Jaakallah shekh Lakini tupe na muendelezo wa shikeliii Umeacha kutuelekeza shikeli Umetukatishia njiani somo hili na uliahidi kuendelea ALLAH ANAKUONA
@NADUAonlineTV Жыл бұрын
Hahahahahaha 🤣
@rajalian657 Жыл бұрын
Jazaakallahu shekh ILA NAOMBA UTUJULISHE JAMBO 1 KUHUSU MUSHTARA WA ASBH NA MUSHTARA WA MCHANA YAANI TUTAJUAJE KWA SAA HII TULIYONAYO KAMA HUYU NI MUSHTARA WA ASUBUHI NA HUYU NI MUSHTARA WA JIONI MFANO MUDA WA USIKU NAO PIA HUA KUNA MUSHTARA SASA IKIWA NI USIKU TUTAJUAJE KAMA HUYU NI MUSHTARA WA ASUBUHI NA HUYU NI MUSHTARA WA JIONI?? KADHALIKA VILEVILE NA KATIKA KAUKABU NYENGINE ZA ZOHALI MIRIKHI NA NYENGINEZO TUTAJUAJE KAMA HUYU NI WA ASBH NA HUYU NI WA MCHANA HASA INAPOKUWA NYAKATI ZA USIKUU ?? SHUKRANI
@sheikhmuriditiba146 Жыл бұрын
MASHAALLAH
@allymahinda088 Жыл бұрын
inshaallah
@jumberidhiwani50656 ай бұрын
Shekhe namba zako mpya tunapataje
@marrymartine271510 ай бұрын
mbona hujataja izo Aina Nne za ubani umesema Aina nne tu naoba ututajie izo aina4 za ubani
@NADUAonlineTV10 ай бұрын
Aina zozote ila ziwe nne tofaut
@gfvv3169 Жыл бұрын
Sheikh ikiwa kuna mwanamke unamtak umuoee je
@NADUAonlineTV Жыл бұрын
Weka Nia atakubali tu
@fainesmgalla6192 Жыл бұрын
unachoma muda wa adhana zote au adhana moja tu inatosha
@NADUAonlineTV Жыл бұрын
Zote
@tinershayo61916 ай бұрын
Shekhe namba yako tafadhali
@NADUAonlineTV6 ай бұрын
+255655955594
@FatumaKajege Жыл бұрын
Majani ya mfyambo yakoje au mti wake upoje
@NADUAonlineTV Жыл бұрын
Upowapi tunaweza kukusaidia kwa jina la kwenu
@mbaroukabdala70259 ай бұрын
Shekh naomba mawasiliano yako kwa ajili yakupata vitabu au nijuulishe vinapatikana wapi na je kama nahitaji kupata dawa yoyote katika hizo ambazo umetengeneza wewe mwenyewe nitakupata wapi