KUMBUKUMBU ZENYE MAUMIVU 😥😥

  Рет қаралды 32,199

SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix

2 жыл бұрын

Пікірлер: 52
@esthermibaleo1900
@esthermibaleo1900 Жыл бұрын
Shurani sana uncle J.Nahamini kuwa nime jifunza vitu vingi sana kupitia simulizi iyi.
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 2 жыл бұрын
Inaumizaa hakii lkn do ukweli wa maishaa yetu binadam rip uki na wanao daah
@pamfiliamghamba8215
@pamfiliamghamba8215 Жыл бұрын
Du inasikitisha sana.pole sana Edmund
@MaryMary-kq3nh
@MaryMary-kq3nh 2 жыл бұрын
Asante simulizi fupi kwa burdani nzuri yenye mafunzo mazuri 👌♥
@user-xf8xy5kg6s
@user-xf8xy5kg6s 2 ай бұрын
Pole san Eddie Mond nimeumia San mungu akupe wepesi
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
Asante kwa simulizi anything goes around come around Watu hufanya unyama lkn wajue nao itafika siku ya hukumu yao. RIP Uki na Wanao!!!
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 Жыл бұрын
Asante anko j uko vizuri kiasiku utamu unanoga
@hadijarajabu7306
@hadijarajabu7306 2 жыл бұрын
Dah inauma sana asante sana kaka tunajifunza kwa kwer 😭😭😭😭😭
@ashamenza2212
@ashamenza2212 2 жыл бұрын
Thanks 4 the story ur d best lv u guys good job
@fallymetoo191
@fallymetoo191 2 жыл бұрын
Ingawa hii simulizi ni mfano tu ,wa baadhi ya matukio miongoni mwa jamii tunazoishi,na baadhi yetu imani zetu zinakataza kulipizana visasi,Lkn dah!!!!..Sometimes kisasi ni haki, but kinatisha na kuumiza na kurudishana nyuma kijamii au kifamilia. Suala la kutengeneza familia ni hazina kubwa kutoka kwa M.mungu pekee, hakuna binaadamu aweze kumrejesha tena duniani alikwishatangulia mbeleza haki . Leo hii binadamu from no where atokee aisambaratishe familia kiunyamaunyama tu! tu !tu! 😭😭😭Kama story tuliosimuliwa ,M.mungu adhihifadhi pema roho za marehemu wote wa kwenye hii story, na wale wetu wa kikweliukweli haswaaa 🤲🏻
@BOSSLADY3656
@BOSSLADY3656 Жыл бұрын
Asante sana kaka Felix 🙏🙏najifunza mengi kupitia simulizi zako..pia ina huzunisha sana..
@kbrown8ight7even87
@kbrown8ight7even87 Жыл бұрын
Huyu Ni Anko Jay bhaana
@kaombwemangombe6931
@kaombwemangombe6931 Жыл бұрын
Hahahahaaaaaaa uncle j unataka namba yako ya simu iuzwe kama edmond umetisha uncle j
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Afadhali acha nae afe alikua katiri rahmani asante Anko J
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 2 жыл бұрын
Inauma😭😭😭😭😭😭
@joycekazungu4003
@joycekazungu4003 2 жыл бұрын
Thanks for the good story and God bless you all the best in your life 😍😍
@Adonai810
@Adonai810 2 жыл бұрын
THE STORY IS GOOD ANKO J🔥🔥🔥
@vero756
@vero756 2 жыл бұрын
I always behinds you guys much love this way.
@akomaro7620
@akomaro7620 2 жыл бұрын
taligani
@reginadaud2879
@reginadaud2879 2 жыл бұрын
Dah 😭😭😭 nime Lia sana hakika Bina dam
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
He jamani hasidi hana sababu umache wewe umuuwe wewe asante anko J simulizi lna mafunzo
@matesomoci6376
@matesomoci6376 2 жыл бұрын
Hongera sana kaka kwa uja siri
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother hakika nimejifunza mengi kupitia hii channel yenu
