That's why uliona Jana mtume akiwatembelea hakuongea na mama shifuna.hata mtume hana Imani na mama shifuna.
@Mamajona-f1z25 күн бұрын
Kabisaa kumbe uliona pia
@Valary-mx7bh25 күн бұрын
Ndio maana mama shifuna alikuwa akimpinga mtume akiogea kumbe anajua kila kitu kuhusu mama raf
@abdullahalanazi271425 күн бұрын
Raff umeanza kua kiherehere huwa unatii watume umeanza maswali ya nini siungoje kwanza amalize kuongea ndio umuulize maswali
@FaridaKahindi25 күн бұрын
Amin Raf hii Rashi itakuondokea katika jina layesu kristo
@CarolKemei25 күн бұрын
Sarah ataki wambate mamake Raf juu watatoka Siri zake..alafu anataka Raf akuwe wake
@susanmetrine966025 күн бұрын
Mungu mlinde mama raff huyu mama Sarah ata kama ameokoka lakini simuoni vizuri
@MoureenGesare-u7j25 күн бұрын
Huyu sada sarah amenibore tangu jana sana aki hataki Raff aone mamake na yeye Ashabata familia yake yote kupitia Raff😢😢😢why hataki surely???
@naseeralbishi472625 күн бұрын
Ety kwann sasa
@Zeinab-zk7be25 күн бұрын
Mimi nilijua huyu mama shifuna simuoni vizur mm Aki kuhus mamke RAF huyu ndo chanzo walah Ila Mungu akuongoze RAF upate mamko
@Mamajona-f1z25 күн бұрын
Hata mm nilimshuku jana mbna alikuwa anabishana akisikia mambo na mama Raff,iliniudhi sana
@Zeinab-zk7be25 күн бұрын
@Mamajona-f1z yeah uliona mm niliskia vibay San ata mtume akasema Tulia wew mbona hunisikilizi
@evelinemose995925 күн бұрын
Mama shifuna anajua wats going on about mama Raff.
@MuthamaMacelina25 күн бұрын
RAF trust in God kila kitu Mungu atakiweka wazi
@fancychepkemoi943025 күн бұрын
Raff changisha pesa please ingia live tukusaidie
@judithmelvinealuchio896825 күн бұрын
nipee huyo mama munono mupumbavu nimuombee ndio tujuwe kama kweli ka badilika la sivyo alishaaonja hela mingu za giza mukizubaa atarudi kule na atawatesa proper God a bave all
@victoriambithe247625 күн бұрын
Aki my bro Raff umeteseka vya kutosha. U r going to get ur mum soon in Jesus Name. Aki machozi inanitoka tu.....
@catherinekituvi465625 күн бұрын
Raff kuwa careful mama shifuna atakugeuka
@christineasinga872125 күн бұрын
Raff changisha pesa utafute mamako weka dada sarah kando pray pray
@sarahngige158925 күн бұрын
Akimuacha atakapochukua mamake watarundi kuchukua mama sifuna na hawatasaidika. Anaogopa kwenda huko achukuliwe tena
@Zipporah-x1i25 күн бұрын
Haezi acha Raff behind. Lazima waende pamoja. Mungu hupenda Raff. Si dada Sarah apewe viboko ndio anjue ni nani anaongelesha.
