Kumekucha Sharifu Feki Amgusa Pabaya Sheikh Kishk "Sifa Hizi Huna Za Kumfanyia Mtu Dua Acha Utapeli"

  Рет қаралды 3,827

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@t.v.a.i.s.s6842
@t.v.a.i.s.s6842 2 сағат бұрын
Assalam aleykum warrahmatulullahi wabarrakatuh. Nadhani sisi wa islams, imefikia hatua ya kudhalilishana kwenye media., nadhani kitu muhim tungekua tunashauliana uso kwa uso. Maana hizi media sio nzuri wallahi
@RehemaAbdul-s4g
@RehemaAbdul-s4g 5 сағат бұрын
shekh wangu mimi nakukubalisana kwa mafundisho yako baba natamani ningekuwa tanzania nina amu yakukuona face to face kabla sijafariki nikutane nawewe shekh
@BakaryOmally
@BakaryOmally 5 сағат бұрын
Rehema abdul Allwah akuwafikishe na asimamie nia yako siku ukifika ukamuone
@MAHAMUDUDOLLE
@MAHAMUDUDOLLE 3 сағат бұрын
Sheh unajuw💯💯
@kamalmukaddam1521
@kamalmukaddam1521 5 сағат бұрын
Yupo sahihi kishki
@jamaljuma-jw4pz
@jamaljuma-jw4pz 6 сағат бұрын
Sisi wachangiaji tuwe makini na JUU YA michango yetu jeee tunayo elimu juu ya kumuunga mkono sheikh au kumpinga lasiivyo tukasomeni dini yetu ili tusichangie kuugawa uislamu
@yusufulukamata7152
@yusufulukamata7152 5 сағат бұрын
Kwaiyo unataka kusema shekh hayuko sahihi ww usitupumbaze din yetu ni yahak hayo mambo kwenye uislam hayapo kishik wakemee mpaka wanyooke wanataka kuchafua sura ya din yetu
@saghirmzee2891
@saghirmzee2891 5 сағат бұрын
Nakumbuka maneno ya shekhe msimu wa babu wa loliondo na yalitokea
@amoschacha2885
@amoschacha2885 5 сағат бұрын
Hii vita kali sana ngoja tumsubiri firdausi atakuja na jibu gani hapa wanapigana vijembe tu
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani 5 сағат бұрын
Makadiria ndiyo yanatuchafulia dini👈👈👈
@MejumaaRashid-s8g
@MejumaaRashid-s8g 3 сағат бұрын
Matusi si dawa kama huna hoja sinibora ukimyee tu huo ndio wisiliam ujasiri huo munatpa kwan hamuoni aibu wabana wawatu hinitambia yakukosa madali sote niwanafunzi mwalimu Al kuwa mutume wetu Muhammad (s.a.w) sisi ukikumbushwa makosa yakariri kwa uzuri munatutia aibu wababa wakisilamu unaraauka kuswali ukingia oline matusi acheni hii tabia haifai nduguzangu tumuogopeni Allah kwa ukweli wa kumuogopa heshima muhimu
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 сағат бұрын
VIZUKA WA ZAMA IZI 😊
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 4 сағат бұрын
Acheni njeaa fanyeni kazi tanzania uchumi upo mabonde yapo leo kwanini hatutaki kulima tufanye mipango ya kugombanisha watu hajui mambo ya ushirikina leo ndio watoto wanapote wanakatwa viungo haya yote nanasababishwa nahawa washirikina wanafika mpaka kuuwa wazee kuuwa walemavu wangozi chanzo hawa watu washirikina haufai ushirikina tumuogope mungu tuache usanii
@KhamisAli-o9r
@KhamisAli-o9r 6 сағат бұрын
Hii ni dini,,mambo ambayo hayako kwnye dini lazima yasemwe hakuna kupepesa mambo katika dini ya Allah,,hizi njaa ndo zinapelekea watu kufnya mambo ambayo Quran na Hadithi hayapo,Sheikh Kishki hana makosa tuache janja janja waislamu lazima tukemee UJINGA wakupoteza waislamu
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr 5 сағат бұрын
Swadaqta
@muliamadi859
@muliamadi859 49 минут бұрын
Uyo firdaus ayo maji anayatumia vibaya, kwanini asiwe anagawa chupa kwa kila mtu?lakini yeye anamwagia watu mwenyewe, aho izo sura alizo somea yeye wengine awawezi kuisomea aweke wazi ni dua ipi tusomee wenyewe.
