Na nyinyi wa ndishi wa habali mnapokea sana vitu vya uwongo simba haina uwezo wa kumsaji Mayeĺĺeĺ
@MashakaZanzibarАй бұрын
Nafurahi sana
@PaulJacksonKazunguАй бұрын
OK hata mimi naungana na kumchukua mayele
@user-sn6ih7yl5zАй бұрын
Hamonaiz
@AngelSteven-sg8wp5 ай бұрын
Simbaaa❤
@yohanakiureimoon-mo4py3 ай бұрын
Shamra shamra huo ni ya lini mbona mnatushua zana sis washabiki wa simba ambao tuko mbali na nchi yetu tetesi zimekua nyingi yasiyo elewk
@user-no2me3qs7t5 ай бұрын
Simba mbele kwambele
@MamaObed-zb3om2 ай бұрын
Karibu
@hamisimkima-un3jk Жыл бұрын
Majungu FC
@MichaelSingu7 ай бұрын
Manyele hawezi kwenda kwamakolo
@HabibaRamadhani-pe9kj Жыл бұрын
si sio watoto Simba by king obutu
@ramadhanSwaleh2 ай бұрын
Manzokiiiiiiiiiii
@user-ke4pl3yw2k Жыл бұрын
Jaman tuwe tunamuogopa na mungu HV mnahc mnavotudanganya ni vzr ety so pow
@SeveriniFabianmpakawasemeeee5 ай бұрын
Ungo mtupuuuu
@user-cq4pv3gh1y2 ай бұрын
Simba ebu acheni kutufanya watoto .mwaka jani ilikuwa iviivi kwa mchezaji fulani tukasikia yuko andia. Tena mnataka kutudanganja tena kuhusu mayele duuuu
@user-bf9rj2xm1w5 ай бұрын
Shauri kwako
@CharlesKipanta2 ай бұрын
Hapa utopro wanatafuta nini humu mbo awatulii
@ChadoKijikoАй бұрын
Ni kweli ngoja tuone kama yupo fresh
@yohanakilangi8116 Жыл бұрын
Jaman ivyi ni kweli mayele yupo msimbanzi
@jumaMohammedi-rt2ys5 ай бұрын
Jaman nikwer au nimanen2
@BernaFortunatus-sl9ig4 ай бұрын
Kawaida
@user-nn3bt4rr4q5 ай бұрын
Havi kweli jamani Mayele kajiunga na simba
@MartinLudigery3 ай бұрын
Utopolo acheni zenu simba itabaki kuwa simba
@MariamericАй бұрын
Kateteme Kama yangaa baba
@anthonikomba2858Ай бұрын
9, 6 Dr❤😮😮🎉🎉 4:43
@SophiaKahoy10 күн бұрын
Tuna kupend xn mayere
@user-ls1vh5um1u7 ай бұрын
Mayele hawezi kwenda Simba mayele anamapenz na club ya yanga
@justinmwanyingili8073Ай бұрын
Awezi kutuli wakati wana fulaa
@MusaMalegi2 ай бұрын
Ok good Kama ametuwa msimbaz
@user-sn6ih7yl5zАй бұрын
Mayele laza asajiliwe simba
@MashakaZanzibarАй бұрын
Kaka nikweli
@wolframduwe Жыл бұрын
karibu kariakoo mayele
@RizikiAbdala Жыл бұрын
Mnatafuta kik mmbwa mimi nyie chekeni ila mtaula tu
@HamisiIbrahim-t3sАй бұрын
amekuja kwel au
@husseinsalumu62145 ай бұрын
Kwenye kazi panakazi simba nguvu moja mbaka waseme.