@conniekerubo832525 күн бұрын
Aliambiwa lazima aende na wao sara na msichana wake
@esperanceharimenshi418125 күн бұрын
Kutafuta shifuna alikuwa anasisitiza mumutafute lakini kwa mama Raff eti hataenda,Raff please chunga mama shifuna vizuri hajaokoka
@RachealWanjiku-d8b25 күн бұрын
Imagine raff alijitolea kwa Hali na mali kutafta mtoto wake
@AgnesKamau-h6j25 күн бұрын
Sikia anakatisa mtume wakati mlikua mkitafuta sifuna mlikua na pesa ? Kama mkitafuta ngari mlikua na pesa siku hio si watu walichangisa mkiwa kwa ngari.ukisikia mama raff anatafutwa unaleta kujua
@NellyBetty-pb2bp25 күн бұрын
aaah dada Sarah pia amezidi😂😂😂😂😂😂😂
@monicahnjoroge507525 күн бұрын
Warai dada Sarah anafanya vibaya kukoza kumwabiya raff navire amesimama na yy kutafuta shifuna😢😢😢😢😢
@ZinabAlzinab25 күн бұрын
Mama shifuna kuna kitu amefanyi mama raf ndio maana hataki anaona raf atajua kila kitu
@FaithMutheu-m1g25 күн бұрын
Raf si wa akina dada sarah maybe walimuiba na sara anamjua sura
@nancymoraa649125 күн бұрын
Mm jana mtume akiongea vile mama Sarah alikua roho yake inakataa kutafuta mama raf
@teedullah570825 күн бұрын
Pole Sana raff mungu atakuwezesha
@ChinyavuNyiro25 күн бұрын
Hii mission ya kina raff aki imefichua mambo mingi ,may the almighty God continue protecting raffu'sfamilly
@abdullahalanazi271425 күн бұрын
Mama Shifuna anajua penye mum wa Raff ako juu Mtume Aziz alimwambia amueleze Raff mamake ni nani akachapa Raff
@carendeborah568725 күн бұрын
Si yeye tu mmoja ndo alienda akachukua mama raff kwao vile mtume azizi alituma raff kwenda kuokoa shosh yake(mama Azizi)Huyu mama eric ndo alitumanisha mtu kuchukua mamake raff..
@Mohabmts25 күн бұрын
Anajua Mtume Azizi alisema last two years aliuza mamaRaff na amefungiwa hadi walikuwa wamwendee lakini wakawa na missions nyingi ikiwemo kuokoa nyanyake Raff😢
@2ndlast53924 күн бұрын
Sasa nyinyi wawili kusikiza mtume imekuwa ngumu sana,napenda vile team Riaga usikiza watume.
@2ndlast53924 күн бұрын
Dada sarah hajawai punguza kiherehere,anyamazagi
@lilianmbeyu25 күн бұрын
imagine venye alisaidiwa na Raff mpaka akapata pia shifuna,mbona sarah hataki kutajiwa mama Raff
@SaidaAwour25 күн бұрын
Mm nashangaa mbona hataki
@Judithmacheso25 күн бұрын
Ni venye anaogopa kurudi uko
@naseeralbishi472625 күн бұрын
Hua hataki sijui mbona
@susanmetrine966025 күн бұрын
@@lilianmbeyu maybe kuna kitu anafija
@wilykisternasimiyu764325 күн бұрын
Huyu Bado anataka KUNYONYESHA babu tale 😂😂
@ggfwtgg165225 күн бұрын
Hhhhh kwel
@wilykisternasimiyu764325 күн бұрын
@ggfwtgg1652 😂😂😂
@denahtingwe25 күн бұрын
😂😂😂
@annahlivingstone783425 күн бұрын
Na vile alikua amekwamilia kwa nyonyo 😂😂
@wilykisternasimiyu764324 күн бұрын
@annahlivingstone7834 🤣🤣🤣🤣, yeye mwenyewe haamini alichokipitia
@salminasalim563025 күн бұрын
Huyu Mama Shifuna is behind that ndio maana hataki kwenda tu. Mbona Raff alisaidia kutafuta Shifuna mapaka akampata mama Shifuna anajifanya ameokoka hajaokoka ana dhihirisha kuwa sio mwokovu.
