Hata marekani kuna tajiri ana itwa eloni masiki kazaliwa afirika kusini, ungereza pia kuna ibrahi movichi mmiliki wa Chelsea kazaliwa Urusi
@lutakiiza467110 күн бұрын
aileti mahana wala siosifa tutakuwa tunajidangany nikama tumejenga nyumba ya udongo alafu tumeipiga lip tujifunze kutengeneza vyakwetu kuliko kuvitamani vilivo tayali
@justineMbukwa10 күн бұрын
Hili la wachezaji kuomba uraia ili waingie team ya Taifa. Siyo suluhisho la kudumu tatizo litabaki pale pale. Upande wangu nchi ndiyo iwe na mpango endelevu kuandaa wachezaji au kukuza vipaji
@selemanmcharazo10 күн бұрын
Mkalaboko Hapo mi naona Ramovic anatafuta kisingizio amefeli mbinu na wachezaji yanga iliyomtoa club Africain Kwa o ilikuwa kwenye league hii hii yanga iliyomtoa Cr Belouizdad, Yanga ilimfunga USM Alger kwao finally, wakati Mamelod Sundown wanaponea chupuchupu yanga Ile ni ya league IPi? Umezingua mjomba