R.Momo wewe ni mchambuzi na mtu wa mpira kati ya wachambuzi bora! Shida yetu Tanzania hatutaki kuambiwa ukweli! Kocha wa Yanga ametoka maoni na alichozungumza ndio ukweli, lakini wachambuzi uchwara tayari wamefika mbali Kwa kutaka kumgombanisha na TFF, eti amedharau ligi yetu! Lakini waulize Kwa hoja na takwimu utaona watakachokujibu, utagundua ni ushabiki tu!!!
@abbyking806410 күн бұрын
Mbona tabora wamekushona 😂😂😂😂nasio team kubwa
@cathbetsolomon315110 күн бұрын
Wachambuzi wa wasafi bhnaa😂😂 ni km wameangalia sura tu 😢
@yahayasimba422710 күн бұрын
Sahihi humu ni ushabiki na sio uchambuzi
@NkundweMwakyangwe11 күн бұрын
Ligi sio kisingizio bhana mm nabaki pale pale
@abuumuhammad713311 күн бұрын
Mechi za timu ndogo na uto ndio hawaendi mbele kushambulia kwa sababu uto wanatembeza bahasha sana kwa sababu anaeimiliki uto ni anafanyia uto biashar na sio Soka
@yahayasimba422710 күн бұрын
Sahihi wao ndio wanataka kuishusha hadhi ligi
@abuumuhammad713310 күн бұрын
@yahayasimba4227 fact na ndio uhalisia tofauti na wa Mo Cola yeye anatafutia mapato yake mnyama ila pia anapenda.soko litembee sio km upande wa pili bahasha nakila kona na ushirikina
@donaldbenedict576111 күн бұрын
Umeongea sana Momo shida ya baadhi ya wachambuzi wetu vihiyo
@rishasboytz612010 күн бұрын
Shida ni bahasha na kudhamin timu nying
@HashimSaid-v7t11 күн бұрын
Nondashabani hajaenda ufaransa 1 kwa 1 kwanza alipita ligi ya south Africa badae ndio akaenda ligi ya ufaransa
@Naharmusicrecords10 күн бұрын
Jaman hicho sio kigezo mbona pyramid msimu uliopita haikufuzu...maana yake ligi ya misri ni mbaya?
@christinataimu11 күн бұрын
Msisingizie udhamini huo ni uongo tff ndio wabovu huo karia atamaliza lini anaharibu ligi ya Tanzania sisi wengine hatumtaki akwende zake .
@ameirfaki927711 күн бұрын
Nakupata vizur momo
@HijjahMtema10 күн бұрын
Acha ushamba momo kwani Simba na yanga na Azam azifungwi na team nyengine team ndogo mbona yanga kafungwa na tabora
@IdrsaNgupi11 күн бұрын
Nikweli kaka
@nathanaelchezalikatundu886911 күн бұрын
Kabisa... Kunakipindi mimi niliachaga kabisa hata kuifuatilia ligi yetu.. Lakini Mwaka huu kuna uafadhali. Kama tutaendelea kuongeza kutoka tulipo mwaka huu tunaweza sogea.
@brianbatoleki653111 күн бұрын
Unashauri nini kifanyike ili ligi iwe bora??
@christinataimu11 күн бұрын
Yeye kocha anaona mechi za hovyo watu wanabebwa Kila mechi pointing 3 wengine wanaumia wao wanachekelea kwanini asiseme ligi yetu ni dhaifu hakuna anaeongea Tff wapo na wanaona yanayofanyika hawaongei wapo kimya kwa sababu wanamapenzi na timu Moja zingne zichakachuliwe sio sawa .shirikisho la mpira linafanya kubagua wengine ni WA nani?
@nellydany11 күн бұрын
Wewe nae akili huna Kwaiyo Izo Kwaiyo Azam na coastal walivotolewa kwenye mashindano ya caf ni gsm kitendo cha team za Tanzania ambazo si Simba na Yanga kushindwa kufanya vzr kimataifa ni kipimo tosha kuwa ligi ni dhaifu angalia mechi ambazo zinakutana team za madaraja ya kati wanavocheza watu hawawezi piga hata pasi 3 sasa hapo gsm kahusikaje
@JacoboEssau11 күн бұрын
@@nellydany Umemjibu kisoka sanaa huyoo
@gnmbi11 күн бұрын
Shabani Nonda alitoka yanga akaenda AS Monaco ligi kuu ufaransa akatoka Monaco akaenda Blackburn Rovers ligi kuu England 😂😂😂😂
@khajihamisi505411 күн бұрын
@gnmbi bila shaka ulisikia Kwa kuhadithiwa! Nonda alipita Yanga na si Kwamba alitoka Yanga Moja Kwa Moja. Alikuja Yanga halafu south Africa ndio akasajiliwa Nantes, Monaco
@DeogratiusMadeje-os5ur10 күн бұрын
Momo kiingereza umejuria wap?, kocha ulimuelewa kweli?
