJI🤝🤝
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 сағат бұрын
Yanga NiwaZulumaji tokea zamani
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 сағат бұрын
Yanga niwazlumaji kuanzia zamani
@mohamedsalum3112
@mohamedsalum3112 6 сағат бұрын
George Magere Masatu
@bakanga1410
@bakanga1410 18 сағат бұрын
Acha unafiki tunamsikiliza anayehojiwa
@MedardAndrew-v3w
@MedardAndrew-v3w 17 сағат бұрын
George masatu wewe na hussein amani marsha nyinyi wawili mlipohamia tu simba na mimi ndo ilikuwa mwanzo wa kuiacha pamba na kuishabikia simba mpaka leo. Historia yangu kuwa shabiki wa simba ilianza na nyinyi wawili. Sijui hussein marsha kwa sasa yuko wapi!
@amoschacha2885
@amoschacha2885 7 сағат бұрын
Ilikuwa mwaka gan hio na masha yupo uingereza
@Ambagaye
@Ambagaye 7 сағат бұрын
Nilimpenda sana George Masatu wakati akiwa Pamba. Timu ile ilikuwa kiboko sana kwa timu zote za Tanzania zikienda Mwanza. Watu kama Rwemaho Mkami, Ibrahim Magongo, Fikiri Magoso na wengineo waliifanya Pamba kuwa tishiao sana. Sijui siku hizi George Masatu anafanya shughuli gani.
@tgeofrey
@tgeofrey 26 минут бұрын
Dominic Chulambo
Зу-зу Күлпаш 2. Дартс
41:09
ASTANATV Movie
Рет қаралды 379 М.
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 25 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 55 МЛН
ZANZIBAR YAFURIKA UJIO WA MUFTI MENK
8:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.
NIGERIA VS LIBYA AFCON QUALIFIER:MATCH HIGHLIGHT EXTENDED
10:01
victor modo
Рет қаралды 85 М.
DR.MWINYI AING'ARISHA MICHEWENI
8:32
OFISI YA RAIS IKULU PEMBA
Рет қаралды 3,8 М.
Зу-зу Күлпаш 2. Дартс
41:09
ASTANATV Movie
Рет қаралды 379 М.