KUMBE NEMES ALIACHA MTOTO URUSI, RAFIKI YAKE AFICHUA YOTE - ''HAJAWAHI KUTAMANI JESHI''...

  Рет қаралды 23,166

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ Жыл бұрын
Poleni sana Kwa kumpoteza mpendwa wenu ila mwamba Kafa kishujaa
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Dahhh,,, Allah amhifadhi mtanzania mwenzetu,, Swali la huko inamana hospital ya urus hawakumpa huduma stahiki ili mwili usiharibike ??? Maana kijana kasema ulikua hali mbaya , dawa walizokua wametumia hazikua zikifanya kazi ??? Kuna maswali ila yote kwa yote mungu ndie ajuaye kesho yetu wapi tufie na tuzikiwe wapi
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 2 жыл бұрын
Let him rest in Peace...May God Save his Soul
@erickzephania1030
@erickzephania1030 2 жыл бұрын
Muafrika aliyekufa kwenye vita ya wazungu kwa wazungu. Rip
@einothsumayani2478
@einothsumayani2478 Жыл бұрын
Mungu amlaze mahala pema
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын
Nemes ni shujaa apumzike kwa amani 😭😭😭
@sultanmikoi
@sultanmikoi Жыл бұрын
Rip
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Warus walipe ela
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Жыл бұрын
Kikubwa apumzike kwa amani! Tumuache kumuongelea
@jamessiame5169
@jamessiame5169 Жыл бұрын
Warusi watu wabaya sana
@johnyusuph3221
@johnyusuph3221 2 жыл бұрын
Kwahyo tufanyeje?
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Imetosha .mnafukunyua sn
@wambigeorge376
@wambigeorge376 Жыл бұрын
Uyo mwenyewe ni usalama
@winnmwasele4416
@winnmwasele4416 Жыл бұрын
Kwel
@emanuelchrisant8221
@emanuelchrisant8221 Жыл бұрын
Kumbe alipigwa bomu Hawa Wa Ukreini ni mashetani ila Mrusi atatulipia kisasi.
@tom4dj
@tom4dj Жыл бұрын
Utakua kichaa wewe,yani watu wawavamie then wakuache tu,alikua kwenye kikundi cha ujambazi period
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Жыл бұрын
Kweli hujitambui. We hujui mrusi ndio mgomvi kamuingilia m Ukraine? Kwa hiyo ulitaka Ukraine waangalie tu wanashambuliwa.?
@mohamedyally58
@mohamedyally58 Жыл бұрын
Kwani ye kweny hiyo vita hajauwa mtu Ata mmoja
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Mrusi akulipie anakujua?
@tom4dj
@tom4dj Жыл бұрын
Warusi ndo wakulaumiwa kwa kifo cha Nemes na si Ukraine,Mrusi kavamia Ukraine mwenye makosa ni nani? Ukraine wanajilinda na uvamizi wa majangili kutoka urusi
@thehunter5920
@thehunter5920 Жыл бұрын
Sasa kafa toka mwezi wa kumi mwaka jana,ndiyo kaja kugundulika mwezi wa kwanza mwaka 2023, muda wote mbona hawakusema?
@ЮрійДашковський
@ЮрійДашковський Жыл бұрын
Угольок взяв участь у загарбницькій війні тому здох законно , надіюсь в пеклі йому спокою не буде
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Familia ya kijana aliyefariki akiipigania Urusi yazungumza
1:17
BBC News Swahili
Рет қаралды 2,2 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
1:54:07