Shukran sh.wetu Othman Allah akufanyie kheri katka maisha yako na aendelee kukupa umri mrefu tuendelee kujifunza kutoka kwako Hakka nimejifunza mengi sana kutoka kwako yaan mpaka natokwa na machoz kwa darasa hili la leo naumia sana najiona nilichelewa wap mm Allah atupe yalomema na atupe mwisho mwema
@amenaallahawazidishieumrin62353 жыл бұрын
Allahuma ameen yarabin allamin mola na wewe pia akuhifafh akubarikie na akusamehe wema wakukumbuke wabaya wakusahu mwenyezimungu azidi kuongoza kwa kila la khery Dunia na akhera akupe afya njema uzidi kutufundisha mengi. Allah ajalie yatoke kwenye moyo yaingie kwenye moyo
@okoamwili4146 Жыл бұрын
Alhamdulillah 🤲🤲🤲najifunza sana Kutoka kwako
@salumnuhu90663 жыл бұрын
Nashkur shekh kwa darsa lako alhamndu lilah umenielimisha sana sana Allah akulilipe kila la kheri
@ashalaurent47223 жыл бұрын
Wallahi nakupenda kwaajili ya allah kwa sabubu unafundisha bila kujali watasema nini baadhi ya watu unatuonyesha namna yakunyenyekea allah akuepushe na hasdi na akupe umri wenye faidha Amina
@zaliafakilavire56893 жыл бұрын
Mashaallah tabbarrakallah wallah sheikh othumani unafanya kz kubwa sana ya kuielimisha jamii shukrn sana allah azidi kukupa tawfiq ili uzidi kutuelimisha nitayafanyia kz na inshaallah biidhinillah Allah atajibu dua zetu🤲🤲🤲
@hashorajuma8132 жыл бұрын
Ameen
@kanyanadjalia51283 жыл бұрын
allah akupe umri murefu ili uzidi kutuelekeza kwa allah
@AllyMpemba-r7eАй бұрын
Shee mola Akuweke
@ashanibigira58982 жыл бұрын
Masha Allah Allah akulipe kila laheri kwaku tupa elimu nafimbo yambali!!!!!!!!
@neemahamisi5220 Жыл бұрын
Naomba Dua shekh othumani
@salmalita64834 жыл бұрын
MashaAllah sheikh Mola akujaalie umri utujuze mengi NAKUPENDA KWA AJIL YA ALLAH.
@eshajuma38054 жыл бұрын
Ameen ya rabbi
@AllyMpemba-r7eАй бұрын
Mashaahwa
@faizunmohd98394 жыл бұрын
Allah akupe kheri na barka akulinde yarabil
@YaseenAdam-q3r4 ай бұрын
❤mashallah
@zulfahango98403 жыл бұрын
Jazaka llahu khayr
@khadeejaabdullah70834 жыл бұрын
MashaAllah Shukran kwa ukumbusho Allah akujalie kila la kher
@ashooraashoora11804 жыл бұрын
Jazzakumllah Khery Hakika tunaelimika Allaha akupe afya njema yarabiy
@husnashaibu63124 жыл бұрын
ماشاءالله ماشاءالله تبارك الرحمن شكرا جزيلا ❤❤❤❤
@aishamaimuna13664 жыл бұрын
Alhamdulilahi rabbil alamin mungu akulipe mazuri inshaallah nawe ufurahie amiin
@ummurayaan49754 жыл бұрын
MashàaAllah mungu akuhifidi fi dunya Wal akhira
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul.shukran jazaakaah kheir sheikh wetu kwa mafunzo. Allah atujaalie tuwe ni wenye kusikia na kufata💗💗💗
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Subhanallah yarabi tufanyie wepesi ktk Mambo yetu sisi waja wako yaa allah
Shukran jazilah sheikh wetu kwa elmu yenye manufaa. Allah akuzidishie na akufunike na rehmazake.
@ummurayaan49754 жыл бұрын
Jazakaalahu qeyr
@saeedsaeed73814 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh great lecture BarakAllah feek
@mariamually95024 жыл бұрын
Masha Allah
@neemahamisi5220 Жыл бұрын
Mashaallah shekh othuman mola akuzidishie umri halafu shekh naomba unisome dua
@nurhatjuma74452 жыл бұрын
Masha Allah
@a.8564 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@aishaabdullah2334 жыл бұрын
Masha Allah , Allah akuzidishie elmu amiin. Leo sheikh wetu umetufundisha hasa kwa sabubu sometimes tunaomba lkn hatujuwi hata namna ya kusema alhamdullillah tunakushukuru na tunakushukuru Allah kwa kukuneemesha ww na kutufaidisha cc.