@maggieshi69025 күн бұрын
Mama Sarah acha kufanya kaxi ikuwe ngumu wewe ulisaidika ukapata shifuna mbona hutaki raff apate mamake aaaiii Unafaa ujue pia wewe ulisaidiwa na Hawa mitume usiwembishi as long as ni mtume wa mwenyezi Mungu have faith saidia wengi watoke huko ulitoka
@priscillamakena388425 күн бұрын
Maybe alipeanwa kama sacrifice kwa nguvu za giza.....i fear her even if she got saved she chopped off kids head's without mercy
@AdrineTwongirwe25 күн бұрын
Weee you have talked it even me now i fear her
@sara-fx3wp25 күн бұрын
Huyu mama shivuna alijua nyota ya raff ndoo maana aliharibu mamake so huyu mtume n mkali amlaanishe vizuri na viboko
@Gracekarimimwonja25 күн бұрын
Yani Dad Sarah alikuwa tu haja na mtoto wake.. Sooo painful aonyeshe Raff mamake
@blessedone315625 күн бұрын
Huwa nasikia youtube inalipa vizuri Raff.vile hizi video zinatrend haitoshi ulipe nyumba na food surely even if ni single room.ama mumezoea kuonekana masikini ndio mzaidiwe😢
@adelaidemary551425 күн бұрын
Mama sarah wacha mchezo,Raff haezi kuokoa ww na mtoto wako then mamake aendelee kuteseka,kama ww ni mama mzuri mbona wakati wa kuokoa shifuna hungesema mama raff yuko mahali,na ulijua anaeza uliwa juu ww ushatoka huko, funguka roho eleza kila kitu
@Zuuh10725 күн бұрын
Ndo hapo sasa huyu mama anaboo sasa Raff kajitahidi kawaokoa sasa yeye hataki kusaidia Raff mamaake mbona anakuwa hivyo 😢😢😢😢😢😢
@KamikaziSalma25 күн бұрын
Da Sarah sikizeni vyenye mnaambiwa wakimuuwa mama Raf mtateketea familia nzima mtakufa nyote.
Dada Sarah, Raff amekusaidia Wewe na pia kupata msichana wako. It's your turn now to help Raff to get her Beloved Mother.. Please.
@maulnejumba112825 күн бұрын
Huyu mama ako na hidden agenda
@teedullah570825 күн бұрын
Nenda raff mtamkuta mamako huko mungu atawasimaiya
@MariamNakoa25 күн бұрын
Sara after raff kukusaidia unataka kumuacha eee kweli wanadama nivigeugeu
@254frida25 күн бұрын
Wenye wanasema mama Sara ameoka na umuoni vizuri sio poa dada Sara ameokoka full full ni vile hizi alifanya kabla apate mungu
@MaryanneAmaizing25 күн бұрын
Maybe mama shifuna aliuzia nganga Mama Eric mama shifuna aseme ukweli anajua kitu.
@denahtingwe25 күн бұрын
Akisikia mama raff anarukwa kichwa lkn wakitafuta shifuna alkua ananyenyekea ad kuja zinazikunja😂
@solomonimani21225 күн бұрын
Msamehe Sarah, kwa kua imekua vingumu kwake kumwambia Raf ukweli hila alijiukumu kwa kosa hilo. Mama shifuna ambaye ni Sarah kwa sasa alimkabithi mama Raf pamoja mtoto wake kwa mababu kama sacrifice. Rohoni mwake kila saa hujukumika sana hila alikua na ungumu wa kumwambia Raf wapi mamaye aliko. Lkn naomba kwa ajili ya mitume tumusamehe tumwombea jinsi alivyo sema mtume✋
@aboudijaaboudija25 күн бұрын
atasamehewa na ndo maana Mungu alisabisha aokoke ili mitume wajitokeze kusema ukweli so hayo yote ni mipango ya Mungu tunajua mama shifuna alikua akifanya si kwakupenda bali mapepo
@VyetteGorrety25 күн бұрын