@AbdulZamiri11 күн бұрын
Mbona huku zazibari hampatikani
@richardmalimi556411 күн бұрын
Maboss wake bwana Saidi wamwambie ukweli
@crazydaddy921711 күн бұрын
Wewe ni msemaji B wa yanga kwa hio haishangazi kuja na ujuha kama huo
@raymondclaud602611 күн бұрын
Sasa wewe unasema hii ligi bora? 😅😅 marefa wanatoa maboko kila leo mpaka kero
@crazydaddy921711 күн бұрын
@raymondclaud6026 Yanga katolewa atoe sababu za kitaalamu Aloongoza kundi yupo ligi ya Mauritius 🇲🇺 Na kama kweli hizo ndio fahamu zake alikua aseme kabla hajatolewa
@cathbetsolomon315110 күн бұрын
@@raymondclaud6026aliyeongoza kundi lenu ligi yake ni bora?
@angellomarcel567711 күн бұрын
Mle hamna Kocha ni Mbabaishaji tu Muuza Chips 🍟 msimtetee
@AbdulazizPacha11 күн бұрын
Hunapointi hata moja ishu ni je timuyake imefungwa kwa udhaifu waligi au wa timuyake hapa aliwahikufungwa ahli,widadi,kaizachif na usm aljar je? Ligiyetu ilikuaborakuliko mataifahayo
@christinataimu11 күн бұрын
Kamchukulie hatua karia ndio anaharibu ligi kocha haoni bwana?
@abednegochija-uf3ey11 күн бұрын
Kocha anahoja nzur ila huu cyo mda wake kwanza Bado mchanga kwenye hii ligi, ningemuelewa angemalza hata msmu nahic angefuzu asngeongea ujinga kama huo, ameongea kwa hasra ya kipgo maana ndo alkuwa anataka atengeneze cv yake ya kufka robo final ila imebuma.😂😂
@ashaabdi402611 күн бұрын
hao wengine si wachambuzi wa Simba ila ukwel ligi yetu haina quality kuanzia timu had marefa😂😂😂😂kipindi yanga inapita shirikisho walikuwa wanasema tunakutana na vibonde asa hvi Et Simba anajua😂😂😂ila wachambuzi wa bongo
@fahadfaraj647411 күн бұрын
Quality katika kipi?
@ClassicUsed-jg6ri11 күн бұрын
Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii
@nemesjosephat561211 күн бұрын
Tatizo lake kasema hazarani
@godfreygoyayi657611 күн бұрын
Na mkisema hivyo how do you explain uwepo wa Al hilal ambao hawana ligi? Na kama ni hivyo mbona Simba ina qualify kila Mwaka?
@geofreytweve792811 күн бұрын
Hatujakataa kuwa ligi yetu ni dhaifu ila sio excuse kwetu kushindwa kufanya vizuri issue nikupambana kuziandaa timu ili ziweze kubeat hizo timu za ligi bora
@MohamedBakari-gw9id11 күн бұрын
Uko sawa mjomba,ukicompare ligi ya England na Spain ligi ya England ni ngumu kuliko ya Spain lkn kinara wa mataji ya ulaya ni timu za Spain Madrid na Seville
@EGM-TZ11 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Kocha ndo Dhaifu sio Ligi au Dharau, alikuwa South Africa kwenye Ligi Bora alifanya nini? Huko alikotoka kwenye ligi bora kafanya nini?? YANGA fukuzeni huyo Tapeli😂😂😂 Furahia Muziki Mzuri kutoka EGM
@EsauKalanje11 күн бұрын
Moja ya wachambuzi wa ovyo na wadandia vitu ni wewe yani sikuelew wewe kila sehemu upoo
@RashidMtoi-o4k11 күн бұрын
Yupo Sahihi
@jumakapilima729511 күн бұрын
Hayupo sahihi
@MaicoChikunduLau10 күн бұрын
Asa hapo unaongea nini mbona hueleki we nawe hujui kuchambua mpila unakaa hapo kwa sababu tuu hyo radio ya ndugu yako
@tonykidimwastv560811 күн бұрын
Sawa UDHAIFU WENYEWE UMEFANYWA NA WAO WENYEWE 😂 yaan MDHAMIN MMOJA
@mwelaabedi907611 күн бұрын
Kwani bila GSM kuzizamini zingezaminiwq nanani?😅😅😅😅😅😅😅, Tanzania nitimu 2 tu simba na yanga zingine nikeleletu .kocha wa yanga yupo sahiiii sana
@raymondclaud602611 күн бұрын
Hata nyie pia mmedhaminiwa na GSM ndio maana tumewapiga mara 4 mfululizo