@justinmwanyingili8073Ай бұрын
Tuko pamoja
@user-sn6ih7yl5zАй бұрын
Mziki
@SuleimaniMohamed-rh5qu5 ай бұрын
Simba nichama kikubwa hela tunao simba hatuna shaka kalibu maele
@SamsoniSamweliАй бұрын
Mayele aje msimbazi tunamtakka San ,,,fundi wa mpira
@KelVin-yz5gc3 ай бұрын
Mayere acha kuwa mjinga rudi yanga heshima yako itashuka naufarume wako utapotea bora uende hata azam sc uta enjoy maisha
@user-oq6dx8mf9x5 ай бұрын
Je ni kweli sijaamini
@user-ve2so8yg2iАй бұрын
Iwe kweli
@DanielSilanga8 ай бұрын
Hivi ni kweli au VP mwanangu wa simba
@SeveriniFabianmpakawasemeeee5 ай бұрын
Mwana simba nikwli au vp
@CorinerybahatiNyambulapi-ql6zmАй бұрын
Simba ni style mbovu inatumika ili kurudisha Mashabiki tuu
@SajentBoniface4 ай бұрын
ohyoooooo jembe iro
@user-cu9tq4eu5h Жыл бұрын
Mayele Yanga si kwao Mayele kwao ni Simba Karibu Mayele ndani ya Simba Usiogope hawakufanyi kitu ha o Simba no.mfalme wa Nyika
@SimonMbembelaАй бұрын
Siliasi kaja mzeee wakutetemaaaa msimbaziiiiii
@maulidihamis1745 Жыл бұрын
Pumbavu sanaa sasa mbona hamjawatambisha
@AshirafuRajabu-uz4bt2 ай бұрын
Kama kweli haya
@ROBSONMWAIKENDA-hq5db2 ай бұрын
Anajuwa
@erickmhuleАй бұрын
Aise isijeikawa mnatulusha tu hapa
@RafaelKayegele2 ай бұрын
Aah!! Mayele ndo nn unaniacha hoi me yanga Queen 😢😢
@user-mc9mu6fp3x7 ай бұрын
Acheni tamaa, Simba watampa nini mayele, wao wenyewe wanakula Kwa shida
@user-hc2nw1mb2z7 ай бұрын
😂😂😂😂😂BDO hamjasema
@justinmwanyingili8073Ай бұрын
Ayo nimaneno yako tuu kunakitita chakutosha pale
@MariamericАй бұрын
😭😭😭😭
@ZulfaAthuman-m7gАй бұрын
Me siamini mbna jaman nilini hii
@GairosMasandawa5 ай бұрын
Mayele ni mtu na nusu tukichukua na dube itakuwa hatar na nusu jamn Simba viongoz wetu fanyen kwel
@michaelijisidaАй бұрын
Mayele
@BernaFortunatus-sl9ig4 ай бұрын
Malibu mayele
@JenaSikujua4 ай бұрын
Jaman mayele kama kwer unakuja simba tunakukaribisha
@user-sz6yq1pj3o5 ай бұрын
mimi mpaka nimwone ndontaamini
@user-qs4ht5oe8u Жыл бұрын
Imeisha iyo
@RamaIlala2 ай бұрын
Siamini haya Kama ni ya kweli
@JosephBarante2 ай бұрын
Hayo ndo maneno y simb Kila msimu maneno mengi vitendo hakuna
@SamsonEdward-h3qАй бұрын
Kweli mayele amekuja ximba au
@MukhtarAlly-ch5hq2 ай бұрын
Mnazingua kwani mayele Kawa mess mnatafuta vewers au acheni njaa
@NicodemNicodem-r6pАй бұрын
Itakufa jitu mwaka huu
@KenyataMwijarubi4 ай бұрын
Hii. Ni lini mwaka gani
@user-ft8yq9rh6h5 ай бұрын
Simba nimadunduka hayajielewi
@JosephRichard-fj2lh5 ай бұрын
Simba hawana Hela ya kumsajili kijana mayele wao wanaweza kusajili wazee ndo zao.
@JOSEPHKWAANGWАй бұрын
Hii no kwely aw
@rahemaramadhannaweka2 ай бұрын
Mnazingua wanasimba kweli au uwongo
@WejaBoy-uu2qm2 ай бұрын
kel sy uongo
@AlikeyKibuga-gn7ly Жыл бұрын
Mayele hamna mchezaji apo mm apa ni shabik wa simba lakin kwa Mayele hua simuamini hajui kma chama