Funga bakuli Sara we ni ngombe tupu, ambia Raff penye mamake yupo in nyamza
@ReemaM-i5t25 күн бұрын
Raff pole unapitia magumi ak woooooi 😢😢 pole sana
@SaumuhamisiHamisi-w9r25 күн бұрын
raff kuna kitu huyu mama shifuna anakuficha lkn kuna ukweli mungu atakujulisha
@charitywangeci484625 күн бұрын
Huyu dada Sarah knows everything bt mungu yupo let's wait
@Sarah-iw6cg25 күн бұрын
Uyu mitume n baba raff believe me or not...Raf skiza mtume na dada sara awache kuongea mingi juu ataki UPATE mamako mzazi
@SaidaAwour25 күн бұрын
Dada Sara hataki kusaidia raff apate mmke😢
@Sarah-iw6cg25 күн бұрын
@SaidaAwour anajua what happened to mama raff to be there koz ata raff ajawai onamamake
@SaidaAwour25 күн бұрын
@Sarah-iw6cg kabisaa
@naseeralbishi472625 күн бұрын
Mbona huyi mama hataki raf apate mamake mbona bado ako gizani ama
@KhanKhan-j4x6d25 күн бұрын
Nikama sarah bado ajaokoka za true
@ZinabAlzinab25 күн бұрын
Raf mama shifuna anakuzuga usipate mama yako yeye aliganyia mama yako kt mbaya
@بارتشيبارتشي25 күн бұрын
Dada Sarah bado roho yake ningumu sana haja fungwa roho yake. Na yeye ndiye alipeyana mama raff kwa wachawi,??tunaitisha strock tutoka mbinguni achapwe fire fire fire fire 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@CyphroseRobert25 күн бұрын
Dada Sarah kuwa mkweli kwa Raff,wewe ulisaidiwa na binti yako.
@KamikaziSalma25 күн бұрын
Dada Sarah anavituko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@anafrank760125 күн бұрын
Kwanini wewe mama kila wakati unaongea na uwezi kusikia,ndio ujihulize maswali,mbadaye,ata mtu ujipanya mjinga na anakimia,please jifuze kupunga mdomo na siikila wakati uko juu
@PhilesOngono25 күн бұрын
Huyu mama hajatoka kwa uganga kabisa na raff be careful hasikuwe hako mission Kwanza usiku alinikasirisha hakisikia mama raff akitajwa anajifanya kichwa ngumu
@hffalkurbi381225 күн бұрын
Raf wacha kumbishana na mtume, siku hizi umekuwa aje surely
@Zuuh10725 күн бұрын
Kwan mama shifuna uko na nia gan jaman kwani ukiwa na ukweli utapungukiwa nn eleza Raff mamaake ukweli ama unataka uwe we ndo mzazi wa Raff og nakat Raff yuko na mamaake 😢😢😢
@PhaustineNamasake25 күн бұрын
Mbona uyu dada ataki kuskiza mtume
@hffalkurbi381225 күн бұрын
Raf sikiza mtume, enda tafuta mamako plz
@SaidaAwour25 күн бұрын
Uyu mama hataki 2:48 kusaidia raff akiqnza mambo. N mmke qnaruka io story
@khadijah129025 күн бұрын
Ni wengi tuna muona kuna kuokaka ya mdomo na kuna kuokoka ya kiroho na ukiikosa uwezi kuwa mkweli kwa maisha yako na hata kwa wezako
@MaryNjeri-p4n25 күн бұрын
Sarah from the day ulikubali kumtumikia mungu be strong and listen to him tena it's seems uko na hidden secrets bado
@mosetyjoseph887725 күн бұрын
This woman knows everything about family ya Raff
@damarisnjerunjeru39925 күн бұрын
Huu mdomo wa huyu mama,,ako na full information ya mama Raff...ata ana bore
@Scholasticamuiu25 күн бұрын
Ety alimnunulia njugu akajipata kwa ushirikina weh 😅😅
@Dornesh-cp5wj25 күн бұрын