@mr.lawimagupa391411 күн бұрын
TUNAKUELEWA CHAWA WA NYUMA MWIKO, WAAMBIE MABOSS ZAKO WAACHE KUPITA MILANGO YA NYUMA WANARAHISHIWA MECHI KIBOYA BOYA.. NDO MANA HAWAJIWEZI WAKIKUTANA NA WANAUME😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LilahihuseniLuganyaza11 күн бұрын
Kwanin kocha asichukuliwe atua
@gisdenga774011 күн бұрын
Kocha yupo sahihi league ni dhaifu upande wa yanga hawapati kipimo sahihi cz hakuna team inayovaa logo ya GSM inayomkamia 😂😂😂
@abednegochija-uf3ey11 күн бұрын
Tabora je? N.k sema ni kwasababu kafungwa tu@@gisdenga7740
@gudzaman627411 күн бұрын
Benfica vs barcelona, ni ligi tofauti ila ushindani upo, fatalia benfica vs braga, au psg vs lile angalia lile vs liverpool ni biwango tofauti vya ligi...ila inakuwa ni compite match...shida inakuja kununua wamuuz, na kununua match, ixo ndo inashusha hali ya kucompite kwa timu ndogo piga esabu ya point ngapi zimewashusha na ngspi zimewafanya hao ambao wako juu wanastshili!??? Angalia mechi dodoma jiji vs young sc, young vs bacca goli la mkono, kisha mashabiki wanafurah...mechi inayofuaa ni zid al hial kisha mc alger, kwa iyo chamion league ni real compatition
@kiluwaselemani424611 күн бұрын
Kocha wa yanga hana akili ajiulize Ahal walitoka jasho hapa Widad hivyo hivyo na nibora ligi yao leo anasemaje ligi yetu haina ubora? Aseme yy sio bota kashidwa yaan ki ufup
@RidhwanfakiRifa202011 күн бұрын
Ukweli utabaki pale pale ligi yetu haina kwality nyie chongeni mate yawatokee puani huo ndio ukweli mwacheni kocha wetu afanye majukumu yake acheni ukolo .
@angellomarcel567711 күн бұрын
Kilichomleta kwenye ligi isiyobora ni nini..? Huyu ni mbabaishaji..leag no 5 isiwe Bora..?
@princejames743811 күн бұрын
Huyu jamaa anaongea upuuzi tuy maana mbona ligi ya Ujerumani Kwan ikoje
@HarunakiongoziMohamed11 күн бұрын
Na ndy maana simba anaamini robo ni maendeleo
@omariaman781811 күн бұрын
Yanga anaamini makundi ni maendeleo
@cathbetsolomon315110 күн бұрын
@@omariaman7818😂😂😂alidhani ameongea point cyo
@godfreygoyayi657611 күн бұрын
Shida mkiongea ligi mnataja ligi mbili au tatu tuu. Tukisema ligi bora na zenye ushindani Africa ni Misri, Morroco na South Africa tuu. Tunisia kwa sasa hakuna. So Kocha wa Yanga anaweza kua sahihi ila ni kwa kiwango kidogo mnoo. Ata wewe mchambuzi unaongea ila unaishia kutaja ligi tatu tuu
@RifatiJeshi10 күн бұрын
Huna akil ww ckuhz! Mmeandaa propaganda ili tusahau kama mmefanya vibaya tuache kuwakosoa tuongelee Mada hii hahahahaha!! Ramso alchoksema sio mara ya kwanza kuzungumzwa Tanzania sasa kwann iwe hoja???
@selemanmcharazo11 күн бұрын
Mimi nipo tofauti kabisa na Kocha Kwa sababu CR Belouizdad walikufa goli 4 ,USM Alger finally kwao alipigwa na yanga hao hao, Mamelod Sundown msimu uliopita ameingia 1/4 Kwa kuwa team ya Rais wa CAF dhidi ya yanga, lakini pia team za Africa kusini hakuna yenye mafanikio makubwa kimataifa Mamelod Kila msimu anaishia nusu TU pamoja na kuwa na fedha nyingi, ubingwa Mara Moja TU. Ina maana ligi ya Africa kusini dhaifu ? , Kocha na wachezaji wamefeli wote wazembe
@fidecomedytv573510 күн бұрын
Shida Sio kuifunga team, shida Ni uhalisia Wa ushindan
@fidecomedytv573510 күн бұрын
Umejiuliza wew unazo ngapi?, lkn pia umeelewa hoja ?