Acha upumbavu wewe, kama kucheza simba ndiyo kupata nafasi ya kwenda kucheza mambele, mbona mpaka sasa hatujasikia kuna mchezaji yeyote wa simba anatakiwa na vilabu vya mbele? Punguza wenge
@hamadiayossy190 Жыл бұрын
Inawezekana wewe ndio mpumbavu, kwani hujui kuhusu sakho,acha kujitoa fahamu