Huyu mama knows a lot... Cos in the house she told Raff achana na mambo ya mama yako utamtafuta baadaye
@lucykurii806925 күн бұрын
Mama sifuna nkma aliokoka dio apate sifuna but mbona hataki kuongea ukweli
@ReemaM-i5t25 күн бұрын
Huyu mama shifunaa mbona hataki rafu ataje mamaake huyu anajua ukwel lkn wajfanya toa mamake rafuu huko nambona ukitaja mamaako mama shifunaa ansema unamukasirisha niatoe mamako huyo😢😢😢
@JacklineNyabokeOsiango25 күн бұрын
😮bona ataki kuogeleshwa ,kwa eric alieda wp,
@CarolyneAdeka-r1b25 күн бұрын
Dada Sarah after kupata Abigail imani ikaisha
@MillyShito25 күн бұрын
Dada Sarah anataka kiboko dio asikilize
@teedullah570825 күн бұрын
Mama shifuna wani wacha hoi ATI alinipa njugu
@MilaKavwai25 күн бұрын
Waah 😢mungu awasaidie aki hii ni mateso aki😢
@AgnesKamau-h6j25 күн бұрын
Sasa mitume amesema kweli mama sera anajua
@felistajilala363025 күн бұрын
😢😢😢huyu dada Sarah kauli yake sio mzur anajua kila kitu naona yupo kumsaliti Raffu kwann alitaka aabiwe ucku kua mgaga anapigana na mtume ili awajuilishe apewe njia nyingine ya kumwagamiza lafu
@NaomiWaweru-r5k25 күн бұрын
Aki nahurumia raff mungu amusaidie
@LizaLee-d8h25 күн бұрын
Ndo maana mtume alikuwabia kaaa karibu na shifuna coz uyu mamake knows everything and aneza rudia iyo kazi amtowe uyo mtoto for rituals
@faithndunda721425 күн бұрын
Nauliza kwani zile pesa mama shifuna alikua anajidai nazo zilienda wapi coz alienda kukaa kwa raff. Najua unajua pahali mamake raff yuko na kama sikosei wewe ndiye ulimpeana. Sasa coa uliokoka ni vizuri usaidie raff kumpata mamake
@ggfwtgg165225 күн бұрын
Mbona mma Sarah anabisha anajua mahali mma yako yupo anajifanya mutu wamungu kwa sasa 😅😅😅
@loseeal344025 күн бұрын
Dadasarah inafaa viboko moto mtoto atulie😂😂
@shinehusnah657225 күн бұрын
Kama nihivo amalizwe huyu mamaa juu sasa alikombolewa nabado anahangaisha raff nakila kitu anajua inaonekana anachunguza raff alafu arudi huko alikua ..mim namuonea 18 ,raff kaa radaa simuoni vizur huyu Dada Sarah wallh
@annmwikali543925 күн бұрын
Mbona mnapea mtume hard time n amekuja kuwasaidia...
@MichelTresor25 күн бұрын
Uyu mama shifuna haja okoka, iko Na mambo mengi alifanya mwaile ushirikina yake,
@josephinekwamboka206525 күн бұрын
Huyu ni bwana ya shifuna amekuja na mwili tofauti
@maggieshi69025 күн бұрын
Raff sikiza Kwa makini uelewe Kila kitu
@peterkiprotich277525 күн бұрын
Ama mama shifuna ndo mamako?
@carendeborah568725 күн бұрын
ni Aunty😂😂
@SophiaMalemba25 күн бұрын
Mtoto wa dadake Bado ni mtoto wake
@shinehusnah657225 күн бұрын
Raff acha kutembea nahuyu aunt yako juu sai nishanza kumushuku mbona hataki mamako apatikane😢😢😢mbona haimuumi atii najua ww ni mtoto wa dadangu fulkstop,so hutaki apate mamake raff raff kaa rada
@gozakoth846625 күн бұрын
Raf wachavkusumbua huyu mama ataki ujue mamako pengine mamako alifanyia makubwa ataki ujue
@joycemuthoni600925 күн бұрын
Raaaaaaaf Kwani ukuona hio video ya mama ko kukatwa shingo juu unashangaa