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
aleyhi sallallahu
@sharifaabdullah68254 жыл бұрын
Shukran jazilla shekhe wetu
@maryammaryam57894 жыл бұрын
Mashallah shukran shekh
@asmaasmi90194 жыл бұрын
MashAllah tabaraka rahman jazaaqa Allah kher Sheikh Othman
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
Marhallah marhallah
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Jazzakallahu kher shekh
@samiasadiki29284 жыл бұрын
Mashaallah,kunajambo umeniongezea na nimejifunza.
@zainabmaulidi98464 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@salhaoman50024 жыл бұрын
Ya Allah nipe faraja yakko inshallah
@mdalasinihabibu21392 жыл бұрын
Mashalah
@bintybaker84023 жыл бұрын
Shukran jazaka Allahulkheir.
@mzeeyahya25164 жыл бұрын
Mashaallah, maneno mazito..
@sakinamohamedy75064 жыл бұрын
Rabbi bi manzalta ilayha min khayr fakiir sijui ndo hvyo
@BurudaniOfficialTz4 жыл бұрын
Rabbi inniii limaa anzalta ilaiya min khayrin faqiir...
@didatratranee25314 жыл бұрын
Allah akulipe kwa unayotusaidia
@faizunmohd98394 жыл бұрын
Shukran jazakallah kheri
@zohoraramadan45404 жыл бұрын
Kinyaturu si ndio wamekujengea nyumba yako😂😂😂😂usitusahau
@jasminyiddysulaiman98074 жыл бұрын
Maashallah tabaraqallah
@musitemusite43163 жыл бұрын
Maashaallah
@musitemusite43163 жыл бұрын
Laakaa ngapi
@saumuseif91894 жыл бұрын
Shukran sana
@fatumaali86014 жыл бұрын
Baraka Allah feek
@aliidrisahmad28123 жыл бұрын
Salman khan
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi shekh Othman Michael
@princesjackiee48993 жыл бұрын
Sheikh....Mimi nlisilimu juzi....naomba mafundisho zaidi
@suweidkhamis722 Жыл бұрын
Tafta waalimu karibu yako
@aliidrisahmad28123 жыл бұрын
Assalam aleikum
@bazilassey12274 жыл бұрын
mashaa allah
@aliidrisahmad28123 жыл бұрын
Ali
@aliidrisahmad28123 жыл бұрын
Ali
@aliidrisahmad28123 жыл бұрын
Assalam aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh
@aliidrisahmad28123 жыл бұрын
Ali
@safinakibari8772 жыл бұрын
MaashaAllah. Shukran Allah akuhifadhi.naomba shekhe uniandikie dua hii.ili nihifadhi
@isumailyyusuph82444 жыл бұрын
Asalam alykum sheikhe Wang samahan mm Nina tatizo la mbegu za kiume nikifanya jimai mbegu za kiume hutoka hali yakuwa zime kufa nilipima hospital wakaniambia hivo sasa naomba nisaidie nitumie Dawa gan au zaif lijinsia itanisaidia naomba jibu
@africa74794 жыл бұрын
Wakati unamsubri shekh akujibu kama umeoa na lengo ni ili upate mtoto, fanya istigifar kwa sana hata kwasiku mara 1000 ,Una umuombe Allah hakika utaona maajabu.pia tafuta dua aliyoomba nabii zakaria, ingia google andiaka dua ya nabii zakaria utaipata, Muamin Allah akitaka atakupa ,ila uwe na mke wa halali sasa na umuombe akupe mtoto mwema
@ashooraashoora11804 жыл бұрын
Waalaykum salaam warahmatullah taalawabarakatuh ndugu yangu chukua nambaa zake zinazotembea hapo umpigie moja kwa moja uongee nae comments anaweza asiione
@athmanmichael60354 жыл бұрын
W salaam põlesana njoochuadawa dhooful itakusaidia
@isumailyyusuph82444 жыл бұрын
Ansante sheikhe
@abdallahismael39934 жыл бұрын
Istigfar 1000 kila siku 30 days . Mshekhe wanasema mwezi mzima wa istigfar alf majibu chunga aspate wanne kwa mpigo iwe balaa tena chunga istigfar usilete mchezo apa anza Leo , hujaskia kisa !!kama chako kipo na baada ya ya istigfar ilkua balaaa manake mkee alipata 6 kwampigo kule misri