Huyu anayesema Mo nayeye akae pembeni huyo ni utopolo. Utopolo hawamtaki Mo
@abbasisudi68994 ай бұрын
Hamtafikia makubaliano mpaka mahakanani,na mkienda huko mhind atawashinda mana Kuna fomu mmesaini mhindi sio bwege mtumie pesa zake bure
@AmashaLwijajo4 ай бұрын
Jefu ujui unachoongea rais wa nchi anapo tengua na kuteua wengine amanishi nayeye ajiulu
@PhilipoFabian4 ай бұрын
Mwaka mzima hawaongei kima2 wanamuongoza nan??
@charleskuyeko44004 ай бұрын
Bodi ndiyo inayopitisha wachezaji waliosajiliwa. Na kwa kuwapitisha hao wachezaji wabovu waliosajiliwa ambao hawakufikia malengo ndiyo maana imewalazimu Bodi kuwajibika. MO hahusiki. Alikuwa anatoa pesa na Bodi inasajili akina Sawadogo.
@anithawidambe75434 ай бұрын
FUKUZA WOTE HAO WANAKULA HELA TUU.HAPO CY WOTE ILA KUNA WACHACHE NDY WANAUA SIMBA
@charleskuyeko44004 ай бұрын
Sasa je vipi kuhusu wajumbe wa upande wa pili vipi? Wao hawapaswi kujitathimini? Kwanini nusu wawajibike na nusu wasiwajibike? MO tuitishie kikao cha Wanachama wote tukusaidie kuwawajibisha hao waliobaki. Tusipofanya hivyo samaki wabovu wanaobaki kwenye tenga watafanya na hawa wapya waoze. Wanachama na Mashabiki tusikae kimya ktk hili Mangungu na watu wake nao wanapaswa kutoka ili kupisha timu mpya ya Uongozi. Nawashauri Wajumbe wa upande wapili nao waanze kujiudhuru hata kama Mangungu hataki wao waondoke tumwone anabakije wakati hana Wajumbe.