@abdallahmindika1641
@abdallahmindika1641 Сағат бұрын
Tuzingatie Qur an na sunnah zina sema nini kuhusiana na swala kama hili, isipokua kama kitu ukijui hupaswi kupinga wala ku judge tayari tupo kwenye globalization tukiona wote masheikh sasa kama wanapingana waoh sisi yatupasa kuangalia nafsi zetu kwa kusoma qur an hadith na sunna za mtume m (s.a.w) siku ya kiama tutaona mengi allah atupe pepo tu kwakweli waweza kuona sheikh mkubwa akaambiwa pita kulee kushoto
@ChampioniMjelumani
@ChampioniMjelumani 4 сағат бұрын
mimi nauliza kati ya mwamposa na huyu shalifu kunatofauti gani wote ni matapeli na timzaozato wezi tu
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 сағат бұрын
Ulikiona anaoza kitabu kitabu kipi kauza nakakitunga wapi na kinaitwaje hicho kitabu tupe ushahidi kinaitwaje hicho kitabu alichouza kitaje hicho kitabu hamtaki mnasihiwe hataki mkumbshe
@khitamcaptainveca5045
@khitamcaptainveca5045 3 сағат бұрын
Kisha watowa vitabu za wanazioni sio hadith za mtume . Alafu unamsemea kijana vitu hauna Ata uhakika
@hbomy-y5k
@hbomy-y5k 5 сағат бұрын
wagonge shekh tupo pamoja washatufilisi hao so watu
@IbrahimubakariIbrahimubakari
@IbrahimubakariIbrahimubakari 6 сағат бұрын
Wapige spana hao matapeli
@khitamcaptainveca5045
@khitamcaptainveca5045 3 сағат бұрын
Wewe umejuwa he kijana hana itikadi nzuri ? 🙄
@allythabiti8150
@allythabiti8150 6 сағат бұрын
Sheikh kasema kweli, lazma misingi na taratibu zinakubalika. ila yale mambo ya kumwagia watu maji au mafuta huo ujinga, sahz makristo wanasema et oh naona sahz ndugu zetu waislam wanakuja kwenye mfumo, sasa huku ni kudhalilisha waislamu na Uislamu
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 2 сағат бұрын
Uislamu hauna jambo lisilo na asili. Utumiaji wa maji na mafuta kwa waislamu una asili na ni jambo la kawaida kwa karne zote wala haijaiga kutoka kwa wakristo. Shida ya baadhi yetu tumekuwa hatusomi bali ni ushabiki tu.
@AbdillahAlly-fl4vh
@AbdillahAlly-fl4vh 6 сағат бұрын
Kishki sasa umeishiwa na dawa ulinganiaji umekushinda waanza kuropoka unafiatilia mambo yawatu huo ni ujinga sasa umekujaa
@CoudraAbdul
@CoudraAbdul 6 сағат бұрын
Jieshimu we nijing km sharifu
@AbdillahAlly-fl4vh
@AbdillahAlly-fl4vh 5 сағат бұрын
​@@CoudraAbdulWewe huelewi chochote kaa kimya kunamengine sheikh anakosea anavuka mipaka
@yusufulukamata7152
@yusufulukamata7152 5 сағат бұрын
Izo ni chuki zako au na ww hayo ndo mambo yko kishik ni shekh mkubwa misikit mingap wanamlilia aende ww ushaitwa wap na wap acha unafik
@Mohamedishabani-om8qf
@Mohamedishabani-om8qf 5 сағат бұрын
Unaonekana nawe pia ni miongoni mwao haoooo matapeli
@dulividuli5237
@dulividuli5237 3 сағат бұрын
Kwaiyo ww umerizik Waislamu kuibiwa namn hiyo ama vp?
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 6 сағат бұрын
Sheikh wewe ukizindua vitabu vyako unauuza misikitini masharifu wakiuza mafuta misikitini unasema ni haramu kufanya biashara misikitini hebu masheikh muwe waadilifu mnatuchanganya sisi maamuma
@CoudraAbdul
@CoudraAbdul 6 сағат бұрын
Acha upumbavu dini hijuw wwe
@BakaryOmally
@BakaryOmally 5 сағат бұрын
Kijitamfyomi sikia pia uisome dini kufanya biashara msikitini ni vibaya sana wala kutoa matangazo ila ndio tunajifanyia tuu kuna mambo ya kufanywa msikitini kuna mambo hayaruhusiwi
@CoudraAbdul
@CoudraAbdul 5 сағат бұрын
@@BakaryOmally haya sheikhe wa mkoa
@halimaa9367
@halimaa9367 4 сағат бұрын
Kweli
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 сағат бұрын
Njaa hakuna jengine zaidi ya njee kama kunawatu wanafika kuuza viwanja vya waislamu pale changombee wameuza uwanje kunamisikiti mingapi wameuza njumba za wakufu leo watu wakisema hatukuaminini mnasema wanatubagua punguzeni njea ziopeni haki za wakufu
@AbdillahAlly-fl4vh
@AbdillahAlly-fl4vh 6 сағат бұрын
Hila zimekujaa na unafiki sheikh hebu tulia acha malumbano utafeli pakubwa
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr 5 сағат бұрын
Hila gani muogope Allah na uwaheshimu masheikh yani mambo yasiyo ktk dini yasikemewe
@saidpcb3632
@saidpcb3632 4 сағат бұрын
Kula mama yako mbwa ww
@saidpcb3632
@saidpcb3632 4 сағат бұрын
Kuma la mama yako mbwa ww
@saidpcb3632
@saidpcb3632 4 сағат бұрын
Njoooo nikutombe niukune huo mkundu wako mbwa ww kafiwre na pdydy
@ammygalby9921
@ammygalby9921 4 сағат бұрын
Usimtukane akhii huyu hajui din​@@saidpcb3632
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 114 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:10
PUTIN: HAKUNA NCHI YENYE UWEZO WA KUPIGANA NA URUSI|WASITHUBUTU
6:25
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 10 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:19
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 114 МЛН