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Anko jay
@olyoly9992
@olyoly9992 Жыл бұрын
Daaah simlizi hii ina majozi na huzuni ndani yake
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 Жыл бұрын
Inauma xn 😭😭😭
@agnesnduku1193
@agnesnduku1193 Жыл бұрын
Simulizi Bora Kabisa Uyu Mama Erica Na Eric Alikosa Kumwambia Kama Rahman Alitisha Maisha Ya Mama Erica Kama Kabla kushikana Na Yeye Alikuwa Na Rahman Alikuwa Amemutishia
@rosemary3816
@rosemary3816 2 жыл бұрын
Hii ndo Dunia ukikosa una shida ukipata pia ni shida ee, mungu Tujalie kheli ya Dunia na kesho khahela na atujalie mwisho Mwema pamoja na vizazi vyetu nimejikuta natokwa na machozi
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Daaaahhh aiseee Simulizi inahuzunisha mpka inaboa 😢😢😢😢
@nasoroali7705
@nasoroali7705 2 жыл бұрын
Simulizi iko na mafunzo kweli..ANKO J nakukubali sana ma Brother mwanzo ulivyo ipeleka Kaburi la wapendanao😀😀 uko fiti bro👍
@queenmorisho1331
@queenmorisho1331 2 жыл бұрын
Inaumiza sana ila inamafunzo mazuri mno
@sharifamohamedsaid515
@sharifamohamedsaid515 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@joandaniel1713
@joandaniel1713 2 жыл бұрын
Ishakuwa kilevi changu jamani mnanipa Raha sana tyu
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭but hii story imeniumiza rip
@priscangimba6194
@priscangimba6194 2 жыл бұрын
Simuliz nzuri lkn hako saut ka mzik kanachanganya
@annasituma8810
@annasituma8810 2 жыл бұрын
Pamoja kaka
@carolinekasha9396
@carolinekasha9396 Жыл бұрын
Sad story😪😪
@vanillaakimana9388
@vanillaakimana9388 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Duuh
@carolinekasha9396
@carolinekasha9396 Жыл бұрын
Sad story😭😭
@pilishazycounterog8200
@pilishazycounterog8200 2 жыл бұрын
😭😭jmn inaliza xn
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 жыл бұрын
Wakwanza
@wardawarda4903
@wardawarda4903 2 жыл бұрын
Mtenda akitendewa uhisi kaonewa rahimi wewe unakosea
@wardawarda4903
@wardawarda4903 2 жыл бұрын
Ankojay acha kutuchekesha bans kaa mapokexi update pesa za eddy
@zainabubahati5661
@zainabubahati5661 2 жыл бұрын
Asante
@annaelisha3151
@annaelisha3151 2 жыл бұрын
Appreciated 😘
@bxhryxhbn4812
@bxhryxhbn4812 2 жыл бұрын
Tuk pamoj ank j
@wardawarda4903
@wardawarda4903 2 жыл бұрын
Duuu yaani story inauzunisha mpaka tumbo la uzazi linauma binaadamu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Yahni
@annaelisha3151
@annaelisha3151 2 жыл бұрын
Appreciated 😘
@aamm7552
@aamm7552 2 жыл бұрын
Maisha ya mwanadamu ni magumu mno na yanatisha mno Kwa sababu ukose uwe masikini taabu na update Mali nyingi pia shida na zaidi visasi vya mapenzi pia taabu na mi kweli ni simulizi Ila haya ndio maisha halisi ya lioko ulimwengu wa sasa ,MUNGU atuhurumie
@paulinakapinga6373
@paulinakapinga6373 2 жыл бұрын
Inauma😭😭😭😭😭😭
@inyangiragodfrey3681
@inyangiragodfrey3681 Жыл бұрын
bonge la simulizi....yaani Kuna ubunifu uliopitiliza kati ya waandishi na msimulizi....heko....kiswahili lugha ya afrika
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 18 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 67 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН